Mahakama Kuu Kenya yaamuru Wafungwa waruhusiwe kuhudhuria Mazishi ya ndugu zao

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
KENYA: Mahakama Kuu imetoa uamuzi kuhusu Haki za Msingi za Wafungwa katika maisha ya kawaida na kuamuru kuwa Wafungwa wote nchini humo wanapaswa kupewa Haki kama Binadamu wengine ikiwemo Haki ya kuhudhuria Mazishi.

Mahakama imetoa uamuzi huo kupitia Kesi iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Moses Dola Otieno, ambaye anatumikia Kifungo Jela baada ya kukutwa na hatia ya Kumuua Mke wake.

Katika madai yake, Mwandishi huyo aliwashutumu Wakuu wa Magereza kwa kuwakatalia Wafungwa kuhudhuria mazishi ya wapendwa wao na jamaa zao wa karibu, akieleza suala hilo liko kinyume na Haki za Binadamu.

==========

The High Court has ruled that prisoners and detainees have the right to attend funerals of their loved ones.

In a victory for people serving sentences in prisons and detention centres, Justice Lawrence Mugambi said prisoners had a right to be treated humanely, including being allowed to attend the funerals of their loved ones.

However, the judge said the right was not absolute and the request could be denied depending on the circumstances.

The court made the ruling in a petition filed by Moses Dola Otieno, a journalist serving time for the murder of his wife, Wambui Kabiru.

Dola accused the prison authorities of failing to make arrangements to allow prisoners to attend the funerals of their loved ones and close relatives. He claimed that he was not allowed to bury his mother.

Judge Mugambi allowed part of the petition and directed CS Home Affairs Kindiki Kithure to make regulations to guide the Persons Deprived of Liberty Act, which was enacted in 2014.

The magistrate said allowing prisoners and detainees to attend funerals has a calming effect and is beneficial to their wellbeing.

"The death of a close relative is the most difficult and prisoners are no exception," the judge said.

Attorney General Justin Muturi and the CS had opposed the petition, arguing that it would put a strain on the already strained prison budget.

NATION
 
Tukiwa tunasema Waafrika huwa wanatoa haki kwa misingi ya Utu na huwa wanatoa haki ipasavyo, tueleweke.

Demikrasia ya kweli imezaliwa Afrika.
 
Wakenya Wana ka uzungu flani, elimu ilitakiwa kua kipaumbele Cha nchi, wakenya wengi ni wasomi ndo maana huwezi kuwaburuza kijinga

Huku kwetu watu ambao hawana elimu ndo wajuaji kwelikweli huwaambii kitu na ndo Wana madaraka Kuna muda wasomi wanaamua kukaa kimya tu
 
Wakenya wako juu.
 
Tukiwa tunasema Waafrika huwa wanatoa haki kwa misingi ya Utu na huwa wanatoa haki ipasavyo, tueleweke.

Demikrasia ya kweli imezaliwa Afrika.
Tanzania mbona haina hiyo sheria kwani sio Afrika na kumbuka Kenya walishapiga marufuku adhabu ya kifo na hata kwenye magereza yao pia ni marufuku kabisa kwa askari jela wala nyapara kumpiga mfungwa.

Sasa cha kushangaza Tanzania bado wafungwa wanapigwa vibaya tena na manyampara ambao ni wafungwa wenzao...!!!

Tanzania ni nchi moja ukifuata wanayoongea viongozi wake utafikiri ni nchi moja nzuri sana lakini kiukweli ni nchi moja ya hovyo sana ambapo wananchi wana nyanyaswa vibaya mno.
 
Wakenya Wana ka uzungu flani, elimu ilitakiwa kua kipaumbele Cha nchi, wakenya wengi ni wasomi ndo maana huwezi kuwaburuza kijinga

Huku kwetu watu ambao hawana elimu ndo wajuaji kwelikweli huwaambii kitu na ndo Wana madaraka Kuna muda wasomi wanaamua kukaa kimya tu
Hehe ofisi nyingi zimeshikwa na watu wa maneno mengi.....ukiwa na elimu yako ila sio mpiga porojo na huwezi unafiki wa kujikomba utaishia level za chini tu
 
Tanzania mbona haina hiyo sheria kwani sio Afrika na kumbuka Kenya walishapiga marufuku adhabu ya kifo na hata kwenye magereza yao pia ni marufuku kabisa kwa askari jela wala nyapara kumpiga mfungwa.

Sasa cha kushangaza Tanzania bado wafungwa wanapigwa vibaya tena na manyampara ambao ni wafungwa wenzao...!!!

Tanzania ni nchi moja ukifuata wanayoongea viongozi wake utafikiri ni nchi moja nzuri sana lakini kiukweli ni nchi moja ya hovyo sana ambapo wananchi wana nyanyaswa vibaya mno.
Nimesema Waafrika nikimaanisha watu na sio Nchi.

Halafu unasema, Tanzani ni ya hovyo sana.

Wewe umeyafuata wanayo yaongea ya kina nani?

Wewe umeshwahi kunyanyaswa?
 
Nimesema Waafrika nikimaanisha watu na sio Nchi.

Halafu unasema, Tanzani ni ya hovyo sana.

Wewe umeyafuata wanayo yaongea ya kina nani?

Wewe umeshwahi kunyanyaswa?
Ninaona mara kwa mara wafungwa wanavyopigwa na manyampara wakitumikishwa kwenye miradi ya watu, inatia huruma sana.
 
Back
Top Bottom