mazishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jitu la kienyeji

    JamiiForums Tanzania Chifu Usoro ajichimbia kaburi na kusherehekea mazishi yake kabla ya kifo chake

    Katika kile wengi wanaweza kuelezea kama jambo lisilokuwa la kawaida, mwanamume Mnigeria Clement Usoro, ameipa maisha na kifo taswira mpya baada ya kujijengea kaburi na hata kusherehekea hafla hiyo kabla ya kuondoka kwake. Mzee huyo mwenye umri wa miaka 73, katika mahojiano na BBC Pidgin...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TANZIA Buriani Abbas Kleist Sykes

    BURIANI BABA, RAFIKI NA MZUNGUMZAJI WANGU BALOZI ABBAS KLEIST SYKES Mwezi October 1999 nilikuwa Dubai na nikikaa Carlton Hotel. Siku moja jioni simu yangu ikalia. Walikuwa BBC London Idhaa ya Kiswahili wanataka kunihoji kuhusu Mwalimu Julius Nyerere ambae wakati ule alikuwa amelazwa St...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya mtu hai kishirikina

    Wengi wetu wamefanyiwa mazishi wangali hai. Wapo hai lakini kiroho wamezikwa na wanateseka sana. Unapozikwa hai kishirikina unapoozwa na kufifishwa nyota yako. Unapozikwa hai kishikirina kinga zako za kiroho zinapungua nguvu hivyo hakuna rangi utaacha kuona. Vitu vyenye vinasaba nawe ni muhimu...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Maajabu mazishi ya Prince Phillip: Mahubiri marufuku kanisani, marufuku kuimba nyimbo za kwaya na Marufuku bendera kuwa nusu mlingoti

    Leo ndio mazishi ya Prince Philip wa Uingereza waweza angalia moja kwa moja tv ya SKYNEWS Maandalizi yote ya msiba wake aliyaanda mwenyewe kabla kufa na ratiba aliindaa mwenyewe. Katika maagizo aliyoagiza ni kuwa ni maruku padre kuhubiri mahubiri mahubiri kwenye msiba wake na kanisani...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye kitabu cha " Kipigo cha Dunia" sterling mzee Meko na Bob Mazishi tuwasiliane!

    Ni kitabu cha miaka ya 80s kikiwa katika mtindo wa picha za kuchora yaani katuni. Aliyebahatika kuwa nacho hata sasa nakihitaji kwa ajili ya kujikumbusha mambo fulani ili kuepukana na matapeli ambao bado wapo hata sasa. Ramadhan Kareem!
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

    Fuatilia mbashara hapa RAIS Samia Suluhu Hassan leo ataongoza waombolezaji kumzika Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli. Jeneza lililobeba mwili wa Hayati Dkt. Magufuli likiwa Kanisani kwa ajili ya Misa ya Mazishi Kaburi la Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli Mama Janeth...
  7. Naja naja

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mazishi ya Hayati Magufuli tuambiwe ni kiasi gani cha pesa kilichotumika kwenye shughuli nzima

    Kwa jinsi hii shughuli ya msiba inavyoendeshwa inaonyesha wazi kuna mabilioni ya fedha yanapotea kwa kutumia mgongo wa kumzika kiheshima Rais Magufuli. Kuna wengine bila shaka wanatumia fursa hii kupiga pesa, pesa ambazo kwa namna moja au nyingine zingesaidia mambo mengi mno MF madawa...
Back
Top Bottom