mazishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Sagini ashiriki ibada ya mazishi ya Mjukuu wa Baba wa Taifa

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Novemba 14, 2023 ameshiriki Ibada ya mazishi ya Marehemu Edward Magige ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere, iliyofanyika Kijijini kwao Wilayani Butiama Mkoani Mara...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kikwete amuwakilisha Rais Samia katika hafla ya Mazishi ya Kitaifa ya Rais wa Zamani wa Finland, Hayati Martti Ahtisaari, Novemba 10, 2023

    Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla ya Mazishi ya Kitaifa ya Rais wa Zamani wa Finland, Hayati Martti Ahtisaari iliyofanyika Helsinki tarehe 10 Novemba 2023. Wakati wa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Sagini ashiriki mazishi ya Mjukuu wa Baba wa Taifa

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Deogratius Ndejembi wakiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Daudi Charle's Nyerere mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Charle's Makongoro Nyerere wakati wa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyo ndoa za kiserikali, sasa ni muda serikali ije na utaratibu wa Mazishi ya Kiserikali

    Hizi ni dini za mchongo zilizojaa unafiki na utapeli, zimekuwa zikimantain wafuasi wake kwa kuwajengea hofu ya kutokuswaliwa pindi watakapokufa. Tumeona hili limekuwa likileta sitofahamu kubwa sana kwenye jamii pale ambapo kiongozi wa dini kwa makusudi kabisa anakataa kumfanya ibada ya msiba...
  5. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie huduma ya mazishi kwa wasiosali/wasioamini dini

    Katika kufanya utafiti wangu binafsi, Nimegundua kuwa Kuna kundi kubwa sana la jamii ambao hawaamini au hawasali katika dhehebu Wala dini yoyote. Katika kundi hili wapi wengi ambao hulazimika kwenda Makanisani au msikitini kwa sababu moja tu. Sababu kuu ni hofu ya mazishi pindi wanapokufa au...
  6. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kwa hawa watu wanaobadili dini, Ndugu na wanafamilia wa dini tofauti wajiandae kwa lipi kwenye mazishi yao?

    MKASA WA BINTI MKRISTO ALIEBADILI DINI: Nimeshawahi kushuhudia mvurugano wa hali juu kwa suala hili kutoka kwa familia za wanandoa, Bint wa kimakonde Mkristo alikubaliwa na wazazi wake abadili Dini ili aolewe na kijana Muislam, Shida ikaja pale bint alipofariki, ndugu za mume wanataka kumzika...
  7. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Clip ya RC Chalamila imenikumbusha mara ya kwanza nilipohudhuria mazishi ya kiislamu. Yale mafundisho nlopata pale huwa yananirudia akilini

    Kuna Clip ya RC Chalamila anasifia mazishi ya waislamu. Pale RC kiukweli kasema ukweli mtupu. Nakumbuka siku moja nilihudhuria mazishi ya muislamu mmoja mtaani kwetu, huyo marehemu alikua ni mtu mkubwa kdg na anafahamika hvyo kwenye mazishi alikuwepo Shehe mkuu wa msikiti wa pale mtaani, Shehe...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Siku 10 za Maombolezo na Mazishi ya Malkia Elizabeth II ziliigharimu Serikali Tsh. Bilioni 473.9

    Serikali ya Uingereza imetoa ripoti kwamba, Mazishi ya Queen Elizabeth II yaligharimu zaidi ya TSh. BILIONI 471. Kiongozi huyo alifariki dunia Septemba 8 na kuzikwa Septemba 19, 2022. Gharama zilizokadiriwa ni pamoja na: Idara ya Utamaduni, Vyombo vya Habari na Michezo - £57.42m Idara ya...
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: mazishi ya Membe yamebeba sura ya msiba wa kiongozi mkubwa Kiitifaki. Nini maana yake

    Poleni watanzania mlioguswa na msiba huu mzito wa Bernard Kamilius Membe. Ninaangalia live capture ya sherehe ya kumuaga Marehemu Membe hapo Karimjee. Naona kuna itifaki imeandaliwa kwa namna ambayo inanipa dukuduku kufahamu undani wake. Protokali za Mkuu wa Nchi kushiriki msiba wa mtumishi...
  10. Victoire

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki. Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utata kifo cha Nusura, Ndugu wahoji uharaka wa mazishi bila uchunguzi

    Picha: Nusura Abdala enzi za uhai wake Vumbi la kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Abdalah bado linazidi kutimka baada ya ndugu kutilia mashaka uharaka wa mazishi yake huku baba mkubwa wa marehemu akija na maswali matano. Wakati umma ukiendelea kupaza sauti ukitaka...
  12. Slowly

    JamiiForums Tanzania Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

    Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo, Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.: Mtu anafariki , anahifadhiwa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kigogo polisi adaiwa kukimbia na Sh4.8 bilioni za ‘mazishi’

    Nani waliochota mabilioni haya. Hili ndilo swali ambalo wengi wanajiuliza baada ya ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kubaini ufisadi wa Sh4.8 bilioni za mfuko wa kufa na kuzikana ndani ya Jeshi la Polisi nchini. Awali, ufisadi huu uliibuliwa na gazeti la Mwananchi...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa akataa Rapa AKA kufanyiwa mazishi ya Kitaifa

    Vyombo vya Habari vya #AfrikaKusini, vimeripoti kuwa Gavana wa Serikali ya #Gauteng, Panyaza Lesufi, alimwandikia Rais #Ramaphosa ombi la Msanii huyo kuzikwa kama Mtu mwenye mchango mkubwa kwa jamii na hivyo apewe heshima ya Kitaifa. Gavana Panyaza hakuomba fedha za Serikali zitumike kwa ajili...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wanaume wamewasusia wanawake kushiriki mazishi ya watoto kutokana na imani za kishirikina

    Hamjambo? Wanaume wa kitongoji cha Namanyere kwenye mji mdogo wa Majimoto mkoa wa Katavi wamesusia wanawake kushiriki maziko ya watoto wanaofariki kwa madai kwamba vifo ni vya ushirikina unofanywa na wanawake. === Kwa utamaduni wa maeneo mbalimbali nchini Tanzania...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine Joseph Mushy, amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Mkata, wilayani Handeni mkoani Tanga. Ajali hiyo imetokea jana usiku wakati akiendesha gari aina ya crown lenye namba za usajili T175 DMF kuelekea Moshi, Kilimanjaro. === Balozi wa Tanzania...
  17. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Ukweli uwe mtamu kusema japo ni mchungu sana, kwa sasa CCM inabebwa na dola kama Chama Tawala ila kwa ndani imeshajifia

    Wakuu habari? Ni matumaini yangu kuwa mko poa sana katika harakati zetu za watu weusi kutafuta rizki ya kila siku.Wanasema hatuwezi kuacha kujihusisha na Siasa sababu Siasa ndiyo ina mstakabali wa maisha yetu,kwa siku za hivi karibuni yaani kuanzia 17.3.2021 hadi sasa nimekuwa nikifatilia vyama...
  18. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Kwanini mazishi ya waliokufa na ndege huko Bukoba yanagharamiwa na Serikali? Wanaokufaga na mabasi?

    Wadau naomba kujua kwanini waliokufa kwa ajali ya ndege huko Bukoba jana, mazishi yao yanagharamiwa na Serikali. Mbona wanaokufa na treni, mabasi, boti hayagharamiwagi na Serikali? Mwenye ujuzi atujuze...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanahabari atoa wito wa Wafungwa kuruhusiwa kuhudhuria Mazishi ya Wanafamilia

    Mwanahabari Moses Dola amewasilisha ombi mbele ya Mahakama ya Sheria ya Milimani la kutaka amri ya kuwaruhusu Wafungwa kuhudhuria mazishi ya wapendwa wao Katika Ombi hilo, Mwandishi huyo ambaye anatumikia kifungo gerezani amesema iwapo kutakuwa na Miongozo na Taratibu zinazoeleweka, basi...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hii game tumeshaimaliza Waarabu wanachinjwa Hapa na Mazishi yao hapa hapa kwao tunapeleka Msiba tu

    Imeisha hiyo Jangwani tutembee kifua mbele. Sisi tunapambana sana nje ya uwanja nanyi mkapambane. Tunashukuru Nabi baada ya kuona amekalia kuti kavu ameacha ubishi kwenye kupanga kikosi. Leo tunampiga mwarabu 3 hapa. Arude kwao akale tende na halua. Hii ndiyo yangaaaaaaaaa. Unbeaten and will...
Back
Top Bottom