Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu, Hamas waonyesha video yupo hai

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
47,523
33,164
Wanaukumbi.

Serikali ya Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu.

Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara, walifanya ziara ya rambirambi kwa familia ya Kanali Asaf Hamami, kamanda wa Brigedi ya Kusini huko Gaza, iliyoanguka tarehe 7 Oktoba.

Israel wanawadanganya raia wake.

Hamas inafichua kwamba israel inalala kwa watu wake, kwenye video hapa chini walishiriki kwamba Asaf Hamimi alijeruhiwa tarehe 7 Oktoba na alichukuliwa mateka hadi Gaza.

Hata hivyo israel ‘IDF’ ilitangaza kuwa amefariki miezi 2 baada ya Oktoba 7 na hata kumfanyia mazishi.

Walidanganya.

View: https://x.com/hoaxvstruths/status/1793701450880831965?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hamas wamevuruga kabisa baada ya kuonyesha hayo mazishi ya uongo Hamas wakatoa video ya mateka ambayo yupo hai.

View: https://x.com/suppressednws/status/1793648636900827494?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Israel wakidanganya wananufaikaj na huo uongo ? hamas wameanza pigo za ccmu sasa , waliwarekodi kitambo tu wanatumia hizo video kuvuruga kuaminana ndani ya Israel ila Israel inaendeshwa na mifumo na sio utashi wa mtu mmoja tu kama Hamas
 
Kwahiyo hiyo video ya uongo!?
Leta yako ya kweli.
 
waislam ndo waongo hata quran inawafundisha kuwa waongo
Kuna jukwaa la dini unaweza kwenda kuanzisha uzi wa mambo ya dini takuja kujibu angalia hapa Netanyahu anaenda msibani anajua uongo jamaa hajafa😀.
 
Attachments

  • IMG_4683.jpeg
    IMG_4683.jpeg
    585.1 KB · Views: 1
Ila kwa wakati huu kama ni kichapo kwa Wapalestina wamepigwa daa!! Yale maneno ya Netanyau kuwa anataka atoe onyo hata kwa Hamas walioko tumboni waiogope Israel, anayatekeleza!! Na dunia imemuacha tu israel afanye atakavyo,
Muarabu huwezi mtisha pale anapokua na jambo lake.
Hao waarabu sio waafrika/WaTanzania ambao waoga hata kuandamana.
Yani labda uwamalize kizazi chote ila kuwasimamisha kupigania wanachoamini sahau.
Kwani ni mara ya kwanza Gaza kuvamiwa vile na Israel?
Refer 2021 kabla Netanyahu hajapata mashtaka ya ufisadi,IDF ilivamia vile vile Gaza.
Hao waarabu sio WaTanzania.
 
Ila kwa wakati huu kama ni kichapo kwa Wapalestina wamepigwa daa!! Yale maneno ya Netanyau kuwa anataka atoe onyo hata kwa Hamas walioko tumboni waiogope Israel, anayatekeleza!! Na dunia imemuacha tu israel afanye atakavyo,
Na hakuna kipindi toka taifa la Israel kuuliwa wanajeshi wake kama hiki kipindi wewe huwezi kujua mziki wa Hamas Israel ndiyo wanajua.
 
We unaoneshwa mpaka ushahidi wa video,unachokipinga nini!?
Pia hapo inaelezwa masuala ya Israel na Hamas aizungumzii suala la dini yeyote.
Jifunze kukua kidogo kiakili acha utoto.
Hahahha ushabiki mandazi.
 
Jamaa wameshindwa kupambana na Hamas wamehamua kuwadanganya raia wao cha ajabu walolole wetu wa JF nao wanadanganywa lakini hawakubali😀
 
Attachments

  • IMG_4682.jpeg
    IMG_4682.jpeg
    563.3 KB · Views: 2
Na hakuna kipindi toka taifa la Israel kuuliwa wanajeshi wake kama hiki kipindi wewe huwezi kujua mziki wa Hamas Israel ndiyo wanajua.
Ni kweli idadi halisi ya vifo imefichwa.
Ila kuna ripoti Haaretz chombo cha habari cha Tel Aviv kilisema idadi ya vifo vya IDF soldiers ni zaidi ya 5k/5000 ila wanajeshi waliopata ulemavu wa kudumu yani forever crippled ni 5000+.
Haikuwahi tokea hii hata vita ya Lebanon 2006 IDF haikupata hasara hivi.
Ndio maana wadau wanadai lazima IRGC inahusika na huwenda hata IRGC ilipenyeza askari wake.
 
Kawaida sana hiyo Hata Malkia Elizabeth anadunda tu au yule tuliyeambiwa na Obama alitupwa baharini au yule Alhaj Kubenea anayemwonaga anasoma Magazeti
Mueisrale mweusi eti kaja na hoja yake ya kutetea hii picha😀😀
 
Attachments

  • IMG_4721.jpeg
    IMG_4721.jpeg
    341.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom