mawazo

  1. leonaldo

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa: Huwezi kukwea mnazi kwa mkono mmoja

    Rais Mstaafu wa awamu ya rtatu, Marehemu Benjamin William Mkapa alitanabahisha kuwapo kwa umuhimu wa kuheshimu mawazo mbadala na kuyafanyia kazi inapobidi, lakini ni kama tumepuuza busara hii sasa upinzani ni kama uadui, kushirikiana nao ni kama usaliti na wala hatuoni aibu kusema hivyo...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Tunakubaliana na mawazo ya mwanazuoni huyu?

    “You can have peace. Or you can have freedom. Don't ever count on having both at once.” ― Robert A. Heinlein
  3. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nahitaji msimamo wa CCM kuhusu ajira, kuongeza mishahara, Fao lakujitoa na namna ya kukabiriana na majanga ili Lissu apate mawazo

    CCM mgombea wake kazungumzia ndege,barabara,stigraz,sgr na meli . Ningependa kusikia pia akizungumzia mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja na effect zake zinaonekana ndani ya muda mfupi, nayo nihayo niliyoorodhesha kwenye kichwa cha habari cha thread hii. Lakini niwakumbushe wana CCM...
  4. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani waitumie rasimu ya Jaji Warioba kuisoma hadharani ili kutoa mawazo hasi kwamba mapendekezo ya ilani zao ni mawazo yao binafsi

    Nimeipitia kwa mhutasali rasimu ya jaji warioba, Ni nzuri na imebeba mawazo halisi ya wananchi, nikagundua, ila za vyama makini vya upinzani vimekopy KUTOKA rasimu ya Jaji Warioba. Nashauri wapinzani kuisoma Tena hadharani ili wananchi wakumbushwe tu kuwa, rasmu ya katiba mpya ni nzuri kiasi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Jamii inayonizunguka inanipa mawazo sana ndugu zangu

    Habarini ndugu zangu, naombeni niwape mkasa wangu kidogo ili walio nizidi umri na wenye busara wanishauri kwenye ili ninalopitia, maana nina ongozwa na mawazo sana na nashindwa kuiona kesho yangu ilio bora Kwanza kabisa umri wangu ni miaka 30 kwa sasaivi, nimetokea katika familia ya ufukara...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mwenye uwezo wa kuwekeza kwenye mawazo yangu yanayohitaji Pesa tu ili yaweze kuwa utajiri na kunisahaulisha machungu ya Elimu yangu iliyouwawa namfumo

    Mimi ni Kijana wa miaka 26 nikiwa na shahada ya uhandisi wa mitandao na mawasiliano...baada ya kuhangaika sana bila majibu nimeambulia kufahamu fursa nyingi ambazo nimetumia na akili yangu kidogo kuweza kupata mawazo kadhaa ya kibiashara ambazo zenye kuleta matunda chanya kwa muda mfupi sana...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kubadili mawazo ni kitu cha msingi sana

    Mawazo ni kitu cha msingi sana katika maisha yetu.Mawazo yana nguvu kubwa. Mawazo yakiunganishwa na malengo yanayoeleweka,subira pamoja na Nia yatatusaidia kufikia mafanikio na utajiri. Watu huwa tunapitia hali ngumu mbalimbali katika maisha,kwa mfano. 1. Umaskini. 2. Kukosa nafasi za ajira...
  8. yuda75

    JamiiForums Tanzania Wanawake na mawazo mgando ya kuhudumiwa

    Habarini wadau, Jamani dada zetu au wanawake siku hizi wamebadilika sana wengi wao wanawaza kupata mwanamme wa kumtimizia mahitaji yake haswa ya kimaisha. Wao wanawaza kupendeza na kuvaa vizuri kuliko kujishughulisha katika vitu vya maendeleo ndio chanzo cha kuangukia kuwa malaya na kujiuza...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Charles Kimei ana mawazo ya kuibadili Vunjo ifafane na mji wa Toronto Canada. Akishinda ubunge apewe Wizara ya Viwanda na Biashara

    Katika watu ambao wameingia katika kinyang'anyiro cha kugombea ubunge na ambao kama wakipata nafasi hiyo, watachangamsha sekta za uchumi, biashara na viwanda ni Dr Charles Kimei. Dkt. Charles Kimei ni mmoja wa watu ambao wana matamanio ya kufanya mabadiliko ya haraka yaani "quick...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mawazo yenu: Kutokana na uzoefu wangu wa kupeleka watu machimbo, nataka kuandika kitabu

    Wakuu habari zenu, kutokana na uzoefu nilioupata kutokana na kupeleka watu machimbo ya maeneo ya biashara, nimeweza kugundua biashara nyingi za kawaida tu, zikiwa na faida nzuri tu, sasa nataka kuandika kitabu ambacho kitakuwa na mambo yafuatayo. AINA YA BIASHARA: Hapa nitafafanua aina za...
  11. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Je, mpenzi wako amekukwaza au amekusaliti? Mfukuze kwa Wimbo huu "GO AWAY" ili uondoe msongo wa mawazo

    IF YOUR LOVER HATRED YOU, GIVE HIM/HER THIS SONG. . New video song "GO AWAY" for Lovers in Hatred, watch now to remove Stress alongside Don Nalimison.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye hali ya kiuchumi kama yangu muda huu? Toa mawazo jinsi ya kujikwamua

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, ni mhitimu wa Shahada ya Electrical & Electronics Engineering. Katika moja ya Chuo Kikuu hapa mjini Dar es Salaam kama ilivyo kawaida ya vijana wengi tukiwa vyuoni hujisahau kuwa kuna kumaliza masomo na kushindwa ku tafakari kukabiliana na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukimwangalia mtoto kwa makini huwa unapata picha gani?

    Kila nikimwangalia mtoto mchanga huwa napata picha fulani ya Kiungu. Ni picha ya ajabu. Mfano, nikimwona mtoto ana mzazi au mlezi wake huwa napenda kuona ana'behave' namna gani. Unaweza kumwona mtoto mchanga amebebwa na mama yake na amelala usingizi na hana habari ya kinachoendelea karibu naye...
  14. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Naombeni Mawazo kuhusu kusoma LLM Online Uingereza ama nchi nyingine za magharibi

    Wakuu, Ninaombeni maelekezo kuhusu kufanya masters online kwa vyuo vya ulaya na marekani, Ni njia gani rahisi ya kufanya hivyo? Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu na hayo mambo. Ni chuo gani kilicho Bora na Cha uhakika? Mafunzo yanapatikana kwa muda gani? Ni majira gani ya kufanya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kuna raha au amani ya roho kupita kwenye daraja la juu ya bahari huku ukiwa katika msongo huu wa mawazo?

    1. Una miaka mitano mshahara wako serikalini ni ule ule aliouacha JK 2. Una madai yako serikali na huu ukiwa ni mwaka wa tano hujalipwa na wala juju utalipwa lini 5. Kila mwisho wa mwezi unakatwa asilimia 15 ya mishahara wako kulipa mkopo wa Bodi ya Mikopo 6. Una mzee wako kastaafu huku hajui...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mawazo kwa vijana mtapotoshwa kuwaangalia wasanii kwa maendeleo yenu

    Nawapa mawazo ya bure wadogo zangu wa miaka 18-35. Kwasababu wasanii wetu hasa wa musiki wanafanya vizuri jamii hasa wanasiasa watawatumia wenyewe kwa manufaa yao binafsi. Lakini kwa mawazo yangu acheni kuwafuata wasanii na kushinda mitandaoni kuangalia maisha yao na kutaka kuiga badala yake...
  17. Ninja assasin

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya Masoud Kipanya kuhusu ubigwa wa Simba SC

    Nimekutana na hii post ya Kipanya kuhusu ubigwa wa Simba SC Leo kiukweli nimetoka kapa mwenye wazo jamaa alitaka kusema nini
  18. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania TUNAOMBA MCHANGO WA MAWAZO YAKO: Serikali itumie mbinu gani ili kufidia muda wa likizo ya Corona na wanafunzi waweze kumaliza mitaala yao kwa wakati??

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Serikali itumie mbinu gani ili kufidia muda wa likizo ya Corona na wanafunzi waweze kumaliza mitaala yao kwa wakati...
  19. msani

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusu Bilionea wa Tanzanite

    Nimejaribu kufanya Hesabu Zangu za Darasa la 7 D kuhusu huyu Bilionea mchimbaji mdogo wa madini. Hebu Twende Sawa Hapa na hesabu za Darasa la saba!! Tanzanite thamani yake hupimwa kwa Carats. 1 Carats = 0.0002kg Je 15kg ni sawa na ngapi? = (15kgs x 1 carats) gawa kwa 0.0002kg Hapa jibu ni...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Bati za Waja General ni nzuri?

    Binafsi nimepaua kibanda changu kwa bati nyeupe, ila kuna jamaa yangu yeye anashinda ya macho na ana project yake ya ujenzi ngazi ya kupau na anatamani msouth. Tumekwenda halafu bei imemshinda wanauza 28,000/ 27,000 kwa pc za rangi. Yeye ana uwezo wa 24,000/- katika kuzunguka tukakutana na watu...
Back
Top Bottom