Kwenu Walimu, hii inawezekana au mawazo yangu ni ya kijiweni tu?

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,935
22,915
Unajua maisha ya sasa hivi kila mtu analia kilio chake, huyu atalia sauti ndogo, yule kubwa, yule mwingine atalia kimoyo moyo ila wote tunalia na kubwa linalotoa watu machozi ni Ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, nk.

Leo nitaongea na walimu tu ambao wengi hulalamika ajira hamna,maisha magumu na mtu ana Certificate safi,Diploma mpk Degree ila kilio chake ni kile kile "ajira", hii nitaiongelea kama theory sana maana sijawahi ifanya wala sitegemei kuja kuifanya lkn naamini wapo watakaoweza igeuza hii ikae ki practical zaidi na sio ki blah blah za CONTROLA

Unajua katika hizi elimu tunazopitia ni kweli zipo fani tunazosomea ambazo ni ngumu kuanza kujiajiri kama huna mtaji au huna mtu wa kukuwezesha maana fani za namna hiyo zinahitaji mitaji pesa,mitaji vifaa nk nk, ila kuna hii fani ya ualimu ambayo nimeshashuhudia walimu wakiitumia kupiga mkwanja kuliko hata wale walimu walio ktk ajira maana ni moja ya fani ambazo mtaji wake mkubwa ni "kilichopo ndani ya ubongo wako"

Walimu wengi hujiajiri kwa njia za tuition(vizuri kabisa) lkn ktk hawa walimu wengi wao karibia 81% Tuition hizo hufa kifo cha mende miguu juu,unajua ni kwanini hizo tuition zao hufa? Hawa walimu si kwamba hawafundishi vizuri, si kwamba hawajulikani kama wanafundisha tuition,hapana ila shida ya hawa walimu woteee tuition zao zinazokufa ukiwauliza sababu ya wao kutoendelea na tuition jibu lao ni moja kwamba "wanafunzi hamna"

Mwalimu anakwambiia wanafunzi hamna,unamuuliza swali,wanafunzi hamna kivipi kwamba wale wanafunzi wamefika chuo wote au wamehama huo mtaa au imekuaje wanafunzi hamna wakati wanafunzi wale wale tunawaona wanaendelea kwenda shule??

Mwalimu anakwambia "wazazi hawana pesa" (sababu kuu) unakuta unamfundsha tuition mtoto wa mtu kufika mwisho wa mwezi Ada sh 30,000,15,000.10,000,nk mtoto hana au anakwambia hajapewa na mzazi, hivyo unajikuta unafundisha hata miezi mi3 wale watoto hawalipi ada unajikuta unafanya kazi kichaa mwisho unaamua ufunge tu tuition maana hamna jinsi.

Mwalimu akishakwambia hivyo,unagundua kitu kuwa huyu/hawa walimu Akili zao bado kuna kitu zimemiss,mtoto hana ada mzazi wake anajua kbsa hana ada lkn anaendelea kumwambia mtoto aende tuition tena wakati mwingine huko nyumbani akikutwa hajaenda tuition anachapwa fimbo kbsa ila huyu mzazi anamwambia mtoto aende tuition angali akijua Hajamlipia Ada ya tuition huu ni mwezi wa 3 sasa.

Kumbe shida si kwamba mwalimu hafundshi vizuri, wala si kwamba yule mwalimu kaacha kufundsha tuition ila unagundua sababu kubwa ya huyu/hawa wazazi kutoendelea kuwapeleka watoto tuition sababu kubwa ni ADA/PESA.

Sasa iko hivi mwalimu unatakiwa ufahamu kuwa wazazi wanahitaji sana watoto zao waende tuition,lkn mfahamu kuwa wazazi hao hao ADA za kuwalipia hawa watoto kwa mwezi zinawapiga chenga sometimes,sasa swali,Ufanyeje ili tuition yako iweze ku dumu kwa muda mrefu na wewe uendelee kupiga pesa miaka na miaka?

Katika maisha ya sasa hivi hamna kitu kinawashinda watu wengi kuanzia maskini mpk matajiri wakubwa na hata mimi CONTROLA ktk vitu vinanipa changamoto ni saving ya pesa,yani nimeshashindwa kbsa kuhifadhi pesa kama pesa(tuachane na hayo) sasa kama saving ni ngumu kwa kila mtu unafikiri hao wenye watoto wanaokosa ada unadhani hawapati hiyo 10k ya ada kwa mwezi? au unafkri n kweli kwa mwezi hawezi kukupa hiyo 30k yako? si kweli shda ni kwamba watu kukaa na pesa mbele yao hawawezi,sasa tunafanyaje ili kuipata pesa yao?

BADILISHA UTARATIBU WAKO WA UPOKEAJI ADA KWA WANAFUNZI WAKO
Unajua kila mwalimu kashakariri kuwa malipo ya tuition n kwa mwezi na hana option B yale malipo yanaposhindkana kulipika option yao kuu ni Kufunga tuition na kutafuta mishe zingine za kufanya.

Unajua kila mtu ana malengo yake ktk maisha ya sasa,ndio mana leo hii nikikwambia wewe njoo nikuajiri nikulipe 50,000 kwa mwezi utasema huwezi,hii n kwasababu 50k n ndogo ktk mahitaji yako,lakini 50k hyo hyo kuna mtu ukimpa inamtosha mpk na chenchi, (nataka kusema nini?)

Mwalimu unapokua unaanzisha tuition lazima uwe na malengo kwamba mimi naanzisha tuition ambayo nataka kwa mwezi inilipe mshahara wa 500,000 na si chini ya hapo,mwingine anaweza akasema nataka tuition ambayo kwa mwezi itanilipa 300k na si chini ya hapo,kila mtu ana malengo yake maana tumetofautiana.

Leo naomba tuanze na huyu mwalimu wa primary aliyejiwekea anataka malengo yake aingize 500k kwa mwezi kupitia tuition na si chini ya 500k,huyu mwalimu atafanyaje ili kuipata 500k yake (tupo na mwalimu wa shule ya msingi leo)

Nimesema utaratibu wa upokeaji ada lazima ubadilishwe,watu si wamezoea kulipa tuition kwa mwezi Sisi huyu mwalimu wetu naomba tuition Fee yake kwa kila mwanafunzi aichukue kwa siku ambayo ni sh.100 per Day/subject.

lazima ujiulize kwa sh.100 nahitaji wanafunzi wangapi kwa siku ili kufikia lengo langu la 500k kwa mwezi,huyu mwalimu ataenda kwa mpangilio ufuatao ili kukamilisha lengo lake.

Tumesema

somo 1 = 100tsh

Kwa hesabu zangu za chap chap hapa nahitaji wanafunzi si chini ya 70 ili kuweza kufikia lengo langu nililo jiwekea,sasa baada ya kujua hilo lazima ujiulize hawa wanafunzi 70 nawafundishia wapi? (tafuta mwenyewe utapowafundishia sio kila kitu utafuniwe)

Baada ya kupata eneo la kuwaweka hawa wanafunzi sasa tuje katika utendaji kazi,tumesema somo ni sh.100 ,hapa nahitaji wanafunzi 50 ambao hawa wanafunzi watasoma masomo matatu yani English,Hesabu na Science, na kwa kila mwanafunzi atakaesoma masomo matatu atapata bonus ya kufundisha "Kiswahili" BURE. (bonus subject)

Hapa maana yake

1=100

3=300

300 x 50 =15,000 (kwa siku)

15,000 x 30 = 450,000 (kwa mwezi)

Kwa wanafunzi wetu 50 wa kusoma masomo matatu kwa mwezi tunakunja 450,000 kibindoni,hapa bado hatujafikia lengo letu la 500k,sasa tuna wanafunzi wengine 20 pembeni waliobaki.

Hawa wanafunzi 20 ni wale wanafunzi ambao hawawezi kumudu gharama za masomo ma 3, hawa n wanafunzi ambao wako vizuri masomo yote kasoro 1,nk nk sababu zipo nyingi za hawa kusoma somo 1 tu.

hapa maana yake

1=100

20 x 100 = 2,000 (kwa siku)

2,000 x 30 = 60,000 (kwa mwezi)

Hapa tukija jumlisha 450,000 + 60,000 = 510,000 (tumevuka lengo letu),sasa hii 10k iliyozidi ina sababu zote za msingi kuzidi,haijazidi kimakosa maana yake ni kwamba ktk wale wanafunzi 20 ambao husoma somo 1 kwa siku,kuna wanafunzi 10 n waaminifu watakuja kila siku na kuna 10 ambao hawa leo atakuja kesho haji so hii 10 ita cover wale ma dodgers.

Kuna mtu nimemsikia huko akiuliza eti ntawapata wapi hawa wanafunzi 70 kwa mkupuo? aisee hamnaga biashara inaanza na wateja siku ya kwanza tu kwahyo kubali kuanza chini taratibu na kwakutumia hao hao unaowafundsha watakuletea wenzao wengi zaidi.

Faida za kutoza sh.100 kwa somo

  • Ni rahisi kulipika kwa mzazi yeyote yule
  • Ni rahisi kwa mtoto mwenyewe kujilipia hata kama mzazi hana hela

Unaweza kuona hawa wanafunzi 70 ni wengi sana,ila nataka ufahamu wanafunzi 70 kwa primary ni wachache sana,mliosoma kayumba international school mtakubaliana namimi kuwa darasani kwenu number ilikua inasoma ngapi.

Ushauri:

Hii project usiichukulie poa ukasema utaimudu peke ako ukajiona una fit nataka nikwambie kwa kuanza kweli unaweza imudu peke ako ila kama wazzi wataona matunda chanya ya ubora wa elimu unayowapa watoto wao nakuhakikishia utalemewa,tafuta Mwenzako muwe team ya watu wawili tu kisha changanyeni idea then ingieni mashuleni tangazeni kuwa mnafundisha tuition,Tafuteni posho kidogo ya kumpa MWALIMU MKUU wa kila shule mnayoenda kuomba mzunguke kutangaza huduma yenu.

mkizunguka shule 3 tu kuanzia darasa la 1 mpk la 7 sidhani kama mtaweza kukosa wanafunzi chini ya 200 kwa siku ya kwanza tu mmeanza hii huduma,si rahisi ila inawezekana mkiamua.HII NI PESA WAJOMBA (natamani mwenzenu ningekua mwalimu hamjui tu bahati mliyonayo).

Vilio za kukosa Ajira waachieni madaktari bana na ma pilot,hivi umesomea u pilot unaanzaje kujiajiri? labda ukajirushe juu ya dabo deka hadi chini sijui utajilipaje hapo,ACHENI BANA NYIE WALIMU shida yenu ni moja tu na wengi wenu hii ndio inawamaliza na mkiendekeza hili neno la "nitaonekanaje/watanichukuliaje/Aibu" mtakufa maskini.

Nawatakia utekelezaji mwema,namalizia kama nilivyoanza Mimi sio mwalimu na nimeleta hili kama story tu,tuambiane Je inawezekana au haiwezekani,msiniulize swali lolote kuhusu hiki nilichoandika,ninachoweza tu kuwajibu kama mtaniuliza ni hili swali?

Umeshawahi kuona mtu anafanya hivyo?

Jibu : Ndio nimewahi kuona tena ana Kijiji cha wanafunzi,sasa hivi ana Shule kabisa.
 
Wakati huu watu wapo lockdown kwa ajili ya corona tutulie kwanza huu upepo uishe,

wakisha ruhusu shule zifunguliwe kazi ni kwenu mateacher na kina madam na kina sir.
 
Sio lazima ulipishe sh.100 kama nilivyo andika maana kuna watu ni copy n paste

hawataki tumia akili zao kuwaza kbsa,yawezekana ukatoza hata 50Tsh au 150 au 200

au 300 au hata 500 kama unaweza hata 1000,wewe angalia mwenyewe upo eneo la

watu wa aina gani,huwezi ukaweka tuition Njiro ukaweka bei sawa na mwenye tuition "matejoo"

Kama unaishi eneo wapo wenye pesa angalia namna ya kuendana nao,na kama unaishi

eneo umezungukwa na wananchi (mlo mmoja) angalia jinsi ya kuenenda nao Muhimu ni

wewe uingize pesa na watoto watakaopita mikononi mwako wafanikiwe huko ktk masomo yao

sio uweke bei chee halafu wazazi wasione faida ya hyo tuition yako,utafeli tu hata kama utafundsha BURE.
 
Kuandika ni rahisi nenda kwenye uhalisia hao watoto 50 utawapata?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachokushinda wewe sio kwamba ndio kila mtu kitamshinda.

Huoni pa kuwapata ila mimi ningekua naweza ualimu ningewapata

kama wewe ni mwalimu,Anzisha kisha niambie nikuletee wanafunzi

kazi yangu iwe kuleta wanafunzi na utanilipa kwa kadri tutakavyokubaliana.
 
Hivi mnawaona walimu wajingaaaaaaa eeh! Yote hayo wamefanya kwa taarifa yenu, mpaka wamewafundisha na mmejua kuandika na kusoma mnadhani hizo mbinu hawazijui?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida siyo kutafuta pesa ila shida ipo pale unapoanza kuchukua pesa ya Mwanamme kuifanya kuwa yako. Wewe unaona ni ni rahisi sana kupata hao watoto wa kukulipa Sh 100 kwa siku?

Kumbuka mtaani kuna kundi la walimu ambao tayari wapo kwenye ajira na wana majina yao. Kwahyo kila sehemu bana n ushindani tu hayo mawazo yako niliwahi kuyafanyia kazi na ikashindikana. Ila nikwambie tu kuwa kama tayari umeajiriwa au umejiajiri na unaingiza pesa nzuri mshukuru Mungu sana
 
Hii ni Microsoft Word + Microsoft Excel calculations.

Mambo kwa Ground tofauti kabisa.
 
Unajua maisha ya sasa hivi kila mtu analia kilio chak,huyu atalia sauti ndogo,yule kubwa,yule mwingine atalia kimoyo moyo ila wote tunalia na kubwa linalotoa watu machozi ni Ugumu wa maisha,ukosefu wa ajira,nk.

Leo nitaongea na walimu tu ambao wengi hulalamika ajira hamna,maisha magumu na mtu ana Certificate safi,Diploma mpk Degree ila kilio chake ni kile kile "ajira", hii nitaiongelea kama theory sana maana sijawahi ifanya wala sitegemei kuja kuifanya lkn naamini wapo watakaoweza igeuza hii ikae ki practical zaidi na sio ki blah blah za CONTROLA

Unajua katika hizi elimu tunazopitia ni kweli zipo fani tunazosomea ambazo ni ngumu kuanza kujiajiri kama huna mtaji au huna mtu wa kukuwezesha maana fani za namna hiyo zinahitaji mitaji pesa,mitaji vifaa nk nk, ila kuna hii fani ya ualimu ambayo nimeshashuhudia walimu wakiitumia kupiga mkwanja kuliko hata wale walimu walio ktk ajira maana ni moja ya fani ambazo mtaji wake mkubwa ni "kilichopo ndani ya ubongo wako"

Walimu wengi hujiajiri kwa njia za tuition(vizuri kabisa) lkn ktk hawa walimu wengi wao karibia 81% Tuition hizo hufa kifo cha mende miguu juu,unajua ni kwanini hizo tuition zao hufa? Hawa walimu si kwamba hawafundishi vizuri,si kwamba hawajulikani kama wanafundisha tuition,hapana ila shida ya hawa walimu woteee tuition zao zinazokufa ukiwauliza sababu ya wao kutoendelea na tuition jibu lao ni moja kwamba "wanafunzi hamna"

Mwalimu anakwambiia wanafunzi hamna,unamuuliza swali,wanafunzi hamna kivipi kwamba wale wanafunzi wamefika chuo wote au wamehama huo mtaa au imekuaje wanafunzi hamna wakati wanafunzi wale wale tunawaona wanaendelea kwenda shule??

Mwalimu anakwambia "wazazi hawana pesa" (sababu kuu) unakuta unamfundsha tuition mtoto wa mtu kufika mwisho wa mwezi Ada sh 30,000,15,000.10,000,nk mtoto hana au anakwambia hajapewa na mzazi,hivyo unajikuta unafundisha hata miezi mi3 wale watoto hawalipi ada unajikuta unafanya kazi kichaa mwisho unaamua ufunge tu tuition maana hamna jinsi.

Mwalimu akishakwambia hivyo,unagundua kitu kuwa huyu/hawa walimu Akili zao bado kuna kitu zimemiss,mtoto hana ada mzazi wake anajua kbsa hana ada lkn anaendelea kumwambia mtoto aende tuition tena wakati mwingine huko nyumbani akikutwa hajaenda tuition anachapwa fimbo kbsa ila huyu mzazi anamwambia mtoto aende tuition angali akijua Hajamlipia Ada ya tuition huu ni mwezi wa 3 sasa.

Kumbe shida si kwamba mwalimu hafundshi vizuri,wala si kwamba yule mwalimu kaacha kufundsha tuition ila unagundua sababu kubwa ya huyu/hawa wazazi kutoendelea kuwapeleka watoto tuition sababu kubwa ni ADA/PESA.

Sasa iko hivi mwalimu unatakiwa ufahamu kuwa wazazi wanahitaji sana watoto zao waende tuition,lkn mfahamu kuwa wazazi hao hao ADA za kuwalipia hawa watoto kwa mwezi zinawapiga chenga sometimes,sasa swali,Ufanyeje ili tuition yako iweze ku dumu kwa muda mrefu na wewe uendelee kupiga pesa miaka na miaka?

Katika maisha ya sasa hivi hamna kitu kinawashinda watu wengi kuanzia maskini mpk matajiri wakubwa na hata mimi CONTROLA ktk vitu vinanipa changamoto ni saving ya pesa,yani nimeshashindwa kbsa kuhifadhi pesa kama pesa(tuachane na hayo) sasa kama saving ni ngumu kwa kila mtu unafikiri hao wenye watoto wanaokosa ada unadhani hawapati hiyo 10k ya ada kwa mwezi? au unafkri n kweli kwa mwezi hawezi kukupa hiyo 30k yako? si kweli shda ni kwamba watu kukaa na pesa mbele yao hawawezi,sasa tunafanyaje ili kuipata pesa yao?

  • BADILISHA UTARATIBU WAKO WA UPOKEAJI ADA KWA WANAFUNZI WAKO

Unajua kila mwalimu kashakariri kuwa malipo ya tuition n kwa mwezi na hana option B yale malipo yanaposhindkana kulipika option yao kuu ni Kufunga tuition na kutafuta mishe zingine za kufanya.

Unajua kila mtu ana malengo yake ktk maisha ya sasa,ndio mana leo hii nikikwambia wewe njoo nikuajiri nikulipe 50,000 kwa mwezi utasema huwezi,hii n kwasababu 50k n ndogo ktk mahitaji yako,lakini 50k hyo hyo kuna mtu ukimpa inamtosha mpk na chenchi, (nataka kusema nini?)

Mwalimu unapokua unaanzisha tuition lazima uwe na malengo kwamba mimi naanzisha tuition ambayo nataka kwa mwezi inilipe mshahara wa 500,000 na si chini ya hapo,mwingine anaweza akasema nataka tuition ambayo kwa mwezi itanilipa 300k na si chini ya hapo,kila mtu ana malengo yake maana tumetofautiana.

Leo naomba tuanze na huyu mwalimu wa primary aliyejiwekea anataka malengo yake aingize 500k kwa mwezi kupitia tuition na si chini ya 500k,huyu mwalimu atafanyaje ili kuipata 500k yake (tupo na mwalimu wa shule ya msingi leo)

Nimesema utaratibu wa upokeaji ada lazima ubadilishwe,watu si wamezoea kulipa tuition kwa mwezi Sisi huyu mwalimu wetu naomba tuition Fee yake kwa kila mwanafunzi aichukue kwa siku ambayo ni sh.100 per Day/subject.

lazima ujiulize kwa sh.100 nahitaji wanafunzi wangapi kwa siku ili kufikia lengo langu la 500k kwa mwezi,huyu mwalimu ataenda kwa mpangilio ufuatao ili kukamilisha lengo lake.

Tumesema

somo 1 = 100tsh

Kwa hesabu zangu za chap chap hapa nahitaji wanafunzi si chini ya 70 ili kuweza kufikia lengo langu nililo jiwekea,sasa baada ya kujua hilo lazima ujiulize hawa wanafunzi 70 nawafundishia wapi? (tafuta mwenyewe utapowafundishia sio kila kitu utafuniwe)

Baada ya kupata eneo la kuwaweka hawa wanafunzi sasa tuje katika utendaji kazi,tumesema somo ni sh.100 ,hapa nahitaji wanafunzi 50 ambao hawa wanafunzi watasoma masomo matatu yani English,Hesabu na Science, na kwa kila mwanafunzi atakaesoma masomo matatu atapata bonus ya kufundisha "Kiswahili" BURE. (bonus subject)

Hapa maana yake

1=100

3=300

300 x 50 =15,000 (kwa siku)

15,000 x 30 = 450,000 (kwa mwezi)

Kwa wanafunzi wetu 50 wa kusoma masomo matatu kwa mwezi tunakunja 450,000 kibindoni,hapa bado hatujafikia lengo letu la 500k,sasa tuna wanafunzi wengine 20 pembeni waliobaki.

Hawa wanafunzi 20 ni wale wanafunzi ambao hawawezi kumudu gharama za masomo ma 3, hawa n wanafunzi ambao wako vizuri masomo yote kasoro 1,nk nk sababu zipo nyingi za hawa kusoma somo 1 tu.

hapa maana yake

1=100

20 x 100 = 2,000 (kwa siku)

2,000 x 30 = 60,000 (kwa mwezi)

Hapa tukija jumlisha 450,000 + 60,000 = 510,000 (tumevuka lengo letu),sasa hii 10k iliyozidi ina sababu zote za msingi kuzidi,haijazidi kimakosa maana yake ni kwamba ktk wale wanafunzi 20 ambao husoma somo 1 kwa siku,kuna wanafunzi 10 n waaminifu watakuja kila siku na kuna 10 ambao hawa leo atakuja kesho haji so hii 10 ita cover wale ma dodgers.

Kuna mtu nimemsikia huko akiuliza eti ntawapata wapi hawa wanafunzi 70 kwa mkupuo? aisee hamnaga biashara inaanza na wateja siku ya kwanza tu kwahyo kubali kuanza chini taratibu na kwakutumia hao hao unaowafundsha watakuletea wenzao wengi zaidi.

Faida za kutoza sh.100 kwa somo

  • Ni rahisi kulipika kwa mzazi yeyote yule
  • Ni rahisi kwa mtoto mwenyewe kujilipia hata kama mzazi hana hela

Unaweza kuona hawa wanafunzi 70 ni wengi sana,ila nataka ufahamu wanafunzi 70 kwa primary ni wachache sana,mliosoma kayumba international school mtakubaliana namimi kuwa darasani kwenu number ilikua inasoma ngapi.

Ushauri:

Hii project usiichukulie poa ukasema utaimudu peke ako ukajiona una fit nataka nikwambie kwa kuanza kweli unaweza imudu peke ako ila kama wazzi wataona matunda chanya ya ubora wa elimu unayowapa watoto wao nakuhakikishia utalemewa,tafuta Mwenzako muwe team ya watu wawili tu kisha changanyeni idea then ingieni mashuleni tangazeni kuwa mnafundisha tuition,Tafuteni posho kidogo ya kumpa MWALIMU MKUU wa kila shule mnayoenda kuomba mzunguke kutangaza huduma yenu.

mkizunguka shule 3 tu kuanzia darasa la 1 mpk la 7 sidhani kama mtaweza kukosa wanafunzi chini ya 200 kwa siku ya kwanza tu mmeanza hii huduma,si rahisi ila inawezekana mkiamua.HII NI PESA WAJOMBA (natamani mwenzenu ningekua mwalimu hamjui tu bahati mliyonayo).

Vilio za kukosa Ajira waachieni madaktari bana na ma pilot,hivi umesomea u pilot unaanzaje kujiajiri? labda ukajirushe juu ya dabo deka hadi chini sijui utajilipaje hapo,ACHENI BANA NYIE WALIMU shida yenu ni moja tu na wengi wenu hii ndio inawamaliza na mkiendekeza hili neno la "nitaonekanaje/watanichukuliaje/Aibu" mtakufa maskini.

Nawatakia utekelezaji mwema,namalizia kama nilivyoanza Mimi sio mwalimu na nimeleta hili kama story tu,tuambiane Je inawezekana au haiwezekani,msiniulize swali lolote kuhusu hiki nilichoandika,ninachoweza tu kuwajibu kama mtaniuliza ni hili swali?

Umeshawahi kuona mtu anafanya hivyo?

Jibu : Ndio nimewahi kuona tena ana Kijiji cha wanafunzi,sasa hivi ana Shule kabisa.
Na wewe suala dogo hivi umetungia kitabu? Jifunze kufupisha mambo.
 
Unajua maisha ya sasa hivi kila mtu analia kilio chake, huyu atalia sauti ndogo, yule kubwa, yule mwingine atalia kimoyo moyo ila wote tunalia na kubwa linalotoa watu machozi ni Ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, nk.

Leo nitaongea na walimu tu ambao wengi hulalamika ajira hamna,maisha magumu na mtu ana Certificate safi,Diploma mpk Degree ila kilio chake ni kile kile "ajira", hii nitaiongelea kama theory sana maana sijawahi ifanya wala sitegemei kuja kuifanya lkn naamini wapo watakaoweza igeuza hii ikae ki practical zaidi na sio ki blah blah za CONTROLA

Unajua katika hizi elimu tunazopitia ni kweli zipo fani tunazosomea ambazo ni ngumu kuanza kujiajiri kama huna mtaji au huna mtu wa kukuwezesha maana fani za namna hiyo zinahitaji mitaji pesa,mitaji vifaa nk nk, ila kuna hii fani ya ualimu ambayo nimeshashuhudia walimu wakiitumia kupiga mkwanja kuliko hata wale walimu walio ktk ajira maana ni moja ya fani ambazo mtaji wake mkubwa ni "kilichopo ndani ya ubongo wako"

Walimu wengi hujiajiri kwa njia za tuition(vizuri kabisa) lkn ktk hawa walimu wengi wao karibia 81% Tuition hizo hufa kifo cha mende miguu juu,unajua ni kwanini hizo tuition zao hufa? Hawa walimu si kwamba hawafundishi vizuri, si kwamba hawajulikani kama wanafundisha tuition,hapana ila shida ya hawa walimu woteee tuition zao zinazokufa ukiwauliza sababu ya wao kutoendelea na tuition jibu lao ni moja kwamba "wanafunzi hamna"

Mwalimu anakwambiia wanafunzi hamna,unamuuliza swali,wanafunzi hamna kivipi kwamba wale wanafunzi wamefika chuo wote au wamehama huo mtaa au imekuaje wanafunzi hamna wakati wanafunzi wale wale tunawaona wanaendelea kwenda shule??

Mwalimu anakwambia "wazazi hawana pesa" (sababu kuu) unakuta unamfundsha tuition mtoto wa mtu kufika mwisho wa mwezi Ada sh 30,000,15,000.10,000,nk mtoto hana au anakwambia hajapewa na mzazi, hivyo unajikuta unafundisha hata miezi mi3 wale watoto hawalipi ada unajikuta unafanya kazi kichaa mwisho unaamua ufunge tu tuition maana hamna jinsi.

Mwalimu akishakwambia hivyo,unagundua kitu kuwa huyu/hawa walimu Akili zao bado kuna kitu zimemiss,mtoto hana ada mzazi wake anajua kbsa hana ada lkn anaendelea kumwambia mtoto aende tuition tena wakati mwingine huko nyumbani akikutwa hajaenda tuition anachapwa fimbo kbsa ila huyu mzazi anamwambia mtoto aende tuition angali akijua Hajamlipia Ada ya tuition huu ni mwezi wa 3 sasa.

Kumbe shida si kwamba mwalimu hafundshi vizuri, wala si kwamba yule mwalimu kaacha kufundsha tuition ila unagundua sababu kubwa ya huyu/hawa wazazi kutoendelea kuwapeleka watoto tuition sababu kubwa ni ADA/PESA.

Sasa iko hivi mwalimu unatakiwa ufahamu kuwa wazazi wanahitaji sana watoto zao waende tuition,lkn mfahamu kuwa wazazi hao hao ADA za kuwalipia hawa watoto kwa mwezi zinawapiga chenga sometimes,sasa swali,Ufanyeje ili tuition yako iweze ku dumu kwa muda mrefu na wewe uendelee kupiga pesa miaka na miaka?

Katika maisha ya sasa hivi hamna kitu kinawashinda watu wengi kuanzia maskini mpk matajiri wakubwa na hata mimi CONTROLA ktk vitu vinanipa changamoto ni saving ya pesa,yani nimeshashindwa kbsa kuhifadhi pesa kama pesa(tuachane na hayo) sasa kama saving ni ngumu kwa kila mtu unafikiri hao wenye watoto wanaokosa ada unadhani hawapati hiyo 10k ya ada kwa mwezi? au unafkri n kweli kwa mwezi hawezi kukupa hiyo 30k yako? si kweli shda ni kwamba watu kukaa na pesa mbele yao hawawezi,sasa tunafanyaje ili kuipata pesa yao?

BADILISHA UTARATIBU WAKO WA UPOKEAJI ADA KWA WANAFUNZI WAKO
Unajua kila mwalimu kashakariri kuwa malipo ya tuition n kwa mwezi na hana option B yale malipo yanaposhindkana kulipika option yao kuu ni Kufunga tuition na kutafuta mishe zingine za kufanya.

Unajua kila mtu ana malengo yake ktk maisha ya sasa,ndio mana leo hii nikikwambia wewe njoo nikuajiri nikulipe 50,000 kwa mwezi utasema huwezi,hii n kwasababu 50k n ndogo ktk mahitaji yako,lakini 50k hyo hyo kuna mtu ukimpa inamtosha mpk na chenchi, (nataka kusema nini?)

Mwalimu unapokua unaanzisha tuition lazima uwe na malengo kwamba mimi naanzisha tuition ambayo nataka kwa mwezi inilipe mshahara wa 500,000 na si chini ya hapo,mwingine anaweza akasema nataka tuition ambayo kwa mwezi itanilipa 300k na si chini ya hapo,kila mtu ana malengo yake maana tumetofautiana.

Leo naomba tuanze na huyu mwalimu wa primary aliyejiwekea anataka malengo yake aingize 500k kwa mwezi kupitia tuition na si chini ya 500k,huyu mwalimu atafanyaje ili kuipata 500k yake (tupo na mwalimu wa shule ya msingi leo)

Nimesema utaratibu wa upokeaji ada lazima ubadilishwe,watu si wamezoea kulipa tuition kwa mwezi Sisi huyu mwalimu wetu naomba tuition Fee yake kwa kila mwanafunzi aichukue kwa siku ambayo ni sh.100 per Day/subject.

lazima ujiulize kwa sh.100 nahitaji wanafunzi wangapi kwa siku ili kufikia lengo langu la 500k kwa mwezi,huyu mwalimu ataenda kwa mpangilio ufuatao ili kukamilisha lengo lake.

Tumesema

somo 1 = 100tsh

Kwa hesabu zangu za chap chap hapa nahitaji wanafunzi si chini ya 70 ili kuweza kufikia lengo langu nililo jiwekea,sasa baada ya kujua hilo lazima ujiulize hawa wanafunzi 70 nawafundishia wapi? (tafuta mwenyewe utapowafundishia sio kila kitu utafuniwe)

Baada ya kupata eneo la kuwaweka hawa wanafunzi sasa tuje katika utendaji kazi,tumesema somo ni sh.100 ,hapa nahitaji wanafunzi 50 ambao hawa wanafunzi watasoma masomo matatu yani English,Hesabu na Science, na kwa kila mwanafunzi atakaesoma masomo matatu atapata bonus ya kufundisha "Kiswahili" BURE. (bonus subject)

Hapa maana yake

1=100

3=300

300 x 50 =15,000 (kwa siku)

15,000 x 30 = 450,000 (kwa mwezi)

Kwa wanafunzi wetu 50 wa kusoma masomo matatu kwa mwezi tunakunja 450,000 kibindoni,hapa bado hatujafikia lengo letu la 500k,sasa tuna wanafunzi wengine 20 pembeni waliobaki.

Hawa wanafunzi 20 ni wale wanafunzi ambao hawawezi kumudu gharama za masomo ma 3, hawa n wanafunzi ambao wako vizuri masomo yote kasoro 1,nk nk sababu zipo nyingi za hawa kusoma somo 1 tu.

hapa maana yake

1=100

20 x 100 = 2,000 (kwa siku)

2,000 x 30 = 60,000 (kwa mwezi)

Hapa tukija jumlisha 450,000 + 60,000 = 510,000 (tumevuka lengo letu),sasa hii 10k iliyozidi ina sababu zote za msingi kuzidi,haijazidi kimakosa maana yake ni kwamba ktk wale wanafunzi 20 ambao husoma somo 1 kwa siku,kuna wanafunzi 10 n waaminifu watakuja kila siku na kuna 10 ambao hawa leo atakuja kesho haji so hii 10 ita cover wale ma dodgers.

Kuna mtu nimemsikia huko akiuliza eti ntawapata wapi hawa wanafunzi 70 kwa mkupuo? aisee hamnaga biashara inaanza na wateja siku ya kwanza tu kwahyo kubali kuanza chini taratibu na kwakutumia hao hao unaowafundsha watakuletea wenzao wengi zaidi.

Faida za kutoza sh.100 kwa somo

  • Ni rahisi kulipika kwa mzazi yeyote yule
  • Ni rahisi kwa mtoto mwenyewe kujilipia hata kama mzazi hana hela

Unaweza kuona hawa wanafunzi 70 ni wengi sana,ila nataka ufahamu wanafunzi 70 kwa primary ni wachache sana,mliosoma kayumba international school mtakubaliana namimi kuwa darasani kwenu number ilikua inasoma ngapi.

Ushauri:

Hii project usiichukulie poa ukasema utaimudu peke ako ukajiona una fit nataka nikwambie kwa kuanza kweli unaweza imudu peke ako ila kama wazzi wataona matunda chanya ya ubora wa elimu unayowapa watoto wao nakuhakikishia utalemewa,tafuta Mwenzako muwe team ya watu wawili tu kisha changanyeni idea then ingieni mashuleni tangazeni kuwa mnafundisha tuition,Tafuteni posho kidogo ya kumpa MWALIMU MKUU wa kila shule mnayoenda kuomba mzunguke kutangaza huduma yenu.

mkizunguka shule 3 tu kuanzia darasa la 1 mpk la 7 sidhani kama mtaweza kukosa wanafunzi chini ya 200 kwa siku ya kwanza tu mmeanza hii huduma,si rahisi ila inawezekana mkiamua.HII NI PESA WAJOMBA (natamani mwenzenu ningekua mwalimu hamjui tu bahati mliyonayo).

Vilio za kukosa Ajira waachieni madaktari bana na ma pilot,hivi umesomea u pilot unaanzaje kujiajiri? labda ukajirushe juu ya dabo deka hadi chini sijui utajilipaje hapo,ACHENI BANA NYIE WALIMU shida yenu ni moja tu na wengi wenu hii ndio inawamaliza na mkiendekeza hili neno la "nitaonekanaje/watanichukuliaje/Aibu" mtakufa maskini.

Nawatakia utekelezaji mwema,namalizia kama nilivyoanza Mimi sio mwalimu na nimeleta hili kama story tu,tuambiane Je inawezekana au haiwezekani,msiniulize swali lolote kuhusu hiki nilichoandika,ninachoweza tu kuwajibu kama mtaniuliza ni hili swali?

Umeshawahi kuona mtu anafanya hivyo?

Jibu : Ndio nimewahi kuona tena ana Kijiji cha wanafunzi,sasa hivi ana Shule kabisa.
Idea yako ni nzuri, ila iko too theoretical.

Target yako ni wanafunzi wa level gani, chekechea, msingi au sekondari!?

Kama ni msingi au sekondari, kumbuka kuna madarasa tofaut tofaut, hwezkuchanganya wanafunz wa madarasa mawil au zaid ukawafundsha kwa pamoja.

Ukiwagawa kimadarasa, tuseme ukapata madara manne mfano, huwezkupata muda wa kutosha kuwafundisha masomo matatu kila siku (ukizngatia muda wa kufundisha ni jioni wakitoka shule).

Kama ni chekechea, hio inahtaj uwe na skills za kfundsha wale watoto, sio kila mtu anaweza. Sanasana wadada ndo ua wanaweza kuwahandle vzur awa watoto na kuwaimbia nyimbo.

Kama A level inawezekana kama ukiwa mvumilivu. Ila vigezo na mashart kuzingatiwa.
 
Back
Top Bottom