mawazo

  1. JamiiForums Tanzania Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

    habari great thinkers. Uwepo wa mungu ni matokea ya maendeleo ya binadamu katika kuupata ustaarabu.Men create the god in their own imagination.Ndo mana wale miungu ya kale kabla ya hizi dini mpya za kisasa walikuwa na maumbo ya kibinadamu(human look_like) hata sifa walikuwa kama binadmu...
  2. JamiiForums Tanzania Mwananchi: Hamza alikuwa na msongo wa mawazo kwa kupoteza milioni 400

    Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi. Polisi wangejitokeza basi kutupa muelekeo wa tukio, naamini sababu ya Hamza kufanya...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Orodha ya startups Tanzania na mawazo ya kuanzisha startups mpya

    Habari wana Jf, kama kichwa cha habari kinavyojeleza, lengo la uzi huu ni kuwa endelevu, kuorodhesha startups mbalimbali na mawazo mbalimbali ya kuanzisha Startups hapa Tanzania ili kuletata hamsa ya ukuwaji wateknolojia yenye kuleta faida kwa jamii yetu na ulimwengu kwaujumla. Kwanini...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa na mahusiano na binti asiye na maambukizi ya VVU, anataka tukutane kimwili

    Mimi ni kijana/mwanaume ninayeishi na VVU kwa muda mrefu sasa hivi nimekua nina mahusiano na binti asiye na maambukizi na kwa sasa kwa hakika ninashuhudia mapenzi ya dhati katika historia ya maisha yangu. Changamoto; kwa muda amekuwa akitaka mimi na yeye tukutane kimwili nikawa namtolea nje...
  5. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuchapa watoto hovyo ni tabia za watu maskini wenye msongo wa mawazo

    Habari!. Watoto wa matajiri hufanikiwa zaidi kwakuwa ni watoto wanaokua kwa furaha. Wazazi wao ni marafiki zao. Mtoto hahitaji majumba ya ghorofa, hahitaji magari ili afurahi. Anahitaji kupendwa na kupewa vizawadi vidogovidogo kabisa. Uswahili watoto wanadundwa sana , wanakaripiwa sana na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yako kwenye hili

    Habari, hii ni habari ya kweli kabisaa, niliunganishwa na best friend wangu katika kazi Fulani, nilifurahi Sana kutokana na wakati huo nilikuwa na uhitaji wa kazi. Rafiki yangu hiyo naweza sema.ni mtummwenye moyo wa kipekee Sana maana,kibongobongo ni ngumu rafiki kukupeleka sehemu yenye ulaji...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi ni nzuri kwa mwalimu wa shule ya msingi?

    Kozi nzuri kwa mwalimu wa shule msingi anayoweza kuchukua kwa kiwango Cha degree, kozi yenye wigo mpana pamoja na fursa, chuo gani? Ufaulu div 3.13 HGK Anayetaka mawazo yenu ni in-service wa miaka 5
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mawazo utaratibu wa kuchanja

    Juzi ndugu yangu aliweza kuwasajili wazazi wetu kwa chanjo kwa kutumia mtandao. Walipewa tarehe 5 kwenye kituo kule Ununio. Leo hii wakagundua kuna utaratibu mwingine wa kwenda kupanga line na kupata chanjo papo kwa papo kwa kujaza form. Sasa waliojiandikisha ni kama wanarukwa na hawa ambao...
  9. JamiiForums Tanzania Zijue athari 8 zisababishwazo na msongo wa mawazo

    ATHARI 8 ZISABABISHWAZO NA MSONGO WA MAWAZO Msongo wa mawazo unajulikana kama sehemu ya maisha ya kawaida. Mwili wako unaweza kuitikia hali hii kiakili na kimwili. Hata hivyo msongo wa mawazo unaweza kusababisha athari mbaya kwako.zifuatazo ni athari mbaya za msongo wa mawazo.(8). 1. Uharibu...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Wanaosoma CPA Tanzania karibuni kwa mawazo ma ushauri

    Hello members, Nimeanza kusoma CPA NBAA Tanzania. Nipo foundation Level. Bado sijatembelea vituo vingi vya tuition. Najisomea taratibu kila nipatapo chance. Karibuni tujadili mawili matatu.
  11. JamiiForums Tanzania Mshana Jr mawazo yako.gm ya kesho kama uko hai mpwa

    Ntafurahi nikiona mawazo ya mpwa want HUyu kabla ya mechi Simba vs yanga Otherwise namtakiaaa mechi njema.kama n mpenzi waoujichanganya avae BARAKOA anawe mikono kabla ya kuzama vibandavyetu vile binafsi ntakuwa kimara bucha WAZEE wA bomoabomoa Njoooona SADAKA YA UKOMBOZI OKOA YANGA ISHINDE
  12. JamiiForums Tanzania Hans Pope: Manara hataki kusaini mkataba ambao atalipwa milioni 4

    Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
  13. JamiiForums Tanzania Haya mawazo ni sahihi au kuna sehemu nimekosea nipeni mwongozo

    Je haya mawazo ni sahihi au kuna sehemu nimekosea nipeni mwongozo. Mawaziri na Spika: Waziri mkuu, mawaziri wa wizara, spika wa bunge na naibu spika wa bunge wanatakiwa wasiwe wabunge. Matokeo ya uchaguzi Mkuu: Matokeo ya uchaguzi mkuu yahojiwe mahakamani. Tume huru ya uchaguzi: Kuwepo na...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri; hiki ninachoenda kufanya ni sahihi?

    Wakuu habari zenu na poleni kwa majukumu. Naombeni ushauri kwa hili jambo ingawa ni la kiofisi ila naamini humu nitapata muongozo au mawazo yatayoniongoza kufanya maamuzi sahihi. Ipo hivi, nipo kwenye kampuni ambayo inajihusisha na mambo ya afya narudia tena (a profit kampuni) kwasasa nimepewa...
  15. JamiiForums Tanzania Tarimba: Kuna watu wana mawazo mazuri ila wengine ni porojo; Wananchi kuna manufaa katika kulipa kodi

    "Tukisimama pamoja kama Wananchi hakika tutasonga mbele kulipa kodi moja kwa moja ni kuijenga nchi yako. Tutakuwa wakali kwenye ubadhirifu. Bunge tulijadili bajeti ya kila Wizara takribani miezi mitatu yanayotokea leo ni utekelezaji wa bajeti iliyojadiliwa takribani miezi mitatu ndugu zangu...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa anayejua huu ugonjwa Anal Fissure anisaidie mawazo

    Wadau habari za jioni? Kama mada ilivyo hapo juu kuna huo ugonjwa unaitwa Anal fissure siujui jina lake kwa kiswahili, yani unakua kama kunavinyama fulani vinatokea kwenye anus vinatokana na mchaniko unaosababishwa na choo ngumu. Huu uugonjwa unadawa ambayo inaweza kuuponesha tofauti na...
  17. JamiiForums Tanzania Utafiti: Msongo wa mawazo huweza kusababisha Mtu kuota mvi mapema

    Kulingana na utafiti mpya wa Chuo Kikuu cha Columbia uliochapishwa katika jarida la eLife: wakati chanzo cha mafadhaiko kinapoondolewa, nywele zinaweza kurudi kwenye rangi yake ya kawaida. Kwa miongo kadhaa tumejaribu kuelewa husiano uliopo kati ya msongo wa mawazo na kuota kwa mvi, na huu ndio...
  18. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu.

    Kati ya hizo course hapo ni ipi course ambayo ina wigo mkubwa wa ajira.🙏🙏🙏 Naombeni ushauri wenu kwa mwenye ujuzi 🙏
  19. JamiiForums Tanzania Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Habari wakuu, Ni dhahiri kuwa Jukwaa letu la Biashara limesheheni mada nyingi zenye miongozo kwa wanaoanza biashara na hata wanaohitaji msaada kwa biashara zao. Kutokana na mada nyingi kuwa na umuhimu na kuwa sticky, inalazimu kuweka links za mada hizi sehemu moja kwa urahisi wa kuzifikia na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nina changamoto ya namna ya kupima chakula na juice ya kutengeneza ili kupata faida kwenye biashara yangu

    Habari zenu wadau, Naomba kuuliza namna ya kupima chakula cha biahara mfano wali na nyama au ugali na mboga zake ili kupata faida Pia juice ya parachichi na embe au embe na passion huniletea hasara sijajua kuna kitu cha nyongeza cha kuweka ili kuifanya iwe nyingi au labda natengeneza nzito...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…