mawazo

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kuwapa hela vibarua wa kulima shamba langu kwa kutumia jembe la mkono

    Wakuu habari za mchana, Nimekuja kwenu kuleta wazo na kuomba ushauri hii ni kutokana na ukweli kwamba nimechoka kuwapa hela vibarua wa kulima shamba langu kwa kutumia jembe la mkono. Hivyo nikawaza nikiwa kijijini tulikuwa tunatumia jembe la kukotwa kwa ngómbe (Plau) hivi hakuna namna...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Nadhani naweza nkapata msongo wa mawazo utakaonipeleka pabaya

    Nimeweka sana juhudi kwenye kujijengea maisha lakini nguvu zote hazijafua dafu. Muda huu nimelala apa kitandani ila usingizi sipati kwa maana nipo kwa baba wakati ilinipasa niwe nafanya harakati za kuoa kwa umri wangu. Nimetafuta sana mtu wa kunifadhili mtaji nifanye biashara ninayoifaham vyema...
  3. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutengeneza Pesa kwa kutumia Mawazo

    NAMNA YA KUTENGENEZA PESA KWA KUTUMIA MAWAZO (AKILI) Mtaalamu Albert Eisteirn aliwahi kusema kwamba asilimia 5% ya watu wote duniani ndio wanaoweza kufikiri Na asilimia 15% ya watu wote duniani huwa hawajui kama wanafikiri au hawafikiri. Na asilimia 80% ya wanadamu wote wako tayari KUFA...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna namna yeyote ile 7 - 1 jibu likawa 5? Tusaidiane mawazo

    Je, kuna any possible scenario ambapo 7 - 1 outcome ikawa ni 5? Kweli hakuna kabisa uwezekano?
  5. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Mwanamke ana wastani wa mawazo 70,000 kwa siku

    Uzi tayari. Ila mimi sikubaliani na utafiti kwamba eti wanawake hawana Kinga ya kutosha kutokana na kuwaza zaidi. Kama hawana Kinga mbona wanaishi Umri mrefu kuliko wanaume? ====== Imeelezwa kuwa mwanamke ana wastani wa mawazo 70,000 kwa siku na inaaminika asilimia 70 huwaza vitu vya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusiana na mkutano wa waziri Wang Yi na waandishi wa habari

    Nilifuatilia mkutano wa waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na waandishi wa habari uliochukua takriban dakika 70, na jambo muhimu kwangu ni yeye kuzungumza kuhusu ushirikiano wa China na Afrika. Muhimu zaidi ni yeye kujibu madai kuwa China inaweka mitego ya madeni barani Afrika. Wang Yi...
  7. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasomi wengi ni masikini tena waliopo sekta za umma

    Wadau habari za mida naomba mchango wenu wa mawazo kwanini wafanyakazi wengi wa umma ni masikini unakuta mtuu ana bachelors degree ila unakuta anaishia kumiliki nyumba na gari moja tuu ambapo ukiangalia ni vitu vya kawaida sana yani hata hakuna maajabu wanauofanya kama wenzetu ukichukulia...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Nakopi wazo la Q-Beans kuuza maharagwe ya kuchemsha

    Habar wakuu, Kwanza nikiri kuwa nepata wazo la kufanya hii biashara ya maharage ya kuchemsha kutoka humu humu kwa MSELA Q Beans, Ila sio dhambi, msela nimemtafuta kwa number yake ile ya watsap aliyoitoa lakini haipatikani. Nimecheki inbox hajajibu, huenda Yuko bize, najua akiwa online...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kufungua shule ya chekechea na Primary. Naombeni mawazo tafadhali

    Ndugu zangu, nimepata mawazo ya kufungua shule ya chekechea maeneo ya kiluvya, tuna eneo mimi na mkwe wangu la heka tisa. Tunataka kuanza na chekechea, baadaye tuongeze hadi primary baada ya kuisoma biashara na mwenendo wake. Naomba mwenye uzoefu na biashara hii atuambie changa moto zake...
  10. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Nawashukuru sana wana Jamiiforums, mipango ilianzia hapa na hoja na mawazo niliyapatia hapa hakika tunaishi kwa upendo sana!

    Kwanza kabisa naomba nitoe shukrani na samahani nyingi kwa kuchelewa kutoa shukrani kwa msaada mlionipatia hapa na nimerudi hapa pia hakika hapa ni shule na nisehemu ya kujifunza na kuelimika zaidi ya hapo ni mahala ambapo hutakiwi kuishi kiubinafsi mtu anapoleta hija au maoni tusiishie kumcheka...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mawazo yanahitajika kuhusu Uncle kulala na mtoto chumba kimoja

    Habari ya leo. Miezi kama 3 iliyopita alinitembelea shemeji yangu wa kiume (miaka zaidi ya 30) na alilala chumba cha watoto. Ikumbuke Nina Binti/mtoto wa kike miaka 5, wakati huo niliongea na mama watoto kuwa next time sitaki kuweka utu wa mtoto wangu rehani kwa watu wanaojiita "uncle" Leo...
  12. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anafanya na kuongea mambo ambayo hayaeleweki

    Habari za wakati huu wana JF wenzangu. Washiriki wenzangu wa kila hali. Leo na mimi nimepata tatizo, tena kwa ndugu yangu, tena ninayekaa nae nyumbani kwangu. Tatizo analolipitia ni anasikia SAUTI za watu zikimuita akiwa ndani, anasikia magari yanakuja nyumbani, anataja polisi wanakuja, mara...
  13. Nyani Mzee Snr

    JamiiForums Tanzania Mchango na uzoefu wenu kwenye Discovery 4 5.0L V8 (Mawazo)

    Kuna jamaa mwamba wangu amenipa sugestion ya hii chuma katika kusakanya mkangafu wa kutunishiana misuri rodini huko.. toka jana nimekua na google nacheki youtube kuhusu hii chuma.. Mie ni mpenzi wa sedan ila huku mikoani ambapo nahamia kubaya sana kila siku kuna uwezekano wa kung'oa au bumper...
  14. Contraband

    JamiiForums Tanzania Music Production Thread: Karibuni tubadilishane mawazo kuhusu, mixing trips and tricks na plugins zenye sounds nzuri.

    Habari wanajukwaa, kwa wale wapenzi wa music production tupeane mawazo mapya kwenye utengenezaji muziki, kuanzia utengenezaji wa melodies, drumkits na sounds nzuri zaidi. Vilevile sound engineers kama wapo wanakaribishwa. Sina uhakika kama thread ya aina hii imeshatengenezwa, lakini itasaidia...
  15. Mwanzo ni Mwisho

    JamiiForums Tanzania Wakuu, ushauri na mawazo yenu yanahitajika

    wakuu habari zenu Msaada wenu unahitajika sana, Nina mdogo wangu amesoma famasi ana diploma yake na kutokana na ugumu wamaisha kupata ajira imekua shughuli pevu mdogo wangu huyu ameamua kujiajiri kwa kutafuta kaeneo kake afungue angalau duka la dawa muhimu. Mimi kama kaka yake nimekuballiana...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hawa vijana wetu wa Bavicha mbona wanapenda kupiga dili sana? Kama kitabu kinamhusu kamanda Mawazo kwa nini hela zisiingie akaunti ya chama?

  17. nyboma

    JamiiForums Tanzania Wanawake mjitahidi sana pale mnapotofoutiana na wanaume zenu huko kwenye ndoa msikutane na sisi wanaume

    Hii kitu ni mbaya sana kwa wanawake, kwa ufupi nimegundua ndoa nyingi zina mifarakano mikubwa na wenza wengi wanaishi ili siku zisonge tu. Hisia na kujaliana kwa wenza wengi hakupo tena, wanaume wengi pia hawajali kuhusu kujua ratiba za wake zao zipo vipi. Mwisho kabisa niwaase wana ndoa kama...
  18. Scania 113

    JamiiForums Tanzania Tupeane utaratibu

    Habari za mda huu Nahitaji mchango wenu wa mawazo katika hili ni kwamba nina eneo langu la wazi linatazamana na kituo ch mafuta ambach hakijaa anza kufanya kazi bado hili eneo kama mnavyojua sasa hivi matumizi ya mabanda au vibanda vya biashara ni changamoto sana. Sasa kun wazo nimepewa lakini...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kesi kama hii unatatua vipi wakuu?

    Wakuu,nawasalimia kwa jina la nchi yetu pendwa Tanganyika. Jana nilikua na jamaa yangu mmoja hivi bar ya mtaani kwetu tunapiga vyombo. Sasa bana kwenye ile bar kuna bar maid tumezoeana kiaina, so jioni ile wakati kagiza kameingia na safari lager zangu zikiwa zimenikolea, nikawa nimemuita yule...
  20. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinayakimbiza mawazo yako mazuri unapozishika fedha

    Rafiki yangu mpendwa, Wengi wetu huwa tunakutana na hali hii. Pale unapokuwa huna fedha unakuwa na mawazo mazuri sana. Unakuwa na mipango mizuri kwamba ukipata fedha utazitumiaje vizuri ili upate manufaa makubwa. Ukimuona mtu mwenye fedha anazitumia vibaya, unajiambia huyo hajui matumizi...
Back
Top Bottom