Jenerali Ulimwengu: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8, lakini kina mawazo ya kufikiri yasiyozidi matatu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,796
11,959
MWANDISHI wa Habari Mkongwe, Jenerali Ulimwengu leo Septemba 21,2021 amezindua Kitabu chake RAI YA JENERALI jijini Mwanza na kuhudhuriwa na Askofu Benson Bagonza.

๐—›๐—”๐—ฌ๐—” ๐—ก๐—œ ๐—•๐—”๐—”๐——๐—›๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ก๐—˜๐—ก๐—ข ๐—ฌ๐—”๐—ช๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฌ๐—ข๐—ญ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—ญ๐—” ๐—ช๐—”๐—ž๐—”๐—ง๐—œ ๐—ช๐—” ๐—จ๐—ญ๐—œ๐—ก๐——๐—จ๐—ญ๐—œ ๐—›๐—จ๐—ข....

"Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8, lakini kina mawazo ya kufikiri yasiyozidi matatu" - Jenerali Ulimwengu

"Hakuna uwezekano wa kizazi chetu kupata maendeleo na kupiga hatua ikiwa kitaendelelea kufundishwa kwa lugha wasioijua na pia wale wanaowafundisha nao hawaijui hiyo lugha"- Jenerali Ulimwengu

"Hakuna swali la kijinga ila majibu ndo ya kijinga"- Jenerali Ulimwengu

๐—”๐˜€๐—ธ๐—ผ๐—ณ๐˜‚ ๐—•๐—ฒ๐—ป๐˜€๐—ผ๐—ป ๐—•๐—ฎ๐—ด๐—ผ๐—ป๐˜‡๐—ฎ

"Mwalimu Nyerere aliwahi kusema marais wazuri waongoze kwa vipindi viwili ili waondoke na uzuri wao, lakini marais wabaya wao wataondolewa na wananchi" - Askofu Bagonza

"Tabia ya watu kusifia viongozi waliopo madarakani kufanywe kama kosa la jinai ili kupunguza watu kujipendekeza kwa viongozi kupata uongozi"- Askofu Bagonza

"Watanzania wanahitaji katiba yenye uwezo wa kuweka na kuwaondoa viongozi madarakani badala ilivyo kwa sasa" - Askofu Bagonza

"Muujiza wa elimu ya Tanzania kiongozi akichaguliwa leo akiwa hajui kitu, akishaingia madarakani kesho yake anakuwa anajua kila kitu"- Askofu Bagonza

"Tunaupungufu mkubwa katika Taifa letu la watu wenye Fikra na Uthubutu; Wapo wenye Uthubutu lakini hawana Fikra, kuna watu unawaona wana Fikra lakini hawana Uthubutu. Makundi haya yanahitaji daraja kuyaunganisha" - Askofu Bagonza

"Aslimia 60 ya wabunge wa CCM waliopo bungeni kwa sasa hawakushinda kura za maoni ndani ya chama chao, hata wanachama wao wanajua na wanaona kabisa hawakuwachagua na hivyo wanaona siyo wa wabunge wao"- Askofu Bagonza

"Bunge la sasa lina utata, kuna mabunge mawili (2), moja lipo mdomoni mwa watu na lingiine lipo mioyoni mwa watu," -Askofu Bagonza

Chanzo; Nipashe Mwanga Wa Jamii #NipasheHabari
 
Nchi imesimama hakuna mwananchi anaejielewa tena mwenye matumaini na CCM kwamba itatutoa hatua moja kimaendeleo itupeleke hatua nyingine.

CCM wamechokwa na wananchi, na akili zao zimechoka pia ndio maana kila siku wanarudia kuteua watu walewale waliowatupa wenyewe jalalani, hakuna plan B ya kuongoza serikali, ni business as usual.

Wanachobadili ni sura zao tu, tena nyingine sio mpya ni zile zile miaka na miaka, nazo zimechokwa na wananchi, kule bungeni wamejazana wao hawana jipya, hakuna mwenye habari nao.

Wananchi nao wamezidi kuchoka kiuchumi, ni tozo za kila aina toka kila upande, CCM kuongoza wameshashindwa lakini wanaona sifa kuendelea kuiba kura ili wazidi kumkandamiza mtanzania wa kawaida kwa matokeo ya akili zao mgando.
 
Ulimwengu anapaswa astaafu na apumzike. Yeye alishakuwa kiongozi mkubwa serikalini na hakuna alichofanya na vizazi vya eneo husika kumkumbuka. Ni sawa na Jaji Waryoba..wapiga kelele. Askofu anapenda kick na makofi.
 
Duh, Chama Cha Mazezeta. Hakika wamekosa think tanks. Hebu fikiria, utajiri wote wa rasilimali tulizonazo, tumeshindwa kuzifanya zitusaidie? Very sad.

Tuna chuma, kwanini hatukiendelezi? Tumekiachabtu ardhini.

Hatuna hata kowanda cha kutengeneza pini, hii ni nini au ndio laana zenyewe?

Chama kinaabudu Mwenge, eti Mwenge utaleta amani, mna akili kweli?

Kwanini kwenye Vita ya Kagera hamkuupeleka huo Mwenge?
 
Mwenda zake alisema angeinyoosha hii nchi ndiyo maana akajifanyia anavyotaka yeye. Katika unyoshaji huo hakuona umuhimu wa Demokrasia
 
Huyu Jenerali ni mrundi na mawazo yake ya kihutuhutu!

Askofu wa Chadema Benson Bagonza nae ana kiherehere sana, si agombee tu ubunge maana kaacha kutoa verses za dini sasa kazi yake ni siasa kila kukicha. Benson hajui yeye ni askofu, kachanganikiwa, sasa ni mwanasiasa wa Chadema. Anakesha kutunga sentensi na tungo tata za siasa against CCM tu.
 
๐—”๐˜€๐—ธ๐—ผ๐—ณ๐˜‚ ๐—•๐—ฒ๐—ป๐˜€๐—ผ๐—ป ๐—•๐—ฎ๐—ด๐—ผ๐—ป๐˜‡๐—ฎ

"Mwalimu Nyerere aliwahi kusema marais wazuri waongoze kwa vipindi viwili ili waondoke na uzuri wao, lakini marais wabaya wao wataondolewa na wananchi" - Askofu Bagonza

"Tabia ya watu kusifia viongozi waliopo madarakani kufanywe kama kosa la jinai ili kupunguza watu kujipendekeza kwa viongozi kupata uongozi"- Askofu Bagonza

"Watanzania wanahitaji katiba yenye uwezo wa kuweka na kuwaondoa viongozi madarakani badala ilivyo kwa sasa" - Askofu Bagonza

"Muujiza wa elimu ya Tanzania kiongozi akichaguliwa leo akiwa hajui kitu, akishaingia madarakani kesho yake anakuwa anajua kila kitu"- Askofu Bagonza

"Tunaupungufu mkubwa katika Taifa letu la watu wenye Fikra na Uthubutu; Wapo wenye Uthubutu lakini hawana Fikra, kuna watu unawaona wana Fikra lakini hawana Uthubutu. Makundi haya yanahitaji daraja kuyaunganisha" - Askofu Bagonza

"Aslimia 60 ya wabunge wa CCM waliopo bungeni kwa sasa hawakushinda kura za maoni ndani ya chama chao, hata wanachama wao wanajua na wanaona kabisa hawakuwachagua na hivyo wanaona siyo wa wabunge wao"- Askofu Bagonza

"Bunge la sasa lina utata, kuna mabunge mawili (2), moja lipo mdomoni mwa watu na lingiine lipo mioyoni mwa watu," -Askofu Bagonza

Chanzo; Nipashe Mwanga Wa Jamii #NipasheHabari
NJAA ZITAKUUWA ASKOFU MCHUMIA TUMBO NAFIKIRI NA SADAKA UNAIBA WEWE
 
MWANDISHI wa Habari Mkongwe, Jenerali Ulimwengu leo Septemba 21,2021 amezindua Kitabu chake RAI YA JENERALI jijini Mwanza na kuhudhuriwa na Askofu Benson Bagonza.

๐—›๐—”๐—ฌ๐—” ๐—ก๐—œ ๐—•๐—”๐—”๐——๐—›๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐— ๐—”๐—ก๐—˜๐—ก๐—ข ๐—ฌ๐—”๐—ช๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—ฌ๐—ข๐—ญ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐— ๐—ญ๐—” ๐—ช๐—”๐—ž๐—”๐—ง๐—œ ๐—ช๐—” ๐—จ๐—ญ๐—œ๐—ก๐——๐—จ๐—ญ๐—œ ๐—›๐—จ๐—ข....

"Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8, lakini kina mawazo ya kufikiri yasiyozidi matatu" - Jenerali Ulimwengu

"Hakuna uwezekano wa kizazi chetu kupata maendeleo na kupiga hatua ikiwa kitaendelelea kufundishwa kwa lugha wasioijua na pia wale wanaowafundisha nao hawaijui hiyo lugha"- Jenerali Ulimwengu

"Hakuna swali la kijinga ila majibu ndo ya kijinga"- Jenerali Ulimwengu

๐—”๐˜€๐—ธ๐—ผ๐—ณ๐˜‚ ๐—•๐—ฒ๐—ป๐˜€๐—ผ๐—ป ๐—•๐—ฎ๐—ด๐—ผ๐—ป๐˜‡๐—ฎ

"Mwalimu Nyerere aliwahi kusema marais wazuri waongoze kwa vipindi viwili ili waondoke na uzuri wao, lakini marais wabaya wao wataondolewa na wananchi" - Askofu Bagonza

"Tabia ya watu kusifia viongozi waliopo madarakani kufanywe kama kosa la jinai ili kupunguza watu kujipendekeza kwa viongozi kupata uongozi"- Askofu Bagonza

"Watanzania wanahitaji katiba yenye uwezo wa kuweka na kuwaondoa viongozi madarakani badala ilivyo kwa sasa" - Askofu Bagonza

"Muujiza wa elimu ya Tanzania kiongozi akichaguliwa leo akiwa hajui kitu, akishaingia madarakani kesho yake anakuwa anajua kila kitu"- Askofu Bagonza

"Tunaupungufu mkubwa katika Taifa letu la watu wenye Fikra na Uthubutu; Wapo wenye Uthubutu lakini hawana Fikra, kuna watu unawaona wana Fikra lakini hawana Uthubutu. Makundi haya yanahitaji daraja kuyaunganisha" - Askofu Bagonza

"Aslimia 60 ya wabunge wa CCM waliopo bungeni kwa sasa hawakushinda kura za maoni ndani ya chama chao, hata wanachama wao wanajua na wanaona kabisa hawakuwachagua na hivyo wanaona siyo wa wabunge wao"- Askofu Bagonza

"Bunge la sasa lina utata, kuna mabunge mawili (2), moja lipo mdomoni mwa watu na lingiine lipo mioyoni mwa watu," -Askofu Bagonza

Chanzo; Nipashe Mwanga Wa Jamii #NipasheHabari
"Bunge moja lipo mdomon mwa watu lingine lipo mioyon mwa watu" nimekuelewa askofu
 
Ulimwengu anapaswa astaafu na apumzike. Yeye alishakuwa kiongozi mkubwa serikalini na hakuna alichofanya na vizazi vya eneo husika kumkumbuka. Ni sawa na Jaji Waryoba..wapiga kelele. Askofu anapenda kick na makofi.
Mi nafikiri mtu aliyepita huko ndiyo anauhalali zaidi wa kuongelea na kukosoa mapungufu kuliko ambaye hajawahi pita. Huyo ndiyo wakusikilizwa zaidi.
 
Askofu wa Chadema Benson Bagonza nae ana kiherehere sana, si agombee tu ubunge maana kaacha kutoa verses za dini sasa kazi yake ni siasa kila kukicha. Benson hajui yeye ni askofu, kachanganikiwa, sasa ni mwanasiasa wa Chadema. Anakesha kutunga sentensi na tungo tata za siasa against CCM tu.
Askofu siyo mnafki...
 
Ubaya na CDM,siku akijaribu kumkosoa Mwenyekiti au chama wataanza kumrushia madongo na kumtusi.
 
Back
Top Bottom