maudhui

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watengeneza maudhui ya kimtandao walia na Kodi mpya

    Sheria mpya inayoweka kodi ya 15% kwenye mapato ya watengeza maudhui mtandaoni yaanza kufanya kazi Kenya, lakini haijapokelewa vizuri na vijana ambao wengi ndio watengeza maudhui ya mtandao. Rais Ruto alipitisha sheria hiyo Julai. "Nadhani wanapaswa kupitia upya Sheria ya Fedha kwa sababu watu...
  2. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Wito: Pamoja na kusainiwa kwa mikataba mitatu ya wawekezaji wa Dubai Serikali ibainishe maudhui yake na mabadiliko yaliyofanywa kwenye mkataba wa IGA

    https://youtu.be/mYG3nEK8BZE Sote tunafahamu kwamba, kwa nchi changa duniani, fursa za uwekezaji wa kigeni sio tu kwamba ni chache, lakini pia zinakuja na mashari ya kikatili, kinyonyaji na kikoloni. Na wakati mwingine zinakuja kwa ghrama kubwa sana. Kuna wakati mazingira asilia ndiyo...
  3. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha maudhui ya mitandaoni cha Israel kinaongozwa na wahuni au watu wasiojitambua

    Toka huu mzozo wa Israel na Palestine kushika kasi kwa sasa. Kuna baadhi ya mambo ya nimeyang'amua yanayo onesha upuuzi wa idara mbalimbali au vitengo mbalimbali katika taifa la Israel. Moja ya kitu kinacho nishangaza na kunipa mashaka juu ya utimamu wa kiakili wa watu wanaongoza utoaji wa...
  4. Influenza

    JamiiForums Tanzania Baada ya Senegal kuizuia TikTok, Mtandao huo waenda kujitetea kwa kueleza sera zake na namna ya inavyozuia maudhui yasiyofaa

    TikTok kwa kushirikiana na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeendesha Mkutano wa kuelezea sera zake ikiwa ni miezi michache tangu Mtandao huo wa Kijamii uzuiwe nchini humo Mkutano huo uliudhuriwa na Wawakilishi kutoka vitengo mbalimbali kama Vyombo vya Kutekeleza Sheria, Kitengo cha Usalama...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi sahihi ya kutengeneza tovuti yako mwenywe

    Bainisha madhumuni na maudhui ya tovuti yako. Fikiria hadhira lengwa na muundo na mpangilio wa jumla ambao ungependa kufikia. Chagua jina la kikoa: Chagua jina la kipekee na la kukumbukwa la kikoa ambalo linaonyesha madhumuni ya tovuti yako. Hakikisha umeangalia ikiwa kikoa unachotaka...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

    Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye anatuhumiwa kuimba wimbo unaojulikana kwa jina la “Tanzania Inaelekea Wapi?” wenye maudhui ya uchochezi na kisha kuurusha katika Mitandao ya Kijamii pamoja na YouTube. Kamanda wa Polisi Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema Mtuhumiwa...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Aibu: Polisi yatuhumiwa kudukua simu ya Wakili Mwabukusi na kumuwekea maudhui Instagram ili impe kesi

    Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Mbeya, Wakili wa Mwabukusi, Mwakilima, amesema kwamba Maudhui yanayosambaa mtandaoni na kudaiwa kwamba ni ya Boniface Mwabukusi yamewekwa na Polisi wenyewe baada ya kudukua akaunti yake ya Instagram baada ya kumnyang'anya simu yake ya mkononi. Taarifa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maudhui ya nyimbo za Taifa HUISHI. Nimeangalia wa Ukraine

    Baadhi ya maneno yaliyopo katika wimbo wa taifa wa Ukraine. " we will lay down soul and body for our freedom " "We will never let anyone be master in our land" "We will stand in a fierce bloody battle,...". Nimeangalia wimbo wa Russia nao maudhui yake yanafanana na tabia zake. Nimeangalia wa...
  9. Missy Gf

    JamiiForums Tanzania Shindano la big brother lina maudhui gani?

    Naomba kujua kuhusu hili shindano la BIG BROTHER. Yaani huwa sielewagi watu wanashindanishwa nini na mshindi anapatikanaje. Kila nikiingia kwenye hiyo channel naona vijana wadogo wamefungiwa mahali wanakula bata humo ndani halafu baadae anatangazwa mshindi. Kuna watu hawalali, wakifatilia hili...
  10. K

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maudhui kwenye Runinga na maendeleo ya kijamii

    Yafaa Runinga zetu ziandae vipindi maalumu kuonyesha ubunifu wa nyanja mbalimbali. Mfano Kilimo cha kisasa, Nyumba bora, Wajasiriamali wabunifu, vijana wachapaka kazi, pia kuonyesha heshima ya kazi zenye kuleta maendeleo yanayoenekana sio yakini.
  11. MWANDAMBO

    JamiiForums Tanzania Maudhui ya jumla na athari za sheria mpya ya TISS

    Sheria ya Usalama wa Taifa (TISS) iliyopitishwa na Bunge la Tanzania. 1. Sheria hii imewapa Kinga (Immunity) maafisa wa Usalama wa Taifa dhidi ya makosa ya Jinai kutokana na majukumu yao. Masharti haya mapya ni tofauti na masharti ya sheria hii kabla ya mabadiliko haya, ambapo maafisa wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania SoC03 Maboresho ya mitaala katika kuzalisha wasomi wenye tija kwa taifa

    Mtaala ni mpango wa masomo ambao hutumiwa na shule au mfumo wa elimu kuamua ni nini cha kufundishwa na jinsi ya kufundisha. Tanzania inatumia Mtaala wa Elimu ya Msingi na Mtaala wa Elimu ya Sekondari, ambayo huwa na malengo ya kufundisha wanafunzi ujuzi, mawazo na maadili wanayohitaji kukua na...
  13. NAMDORY

    JamiiForums Tanzania Ni yapi maudhui Mfuko ya TASAF?

    Ndugu zangu naomba elimu ya malengo ya mfuko wa TASAF, maana hapa kijijini kwetu Nanyamba Mkumbwanana, hii hela hupewa vijana na kuambiwa wafukue barabara. Je, ndio malengo ya TASAF? Naomba elimu kidogo, na kama sioni maudhui ya mfuko huo, tunaomba tufanyeje ili zitumike kwa malengo kusudiwa.
  14. BRN

    JamiiForums Tanzania Movie zenye Maudhui ya Kula/Kuliwa Tunda Kimasihara

    Kama kichwa cha Uzi hapo juu na wale waliowahi kupitia Uzi wa kula Tunda Kimasihara wa rikiboy watakuwa wanaelewa ninachomaanisha. Hizi ni movie ambazo Maudhui yake yamehusisha washiriki wake kufanya ngono au kuwa wapenzi bila kutarajia kwa sababu mbali mbali,nitazitaja hapa na maelezo kidogo...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Upendeleo kwenye jambo lolote, maudhui na muktadha wowote si afya

    Wasalaam JF Niseme ya kwamba upendeleo ukizidi si afya iwe kwa namna yoyote ile, mizania iwe sawa iwe kwa wanao wapendeza na wasio wapendeza nyie miungu wa dunia wenye vyombo na mali zenu. Pingu hazitawashibisha fairness iwe ndio msingi wa kazi yenu. Wadiz
  16. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari na Taasisi mnaosimamia maudhui kwenye vyombo vya habari hasa radio & runinga hamlioni hili?

    Kiukweli Kama Ni mtu ambae unajitambua vizuri utakuwa umeshuhudia Mambo yasiyo na shaha au kusikiliza Mambo yasiyo na staha na ukashindwa kuelewa hv Kuna weledi umetumika vizuri kuanzia chombo husika mpaka wanaowasimamia. Usiku kwa nimejikuta nikisikiliza radio East Africa radio aisee sikujua...
  17. Rogart Ngaillo

    JamiiForums Tanzania TBC FM tafuteni maudhui ya vipindi vyenu, mnakera masikio yetu

    Hapo mwanzo nilikuwa mfuatiliaji sana wa vipindi vya radio...ila niliacha kutokana na kuwa bize na harakati za maisha,nilipenda kufuatilia kutokana na mpangilio mzuri wa vipindi na maudhui yake. Huku kwetu hakuna radio yoyote isikilizwayo zaidi ya TBC Taifa na TBC Fm kwahiyo haina...
  18. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

    Nimeangalia wimbo wa PITA HUKU wa Dula Makabila nimeshangazwa na kipande cha mchungaji akipapasa wamama kisha akaamriwa apite motoni. Yaani mchungaji kawekwa kundi moja na Shoga Aggrey na tomboy na mchawi. Katika wimbo ule hakukuwapo kabisa kipande cha Sheikh akipita mbele ya hukumu wala...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Meta yatishia kuondoa maudhui ya habari za Marekani kwenye Facebook

    Hatua hiyo inaweza kufikiwa ikiwa Sheria mpya inayovipa vyombo vya habari nguvu ya kuamua kuhusu ada ya maudhui yanayowekwa Facebook. Sheria kama hiyo ilipitishwa na mamlaka ya Australia ikasababisha Facebook kusitisha habari za nchi hiyo kwa muda mwaka 2021 Meta inaeleza kuwa vyombo vya...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: 95% Ya wanaofanyia kazi nje ya ofisi wana "stream" movies na muziki muda wa kazi

    50% kati yao walikubali kutiririsha movies wakati wa saa za kazi, mfanyakazi 1 kati ya 5 alisema anatiririsha maudhui wakati wa muda wa kazi kwa sababu wanahisi kulipwa kidogo. 25% ya wafanyakazi walikiri kuchelewa kufanya kazi ili kumaliza kutazama vitu mtandaoni. Kwa mujibu wa utafiti mpya...
Back
Top Bottom