maudhui

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watengeneza Maudhui wa Tanzania wanatumia vibaya taarifa za watu, TCRA isaidie hili

    Kuna vijana wengi wanatengeneza maudhui ili kujipatia umaarufu au fedha mtandaoni. Hii sio shida, shida inakuja pale ambapo unatumia sura ya mtu bila kuwa na idhini yake. Tulishazungumzia hili kwa ma-mc wanachukua watu video na kuweka kwenye page zao, ambazo video hizo zinakuwa zinatweza utu wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Leseni za utoaji maudhui mwiba wa Uhuru wa Kuwasiliana na Kutoa Habari

    Katika Tanzania tunayoipenda, uhuru wa kuwasiliana na kutoa habari ni nguzo muhimu kwa maendeleo ya jamii yetu. Hata hivyo, sheria ya serikali ya kutoza leseni kwa vyombo vidogo vya habari na burudani kama vile blogi, YouTube, na mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa kwa wananchi na...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa X (Twitter) waruhusu watumiaji kupost maudhui ya ngono

    Jukwaa la mtandao wa kijamii wa X maarufu kama Twitter, limebadili Sera zake za Maudhui na sasa litaruhusu rasmi watu kuonesha au kuchapisha maudhui ya watu wazima yanayohusisha Ngono ilimradi tu yaandikwe kabisa kuwa ni maudhui ya aina hiyo. Hatua hiyo inairasimisha sera ya maudhui ya kikubwa...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Hata kama ndio kutengeneza content ila hii hapana!

    Wakuu mko vyedi? Watengeza maudhui hawa walikaa chini wakafikiria wakaona hii ndio content inafaa na inachekesha kabisa?! Hapana jamani hii siyo sawa. Kwanza ni hatari kwao na hata kwa magari na watumizi wengine wa barabara. Mtu anatoka huko breki zimefeli anakuja kukuvaa utamlaumu nani, tena...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tiktok yatakiwa kutuma ripoti kila baada ya Miezi 3 katika udhibiti wa maudhui yasiyofaa

    Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya Kenya imewaambia Wabunge kuwa kuwasilishwa kwa Ripoti za Utekelezaji kila baada ya Miezi 3 Wizarani ni sehemu ya mpango wa kushughulikia athari hasi zinazohusiana na TikTok, badala ya kuifungia nchini humo Waziri wa Habari na Mawasiliano John...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watu ambao Wanatengeneza maudhui (Content) ndio wanaopewa ajira sana zama hizi, fursa za pesa Tanzania zipo kwenye Content creations

    Huu ni ukweli mchungu, zama zimebadilika Vijana mnaomaliza chuo mjifunze kutengeneza content zitakazotrend hasa za kuelimisha, kufundisha, kuburudisha na kuchekesha watu.. huko ndipo kuna fursa za dili nyingi zama hizi
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania Inakabiliwa na Changamoto ya Maudhui Haramu kwenye Facebook

    Tanzania inakabiliana na ongezeko la maudhui haramu kama vile picha za ngono kwenye mtandao wa Facebook. Hii inaleta wasiwasi miongoni mwa watumiaji ambao wanahisi kutoweza kulinda faragha zao na heshima mtandaoni. Nawahasisha watumiaji kushiriki kwenye mjadala huu muhimu. Je, una maoni gani...
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Facebook na Instagram kuanza kuwalipa waandaji maudhui mitandaoni Africa kuanzia Juni 2024

    Kulingana na kampuni ya Meta, inayosimamia Facebook na Instagram, iliyotangaza mwezi Februari 2022, itaanza kulipa waandaaji wa maudhui katika nchi 20 za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwemo Afrika Kusini, Shelisheli, Senegal, Rwanda, Nigeria, na Kenya. Kampeni hiyo inatarajiwa...
  9. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Hizi movies zina maudhui ya kufanana, ipi ni bora kuliko nyingine?

    1: Jason Bourne vs Mission Impossible 2: Into The Blue vs Fool's Gold 3: Batman v Superman: Dawn of Justice vs Captain America: Civil War. 4: Snow White and the Huntsman vs Mirror Mirror 5: White House Down vs Olympic Has Fallen
  10. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums ilisherehekea siku ya Wanawake Dunia kwa Mkutano na Wanawake ambao ni Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni

    Video hii inaonesha kwa ufupi Siku hii ilivyokuwa Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani JamiiForums iliandaa mkutatano na Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni ambao ni Wanawake. Katika mkutano huu Wadau hawa walijadili changamoto mbalimbali wanazopitia Waandaaji hao wa Maudhui Mtandaoni...
  11. J

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Yaadhimisha Siku Ya Mwanamke Duniani kwa Mkutano na Wabunifu wa Maudhui ya Mtandaoni

    Mada: Kuwawezesha Watengeneza Maudhui: Kupinga Dhana potofu kuhusu Wanawake Kulingana na Sensa ya 2022, idadi ya Wanawake Tanzania ni 31,687,990 ambao ni sawa na 51% ya idadi ya watu. Kulingana na Ripoti ya Pengo la Kijinsia ya Mwaka 2019 iliyotolewa na Shirikisho la Mawasiliano ya Simu za...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Clouds Media yamteua DJ Fetty kuwa Msimamizi Mkuu Mzaidizi wa Maudhui

  13. kibangubangu

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari wa Tanzania, baadhi wasivyojua namna ya kusimamia maudhui ya taarifa za viongozi wa juu kama Raisi

    Wakati mwingine nadhani ni vizuri au busara kuto alika waandishi wa habari katika matukio ya ndani,au nyeti...Ambayo yatahitaji weredi wa nini kirushwe au nini kisirushwe.... Uvivu wa baadhi ya waandishi wa habari kuhariri,kulingana na muktadha kunasababisha baadhi ya watu kutoa taarifa ambazo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel acha kupotosha maudhui ya hoja ya Mpina kuhusu makalio

    Dk. Mollel Naibu Waziri wa Afya acha kutumia ofisi na kodi za umma kuendesha propaganda na kupotosha maudhui ya hoja ya Mheshimiwa Mpina kuhusu Hospitali za Umma kutoa huduma za kuongeza Makalio badala ya kutumia fedha hizo kuboresha huduma za afya za msingi. Kama umeamua kumjibu Mpina hoja...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania META yapewa siku 22 kujieleza inavyodhibiti maudhui ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya Watoto

    Kampuni ya META inayoendesha Mitandao ya Kijamii ya Instagram, Facebook, Thread na WhatsApp imepewa agizo hilo na Tume ya Udhibiti wa Maudhui Mitandaoni ya Umoja wa Ulaya (EU) ikitaka ufafanuzi wa hatua zinazochukuliwa katika kudhibiti maudhui ya Picha na Video ifikapo Desemba 22, 2023. Oktoba...
  16. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Kipindi Cha "WATUBAKI" Cha Dstv Kijirekebishe Waache kutumia Lugha zenye Maudhui ya Kingono na Matusi

    Habari Wakuu, Kipindi cha uchekeshaji Kinachorushwa Katika King'amuzi cha Dstv channel Namba 160... Kimekuwa na Maudhui ya Lugha za kingono mno pamoja na Matusi ya rejareja, kwa mwanzo nilivyokuwa nafatilia hiki kipindi nilifikiri ni Bahati mbaya tu Maan muda mwingne Mdomo huteleza ila kadri...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa vichekesho wakamatwa kwa kuweka maudhui youtube bila kusajiliwa na bodi ya filamu

    Waigizaji wa vichekesho maarufu kama, Kicheche na Clam wamekamatwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Bodi ya Filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa. Kwa mujibu wa bodi hiyo, wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli za uigizaji...
  18. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za maudhui ya matusi zina utofauti gani na taswira ya madanguro?

    ■Mashairi ya matusi na ngono ■Kuvaa nusu uchi ■Uchezaji dance wa namna ya kingono Hauwezi ukaangalia hizi kama uko na mtoto wako au mtu wa wa kuheshimiana. Ila ndio nyimbo madogo wanakalili huku wakijijengea picha ya kuwa wanayao yaona au kuyasikia katika videos hizi ni ya kawaida na modernity...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TikTok na X yatakiwa kuongeza kasi ya uondoaji Maudhui ya Chuki, Upotoshaji na Unyanyasaji Watoto

    Makamu wa Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU)inayohusika na uchunguzi wa Maudhui Mitandaoni, #VeraJourova ametoa agizo hilo baada ya kufanya kikao na Viongozi wa Mitandao hiyo iliyolalamikiwa kuwa na kiasi kikubwa cha maudhui kuhusu Mgogoro wa #Israel na #Palestina. #TikTok imesema...
  20. Ritz

    JamiiForums Tanzania Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

    Wanaukumbi. Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku. Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central...
Back
Top Bottom