maudhui

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TCRA: 80% ya tamthilia zinazorushwa kwenye TV ni za nje

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevihimiza vyombo vya habari kuangalia uwezekano wa kutoa nafasi kwa tamthiliya, muziki na michezo zenye maudhui ya ndani ili kulinda utamaduni na nembo ya Taifa. Akizungumza kwenye mkutano wa wadau mbalimbali wa vyombo vya habari, sanaa na michezo...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Tunaandika barua kwenda Google ili itambue maudhui ya lugha ya Kiswahili

    Picha: Maxence Melo Mkurugenzi Mtendaji wa Jamiiforums Maxence Melo amesema taasisi hiyo kwa kushirikiana na Wizara ya Habari na Mawasiliano wapo kwenye hatua za mwisho za kuiandikia barua kampuni ya Google ili iweze kuitambua lugha ya Kiswahili katika utoaji wa maudhui. Amesema kwa sasa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nape ashauri TCRA iunde kanuni ya kusimamia na kukuza maudhui ya ndani

    Kikao hiki kimefanyika kwa siku mbili ambapo jana Septemba 15, 2022 wadau walilalamikia baadhi ya sheria kuminya uwanja wa ubunifu na utengenezaji wa maudhui shindani. kwa upande mwingine, wadau wa maudhui walieleza kutokuwa na uwezo wa kulinda kazi zao, kutafuta vyanzo vya mapato na kuziweka...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TCRA yaipiga faini ya Tsh. Milioni 2 ZamaMpya TV (DarMpya), Maudhui ya Afande Sele kuhusu Tozo yatajwa

    Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA)imeiamuru ZamaMpya TV Online kulipa faini Shilingi Milioni Mbili (2,000,000) ndani ya siku 21 kufuatia kuchapisha hisiyo na midhania ya habari. Taarifa hiyo ilihusu maudhui ya Selemani Msindi (Afande Sele) ambayo yanatuhumiwa kuwa ya...
  5. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu maudhui ya tamthilia ya saloon ya mama Kimbo kwa kizazi kijacho anijuze

    Leo jioni nikiwa kwenye kijiwe/kidukabia cha Manka hapa mtaani hasa mida kama hii nalazimika kuangalia kile wanachoangalia wateja wengine. Basi bwana kikakuta tamthilia ya saluni ya mama Kimbo Ila kila nikiangalia sioni mafunzo chanya ya kizazi kijacho nikajiuliza hivi haka katoto kanachoigiza...
  6. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mitandao ya kijamii ni jamvi linalotuunganisha, maudhui ya kikao juu ya jamvi yasitusambaratishe

    Ndugu msomaji wa makala hii, kwanza napenda kukukaribisha katika kuchanganua mawazo yetu kwa namna Moja ama nyingine Ili tu kujenga weredi na utashi wa maarifa yetu kupitia jamvi hili ambapo tunaketi na kujadili masuala ya msingi, yanayoweza kusaidia kuanzia mtu binafsi familia na hata maendeleo...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Uonevu kwenye kuchagua maudhui katika zoezi la Sensa

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha viongozi ngazi ya wilaya kutokuchagua baadhi ya walimu wakuu walioshiriki katika usahili wa makarani wa sensa, inakuaje nisaili watu alafu hunichagui kwenye nafasi ya maudhui wakati walituhaidi hivyo. Wengi wetu tulioshiriki hatukuchaguliwa kushiriki semina ya...
  8. Mirio

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa makarani, wasimamizi wa maudhui na Tehama ipoje kwa kila kata msaada kwa anaejua tafadhari

    Msaada hapo kwa anaejua kuhusiana na mgawanyo wa hizo nafasi kwa Sasa
  9. N

    JamiiForums Tanzania Vijana mliokatwa nafasi za maudhui zoezi la Sensa mmeona unafiki wa Wanasiasa

    Nawakumbusha tu zoezi hili lilikuwa ni ajira za muda mfupi ila madudu yaliyofanyika katika kuwaondoa wasimizi wa maudhui limekuwa jambo la kawaida pamoja na vijana kupaza sauti si kiongozi wa chama tawala Wala upinzani ambaye ametoka na kuliongelea hili suala as if hakuna ujinga ukiofanyika mtu...
  10. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania NBS mlichofanya kwa nafasi za watu wa maudhui ni uhuni

    Hauwezi tangaza nafasi ujatoa vigezo watu wakaomba siku ya majibu ndio utoe vigezo huo ni uhuni waiteni hao watu wakafanye usaili nafasi za UKARANI kwa sababu usaili upo ngazi ya kata na form zao zilipelekwa katani na nyie majina mnayo waiteni hao watu kwani kama ni mkataba nyie ndio mmeuvunja...
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania YouTube kuondoa Maudhui yanayosababisha taharuki kati ya Russia na Ukraine

    Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google umetoa tahadhari kwa wamiliki wa vituo vya YouTube watakao chapisha Maudhui yanayo Sababisha Taharuki Kati ya Russia na Ukraine. Mtandao huo utaziondoa video zote zenye kuleta uchochezi kati ya nchi hizo mbili. Video hizo ni pamoja na video zilizo...
  12. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Alama za kutambua aina za maudhui ya filamu na umri sahihi wa mtazamaji

    Kuna namna nyingi sana mtoto wako anaweza kufikia maudhui tofauti kwa kupitia vipindi vya televisheni na filamu kwa urahisi. Watoto wa kizazi hiki wamekuwa na fursa nyingi zaidi za kutazama maudhui yasiyofaa. Uelewa wa mzazi kuhusu aina za filamu na vipindi vya TV au video za mtandaoni ni...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Uturuki: Vyombo vya Habari vyaonywa kuhusu usambazaji wa maudhui hatarishi

    Rais Recep Tayyip Erdogan ametishia kuwa Vyombo vya Habari Nchini humo vitachukuliwa hatua ikiwa vitasambaza maudhui aliyodai yanaharibu Maadili ya Msingi ya Nchi Rais Erdogan hajaweka wazi maudhui hayo ni yapi, lakini alisema hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya shughuli zinazolenga...
  14. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kutoka Julius Nyerere International Convention Centre: Kongamano la Maudhui ya wazawa Kushiriki Mradi wa Bomba la Mafuta ECOP

    Mgeni Rasmi, Waziri wa Nishati na Madini Mh. January Makamba, wengine ni naibu waziri wa nishati na Madini
  15. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Mabadiliko ya Kanuni za Sheria ya Maudhui ya Mtandao (2021) na Jamii Forums

    Uchambuzi huu unahusisha kanuni zinazotokana na Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya mwaka 2010, na unapendekeza kufanyia mabadiliko Kanuni zilizowekwa mwaka 2020. ============ ANALYSIS OF TANZANIA's ONLINE CONTENT REGULATIONS AMENDMENTS(2021) by JAMII FORUMS MAJOR...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Facebook yapiga marufuku maudhui kuhusu kundi la Taliban

    Mtandao wa kijamii wa Facebook inachukulia Taliban kama kundi la kigaidi na hivyobasi, inapiga marufuku maudhui yote yanayounga mkono Taliban katika majukwaa yao. Kampuni ya Facebook imesema timu ya wataalam wa Afghan inafuatilia na kuondoa maudhui yote yenye kufungamana na kundi hilo. Facebook...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Google, Twitter na Facebook zatishia kuacha kutoa huduma Hong Kong

    Kiongozi wa Hong Kong amepuuza onyo na Kampuni kubwa za Teknolojia zikiwemo Google, Facebook na Twitter zilizosema zinaweza kuacha kutoa huduma katika Jiji hilo ikiwa Mamlaka zitaendelea na Sheria mpya ya faragha. Mamlaka zimeainisha mipango ya kupitisha Sheria mpya inayolenga kitendo cha...
  18. Cvez

    JamiiForums Tanzania Sina maudhui rasmi ya kuongelea...

    Mambo ni mengi hizi siku mbili tatu kama masikhara Mama kala kichwa cha Chalamila, akiwa huko huko kapita na yule wa Morogoro. Jana asubuhi tu, tukaone Selfie ya Masheikh wa Uamsho na familia zao hata kabla ya taarifa rasmi ya kuachiwa kwao. Siku hiyo hiyo Bwana Seth nae kaachiwa kwa kutakiwa...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Twitter bila VPN yarejea nchini Tanzania

    Habari, kama mtakumbuka wakati wa uchanguzi mkuu wa mwaka uliopita kulipelekea kufungwa kwa mitandao ya kijamii na njia pekee ya kuifikia ilikupaswa uwe unatumia virtual private network (VPN) - a technology for protect private network over public network such as internet. Mara baada ya uchaguzi...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Urusi: Twitter yapigwa faini kwa kuweka maudhui yasiyoendana na Maadili ya Nchi hiyo

    Mahakama ya mji mkuu wa Moscow nchini Urusi, imeitoza Twitter faini ya fedha ruble milioni 3.2 kwa ukiukaji wa kiutawala. Kesi iliyowasilishwa na Idara ya Teknolojia ya Habari ya Serikali ya Urusi na Mamlaka ya Usimamizi wa Mawasiliano ya Umma (Roskomnadzor) dhidi ya Twitter ilisikilizwa katika...
Back
Top Bottom