maudhui

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa CHADEMA kutoshiriki kinachoitwa "maridhiano" ni aidha unapotoshwa makusudi au ni hawa wajiitao wachambuzi uchwara kutoelewa maudhui yake

    Mfano ni huyu kwenye YouTube audio video clip hii hapa Chini ya video hiyo, kwenye comment section, mdau mmoja aka komenti hivi, nikaipenda comment yake na nikaamua kushea nanyi kwa ajili ya mjadala mpana ============================================= "Taarifa yako ni potofu, unawapotosha...
  2. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania 4. Mtoa maudhui bora wa Siasa JF 2025

    Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo. Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi. Na pia sio ushindan na hakuna zawad ila ni Kuwapa Motisha kwa kuwatambua na kuthamini michango yao. Kwangu JF wote ni bora.
  3. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania 1. Mtoa Maudhui Bora JF 2025

    Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo. Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi. Na pia sio ushindan na hakuna zawad ila ni Kuwapa Motisha kwa kuwatambua na kuthamini michango yao. Kwangu JF wote ni bora.
  4. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mtandao wa TikTok kutawaliwa na maudhui ya Ushoga!

    Mtandao wa TikTok umetawaliwa na maudhui ya Ushoga Umekuwa ni mtandao uliojaa maudhui ya vijana wa kiume wanaojihusisha na ushoga wakijipamba, kunengua viuno na kuonesha miondoko ya kike Je umegeuzwa kuwa dating website ya mashoga? Kinachonipeleka TikTok ni kupata elimu ya Magari Baada ya...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania WhatsApp wanapaswa kuangalia haya maudhui ya channels wanazotupendekezea

    Sina magrupu ya ngono wala nini basi waseme ni algorithm, yani unaamka asubuhi hii ndio unacho kutana nacho. Kuna namna ya kunyuti utumbo huu?
  6. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Watengeneza Maudhui Mtandaoni: Ubunifu unakufa taratibu

    Ni Desemba 16, 2025, Kampuni ya Meta ilithibitisha rasmi kupokea ombi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) la kukata kodi ya asilimia 5 kwa kila malipo yanayolipwa kwa Watengeneza Maudhui (Content Creators) wanaoishi Tanzania. Utekelezaji wa mfumo huu unaanza Desemba 21, 2025, hatua inayozua...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtangazaji Clouds TV: Pongezi za Msigwa kwa Waandishi hazinihusu, tuache unafiki!

    Wakuu, Wakiwa kwenye kipindi watangazaji wa Clouds, wameulizana swahili hili: "Sifa mlizopewa jana na Msemaji Mkuu wa Serikali mpaka kufikia kuundiwa mfuko maalum (wa wananhabari) mnadhani sifa hizo mnastahili?" Mtangazaji Sam Sasali kajibu hizo pongezi kwaajili ya kutopost picha za...
  8. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi la Polisi Mbeya lakiri kumshikilia Clemence Mwandambo kwa tuhuma za Uchochezi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Awali ya "Saint Clemence" ndugu Clemence Kenani Mwandambo, mkazi wa Uzunguni "A" Jijini Mbeya kwa tuhuma za uchochezi. Mtuhumiwa alikamatwa mnamo Novemba 21, 2025 saa 5:20 asubuhi maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya akitoa na kusambaza...
  9. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kurasa za mitandao ya kijamii za serikali, kuchapisha maudhui ya kampeni kwa mgombea mmoja ni sahihi?

    Tarehe 29.08.2025, Ukurasa rasmi wa Ikulu Mawasiliano ulichapicha taarifa zenye kichwa kisemacho "Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Ngerengere kwa ajili ya kuzungumza na wananchi...
  10. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Wazazi wanawalindaje watoto dhidi ya maudhui yasiyofaa?

    Siku nyingi nimekuwa nikiandika PUMBA TUPU ila leo niko more cooperate kwa HILI, pumba nita post mwishoni.... Si umesikia ile stori ya dogo aliyejiua baada ya ku chat na gpt? Ushasikiaga yule mtoto wa miaka 11 aliyekufa wakati anashiriki challenge ya TikTok ile ya kubana pumzi? Ok, unamkumbuka...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Tumia aina hizi za Testimonial/Shuhuda kuuza zaidi, unapotengeneza maudhui kuhusu biashara yako

    Ushuhuda wa Takwimu Onesha namba, idadi ya watu wanaotumia bidhaa au huduma yako Takwimu huongeza uaminifu kwa watu kama namba zikiwa nyingi Mfano: Zaidi ya watu 5,000 tayari wanatumia huduma hii kila siku Ushuhuda wa Matokeo ya Bidhaa yako Hapa tengeneza content za kuonyesha matokeo halisi...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kinachoshangaza ni hawa vijana wa kiume kujishebedua zaidi hata ya wanawake walioalikwa. Iwe jinai kwa sherehe ya aina yoyote yenye maudhui haya

    Generation ya vijana chapati haiwezi koma kama normalization ya namn hii inaendelea katika jamii.
  13. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Unajiamini kwenye kubaini maudhui ya AI? tukutane hapa. Dosari gani unaziona kwenye video hii?

    Mdau mmoja kutoka katika mitandao ya kijamii alichapisha kipande hiki na kudokeza kuwa imetoka huko Arizona. Tushirikiane kuthibitisha kwa kutaja dosari zinazoonekana.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume ya Uchaguzi (INEC) inazungumza na Wazalishaji wa Maudhui ya Mitandaoni, leo Agosti 3, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=64HPMN4PvDU&pp=ygULdWNoYWd1emkgdHY%3D Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inaendelea na mchakato wa maandalizi kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025. Tume imekuwa ikifanya vikao vya Wadau mbalimbali, leo Agosti 3, 2025 kikao kinafanyika...
  15. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kumbe ilikua inawezekana serikali kuwasiliana na X/Twitter wakazuia maudhui ya ngono yasionekane Tamzania bila kuifungia!.

    UK wamefanya hivyo bila kuigunga X, sasa ingawa sio sababu halisi ya kufungiwa kwa X, kwanini Jerry silaa wasiwasiliane na uongozi wa X wakazuia haya maudhui wanayosema hayafai kwa mlaji kuliko kuofungia kabisa?
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania TCRA: X ndio wamesitisha huduma nchini. Tuliongea nao waondoe maudhui ambayo hayana "maadili" ya Kitanzania

    Wakuu, Kwa hiyo kumbe kuna watu wa "usalama" walikuwa wanaripoti contents ambazo hawazipendi? Jamaa hajasema ni aina gani ya contents lakini huhitaji D mbili kujua anaongelea mi aina gani anazozingumzia. Basi sawa! ============================= Kwa mara ya kwanza, Raphael Mwango, Afisa...
  17. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu Kuhusu Posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani: Warumi 13:1–5 na Maudhui Yake Katika Siasa za Tanzania

    Great Thinkers wa JF, Leo nimeona posti ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akitumia maandiko ya Warumi 13:1–5 wakati Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikuwa akikagua gwaride la polisi kufunga vikao vya Bunge. Kwa maoni yangu, hii si tu nukuu ya kidini bali ni ujumbe wa kisiasa uliotumwa kwa...
  18. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Muandaaji wa maudhui natafuta connections

    Kwa Wadau ,Wamiliki wa media zinazoandaa maudhui,main au on line. Mimi ni Muandaa miswada( screen plays),ngazi ya cheti. Nabadili story kuwa screenplay,na fanya screenplay breakdown kwa ajili ya kurahisha uzalishaji (production),budget n.kNafanya maongezo(addition) kwa stori zenye maudhui...
  19. La Quica

    JamiiForums Tanzania Unafungia mtandao wa X, lakini wewe upo na unatuma maudhui! 😳

    Wakuu kuna jambo ambalo nimelitafakari bila kupata majibu toka serikali ilipofungia mtandao wa X almaarufu Twitter. Nimeshindwa kuelewa hii serikali inaendeshwa na wendawazimu ama vichaa kwakuwa kwa yanayoendelea ni udhihirisho tosha kuwa ni watu wasio na weledi, reasoning na hata common sense...
Back
Top Bottom