Ukristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukaliwa wale watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,997
32,437
Wanaukumbi.

Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku.

Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo

Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central Bureau Of Statistics (CBS) la Marekani, zaidi ya asilimia 73.8% ya raia wote wa Israeli ni Wayahudi, 18% ni Waislamu na 1.9% ni Wakristo.
 
Attachments

  • 3a197fe9-ac71-4a96-9280-778d8c063437.mov
    9.1 MB
Wanaukumbi.

Ukiristo hauna nafasi nchini Israeli, hatua kali kuchukuliwa kwa wale wote watakaosambaza maudhui yanayomtaja Yesu Kristo nchini Israel ni marufuku.

Sikiliza vizuri yaliyomo kwenye video hii, usinishambulie mimi nimeleta kama ilivyo

Kwa mujibu wa Shirika la Takwimu la Central Bureau Of Statistics (CBS) la Marekani, zaidi ya asilimia 73.8% ya raia wote wa Israeli ni Wayahudi, 18% ni Waislamu na 1.9% ni Wakristo.
MKUU UNADHANI NDIO HII ITAWAFANYA WAKRSTO WAWAUNGE MKONO WAISLAMU NA WARAABU KWENYE CHUKI YAO DHIDI YA WAYAHUDI.
NB: WAISLAMU NA WAARABU WANASAHAU KUA MUNGU WA WAKRSTO NA WAYAHUDI NI MMOJA YEHOVAH KUPITIA TORATI YA KIYAHUDI
 
Hivi kwanini mnalazimisha kila mtu aiunge mkono Palestina kwa kisingizio cha kwamba hii vita ni ya kidini, ninyi mnajuaje kama wote wanaoiunga mkono Israeli wanafanya hivyo sababu ya dini, hamna watu wajinga kama wanaolazimisha kwamba hii vita ni ya kidini na kulazimisha kwamba eti dini fulani ndio ya haki

Hakuna dini ya haki zote ni umafia tu ni vile tu kuna dini moja haijapata nafasi ya kuitawala dunia ndio maana inaonekana ni ya haki, ila siku ikitokea hiyo dini imeshika hatamu ndio dunia itajua makucha yake halisi, tena bora hata hii inayotawala sasa hivi ina uvumilivu na dini nyingine na kila mtu ana uhuru wa kuabudu anachotaka

Lakini hiyo dini nyingine hapa tu haina nguvu ya kutawala dunia lakini kuna watu wanateseka kwa kulazimishwa kuwa wa dini yao sasa imagine siku ikishika hatamu, watu husema bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua, dini ambayo haina uvumilivu na dini nyingine haitakiwi kuachwa ipate nguvu hata mara moja
 
Lakini hiyo dini nyingine hapa tu haina nguvu ya kutawala dunia lakini kuna watu wanateseka kwa kulazimishwa kuwa wa dini yao sasa imagine siku ikishika hatamu, watu husema bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua, dini ambayo haina uvumilivu wa dini nyingine haitakiwi kuachwa ipate nguvu hata kidogo
Hamna anayekulazimisha sikiliza hiyo video ukifika Israel uwe makini kumtaja Yesu usije kwenda jela.
 
Hamna anayekulazimisha sikiliza hiyo video ukifika Israel uwe makini kumtaja Yesu usije kwenda jela.
Wewe siyo wa kwanza kuleta uzi wa aina hiyo kwamba Israel haimuamini Yesu na sasa hivi wakristo wengi sana wanajua hilo kwamba waisrael siyo wenzao katika imani hivyo tushachoka na hizi ngonjera zenu, shida ni ninyi waislam kuona kwamba kila mkristo anayeiunga mkono Israeli basi anafanya hivyo sababu ya dini yote hiyo ili mradi tu dunia nzima iiunge mkono Palestina ili uislam uonekane una nguvu na unapendwa, msitumie nguvu kubwa sana kuieneza dini yenu narudia hakuna dini ya haki zote ni umafia tu hivyo msipangie watu kipi cha kuunga mkono na kipi siyo acheni kila mtu afanye maamuzi yake
 
Hivi kwanini mnalazimisha kila mtu aiunge mkono Palestina kwa kisingizio cha kwamba hii vita ni ya kidini, ninyi mnajuaje kama wote wanaoiunga mkono Israeli wanafanya hivyo sababu ya dini, hamna watu wajinga kama wanaolazimisha kwamba hii vita ni ya kidini na kulazimisha kwamba eti dini fulani ndio ya haki

Hakuna dini ya haki zote ni umafia tu ni vile tu kuna dini moja haijapata nafasi ya kuitawala dunia ndio maana inaonekana ni ya haki, ila siku ikitokea hiyo dini imeshika hatamu ndio dunia itajua makucha yake halisi, tena bora hata hii inayotawala sasa hivi ina uvumilivu na dini nyingine na kila mtu ana uhuru wa kuabudu anachotaka

Lakini hiyo dini nyingine hapa tu haina nguvu ya kutawala dunia lakini kuna watu wanateseka kwa kulazimishwa kuwa wa dini yao sasa imagine siku ikishika hatamu, watu husema bora shetani unayemjua kuliko malaika usiyemjua, dini ambayo haina uvumilivu na dini nyingine haitakiwi kuachwa ipate nguvu hata mara moja
Hakuna aliyekulazimisha!!
 
Jamaa naomba nikushambulie. Ukristu upo israel. Si kwa wingi upo. Hiyo video vlip ni ya muda saaaaaana march huko, Ulipoikuta wameamua tu kushare haihusiani kabisa na wakati huu wa hapa karibuni.
Na ilikua bill tu, haikua imeongelewa kama ulivyongea. Ilikua propaganda.
Sasa na wewe acha propaganda.
 
MKUU UNAJARIBU KUTAFUTA HURUMA YA WAKRSTO KWA NGUVU NA HAITOWEZEKANA.
WAKRSTO KWAO WAYAHUDI NI TAIFA TAKATIFU LA MUNGU WAO YEHOVA NA WAISLAMU NA WAARABU NI WAPAGANI WAABUDU MIUNGU YA KIARABU

Nadhani unaelimishwa ili uelewe tu kuwa hao unaodhani kuwa wako upande wako kiroho wala hawako upande wako, Kimsingi umechagua adui asiye adui wako, na unampenda asiyekufagilia kabisa.

Huruma ya Wakiristo haisaidii Israel kuondoa udhalimu wake, maana Israel inaua Wakirito pia huko Palestine.

Kiufupi mbele ya Myahudi, Mkrirstu anaonekana ni ni Idol worshipper.
 
MKUU UMEWEKA HOJA UJIBIWE USIPANIKI.
MBONA NIMESIKILIZA ILA HAMNA CHA KUWABADILI HAO WAKRSTO NA MAHABA YAO KWA WAYAHUDI
LABDA WAISLAMU MJE NA MBINU NYINGINE ILA SIO HII
Hahaha mimi tena nimepanic angalia wenzako wanavyoandika magazeti mimi najibu mistari miwili harafu tu hoja inajionyesha hapo juu siyo maneno yangu hoja ni marufuku kutanganza Ukirsto Israel unaenda jela hiyo ndiyo hojq.
 
Hakuna aliyekulazimisha!!
Unakataa nini wakati watu wengi tu washatekwa na vikundi vya kigaidi na kulazimishwa kubadili dini na kuwa waislam, mbona hatusikii vikundi vya kigaidi vikiteka watu na kuwalazimisha kubadili dini na kuwa wakristo, na kama mnaona hayo makundi hayahusiani na uislam kwanini nchi za kiislam na waislam wengine wote huwa hamkemei hayo

Badala yake ndio kwanza mnafurahia sababu mnachojali ni dini yenu kuenea tu maana mnaamini ili dini yenu ipate nguvu na itawale dunia lazima iwe na population kubwa, kuhusu ugaidi ni kama ninyi tu mnavyolazimisha kwamba ukristo umeruhusu ushoga, eti kisa nchi nyingi za kizungu zimeruhusu ushoga na wakristo wamekaa kimya hawakemei hilo

Wakati wote tunajua hata nchi za kiarabu ushoga upo kwa kiasi kikubwa sema tu tofauti kati ya wazungu na waarabu, ni kuwa wazungu siyo wanafiki wanafanya hadharani ila waarabu kwa vile ni wanafiki wanafanya mafichoni halafu huku nje wanajifanya watakatifu, ukweli ni kwamba ninyi kila nchi mnayoenda mnataka dini yenu ienee hata kwa risasi na upanga
 
Back
Top Bottom