JamiiForums ilisherehekea siku ya Wanawake Dunia kwa Mkutano na Wanawake ambao ni Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
626
938
Video hii inaonesha kwa ufupi Siku hii ilivyokuwa

Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani JamiiForums iliandaa mkutatano na Waandaaji wa Maudhui Mtandaoni ambao ni Wanawake. Katika mkutano huu Wadau hawa walijadili changamoto mbalimbali wanazopitia Waandaaji hao wa Maudhui Mtandaoni zikiwemo Matusi, kauli za kudhalilisha n.k

Wadau hawa walipata muda wa kushiriki katika majadiliano ambayo yalielezea dhana potofu zilizopokuhusu wanawake na namna nzuri ya kuondoa dhana hizi kwenye jamii
 
Back
Top Bottom