Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,843
3,379
Tanzania watu wanaoshi kwemye comfort zone huo ndo ukweli ukitembea ndo utaelewa watu wako kwenye comfort zone

Ni kawaida Tanzania kupita na kukuta watu wapo kwenye vijiwe vya kahawa au shoe shine mda wa kazi wanabishania yanga na simba au mambo ya siasa, Tanzania mtu anaweza asiwe anafanya kazi na anapata mahitaji yote ya muhimu ya binadamu

Wewe kama ni hustler hapa Tanzania nenda joburg utajiona ni kama mjinga hivi ambaye ulikua unaigiza maisha Tanzania au unacheza

Real hustling ipo joburg
Kwanza ina gdp ya usd billion 130+ huku Tanzania ikiwa na gdp ya billion 80+
Unavyoambiwa joburg kuna hustling ya maana uwe unaelewa nini namaisha,
changamoto kubwa ya joburg ni mji unavurugu na ujambazi wa kutisha na mda huo huo unatakiwa utafute hela ule ni mji wa kiumeni ukiona mtu ametoboa joburg mheshimu

Juzi juzi hapa nilimtembelea rafiki yangu joburg aisee saa 1 tayari uko ndani ukiwa nje ni kwa your own risk bar tulizokua tunaenda ni zile zenye ulinzi mkali ukienda za kawaida uko una hatari kubwa sana ya kukabwa au kufanyiwa uhalifu, karibia wote kwenye ofisi yao kwa nyakati tofauti kila mmoja kashafanyiwa uhalifu wa kuibiwa waziwazi

Sikukaa sana ila kwa observation nilioifanya joburg ni mji wa kiumeni sana. Kwa Afrika nzima hakuna mji wa kiumeni kama joburg
 
Johane is something else wa South wenyewe kutoka nje ya joburg wanapaogopa. Kuna malaya mmoja wa South kutoka eastern cape nilikutana nae online nikamwambia aje joburg akasema hawezi kuja hata kwa dawa kama namtaka nimfuate kwenye mji wake
 
Joburg downtown ni bonge la jiji kama sandton vile, last two weeks nilikua na jamaa yangu pale kaniambia hapo ukipita na gari funga vioo na lock kabisa. Muhuni haoni kazi kuvunja kioo akakunyang'anya simu tuu yaan. Yaani hayo maeneo mpaka soweto kule ni nux tupu.
 
Nipo hii kona hapa Mkuu, karibu.
PXL_20230920_121913846.MP.jpg
 
Back
Top Bottom