Huyu Mwanahabari za uchunguzi apewe maua yake

huyu jamaa ni noma.
alafu cha kushangaza habari zake za kufukua uovu zinahusu matukio mabaya yanayofanywa na hidara za serikali ya Kenya,serikali ambayo kukuua sio kazi ngumu.
 
Aiseee umekosa uhondo sana wa Mbunge Mohamed Ali KTN - Jicho Pevu ,nilikuwa namfatilia sana Jaramandia la uhalifu ,Aiseee umenikumbusha mbali sana.
 
Dah! Jicho pevu alimstaafisha mchungaji mmoja anaitwa Michael Njoroge kwa kuanika waza mitindo yake ya kununua mashuhuda kwenye ibada.

Ila funga kazi ilikuwa ile documentary ya Pastor Kanyari. Ile ilikuwa kabisa. Yani jamaa anarekodi kila kitu huwezi kubisha. Alimfanyia Pastor Kanyari atunge wimbo wa Toba na kuomba msamaha. Ingawa ndio hivyo alimtoa kwenye mstari mpaka Leo Hana kanisa.
 
Back
Top Bottom