Tunawashukuru sana Ndugu Mnyika, Wangwe na Ado

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
382
764
Jana usiku kulikuwa na mjadala iliyorushwa na kipindi cha ITV kilichohusu Muswada unaohusu Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais.

Mjadala huu uliwahusisha Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika, Katibu Mkuu wa ACT Ado Shaibu na Ndugu Bob Wangwe naona alikosekana mwakilishi toka CCM.

Yaliyozungumzwa pale jana yametufumbua macho na kama Serikali haitasikiliza maoni , changamoto walizotoa basi CCM itajichimbia kaburi.

Wananchi wamekuwa waelewa ni budi Serikali ikachukua yale mazuri waliyoshauri. Kwa kifupi tuwape maua yao. Maneno na ushauri waliyotoa yalikuwa ni budi yakazingatiwa na Serikali na yametufumbua sana macho.

Tunawashukuru sana Ndugu Mnyika, Wangwe na Ado.

Mbarikiwe sana.
 
Tanzakiza hakuna uchaguzi bali matumizi mabaya ya pesa za umma.

Kuna muda waafrika lazima tukubali ukweli hatuwezi kujitawala.
 
Back
Top Bottom