maua

  1. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Naichukia CCM, ila ukweli nausema kwa miaka 10 iliyopita. CCM wameifanyia mazuri mengi Tanzania. Magufuli na Mama samia wapewe maua yao

    Habari wadau Ukweli CCM siipendi kwa sababu nyingi. Ila nawapa maua yao kwamba wameijenga nchi sana kwenye miaka mitano ya awamu ya 5 iliyoongozwa na Magufuli na miaka mingine mitano ya awamu ya sita iliyoongozwa na Mama Samia. Leo hii Tanzania tunaongoza Africa mashariki kwa kuzalisha...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Lissu amechangamsha CHAMA, ni kama ilivyokuwa uchaguzi 2020, na hicho ndicho awezacho, apewe maua yake lakini sio kuwa kiongozi mkuu wa CHAMA

    Watu kama Tundu Lissu wana nafasi yao ndani ya vyama vya siasa. Machachari ya Tundi Lissu yanafaa sana kuibua hamasa kwa wanachi. Si mmeona CCM wamepotea kwenye anga tangu kinyang'anyiro cha uchaguzi ndani ya CHAMA kilipoanza mwaka jana mwishoni? Ni kama Paul Makonda, anaweza kukusanya watu...
  3. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya maua ya hibiscuss

    🌺🌺🌺🌺🌺🌺MAAJABU YA MAUA YA HIBISCUSS🌺🌺🌺🌺🌺🌺 💐kutafakari(Meditation) ni kwa ajili ya nafsi zetu na Kuungana na asili ili kulisha roho zetu . Hii hapa ni baadhi ya mapendekezo ya mmea wa kukusaidia kufungua Chakra ya Mizizi (Root chakra). 💐Chakra inarejelea neno la Sanskrit lenye maana ya gurudumu...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Silent Hero Huyu ni Mzalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Ndie Aliyefanya Katiba Ifuatwe Mama Akawa!. Apewe Maua Yake!... Stahiki ni kuwa DGIS in Future!

    Wanabodi Hii ni C&P ya Barua ya wazi kutoka kwa mwana JF huyu Mwandamizi!. Sababu ya kuileta Barua hii hapa, ni kuwajulisha wanabodi na Watanzania, kuwa tuna Watanzania wengi ndani na nje ya nchi ambao ni wazalendo wa kweli wa Taifa hili, waliofanya vitendo vya kishujaa, bila kutaka kulipwa...
  5. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania MSAADA; hivi kwenye ule wimbo wa Nandy na Maua Sama wanaposema " siku hizi bila beat naenda ata akapela" walimanisha nn?!!

    Kama kichwa kinavyojieleza..nahitaji ufafanuzi wa huo mstari kwenye wimbo wa hao mabinti wawil ambao inasemekana wanapenda sana kwichkwich! Merry Christmas 🌲
  6. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania Kwa pamoja njooni tuwape Wachaga Maua yao

    Hawa jamaa wanahitaji pongezi kwa namna wanaaenda kwao kurudisha kilichopatikana pamoja na kujiweka tayari kwa kuingia mwaka mwingine. Hakika kwa misafara ya magari yanayoelekea Kaskakazini especially Moshi ni dhahira tunapasaa kusema utamaduni huu umekua kivutio kikubwa sanaa ndani na nje ya...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikuwa Rais dikteta sana kwenye baadhi ya maamuzi, Samia apewe maua yake

    Hanang watu wamepata majanga serikali ya Samia imejenga nyumba na kuwakabidhi waathirika. What love is this? 💝💝 Magufuli angewaambia kwani Mimi ndio nimeleta majanga. Refer tetemeko la ardhi Kagera. Wamasai wa Ngorororo waliokubali kuhamishwa serikali iliwahamisha bure na kuwapa makazi ya...
  8. C

    JamiiForums Tanzania UTV, Pokeeni Maua Yenu: ila Sasa.....

    Moyo wangu umeguswa kuwapongeza Azam Tv kupitia channel yao ya UTV kwa habari zao motomoto na za kina, zilizosheheni uchambuzi wa kiuweledi na kitaaluma. Hongereni sana na endeleeni kutuhabarisha watanzania na walimwengu kwa ujumla. Pamoja na pongezi hizo, ipo kasoro moja ambayo mmedumu nayo kwa...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeweza kuzishinda hisia, nipeni maua yangu

    Mli bwanji? Kuna manzi ukiachana na yule nurse nilowapa story yake, huyu manzi anafanya kazi kama manager restaurant flani kubwa hapa mjini. Huyu manzi tumuite Kokugonza, baada ya kuzoea kupata chakula pale mara Kwa mara tukazoeana. Imeenda mwisho wa siku tukabadilishana namba. Kwa uzuri huyu...
  10. Be calm

    JamiiForums Tanzania Wapenda maua mje basi na maua yenu

    Napenda sana maua,mje nayo bas macho yafurahi na moyo uburudike. Hili ni kwa ajili ya jf members wote🧡
  11. Malick M. Malick

    JamiiForums Tanzania Tumpe Maua yake Rais Samia, Dunia inatambua mchango wake

    https://youtu.be/Qoag3vwDQrk Msanii wa UGANDA Jose Chameleon aliimba wimbo unaosema tusisubiri kutoa sifa kwa watu ,wakishaenda, tuwape sifa zao wakiwepo,na ikipendeza wakiwa madarakani ..watanzania tumpe maua yake Rais Samia Wakati tuelekea mwishoni mwa mwaka 2024 ,ni wakati wa watanzania...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wanaume mpeni maua Kamishna ACP Debora Magilimba

    KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, mkoani Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Debora Magiligimba, amewataka wanaume wanaonyimwa unyumba kuripoti katika madawati ya jinsia yaliyopo katika vituo vya polisi kwani huo ni ukatili. ACP Debora ametoa wito huo Desemba 1,2021 wakati...
  13. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

    1. Kwa misiba ya Karibuni ya watu maarufu hapa nchini (Mafuru na Ndugulile) nimegundua wajane wote ni toka Uchagani. 2. Hawa viumbe wananusa fursa na kujulia namna ya kukuza kipaji cha mume mpaka ngazi za juu. Tofauti na wanaume wa Uchagani wanaoshobokea Wadangaji Vyasaka wanakuja kuharibu...
  14. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Je yale maua yanaoitwa snake plant unayajua yanavyokua?

    Maua nyoka(sanake plant) huwa yanapamba nyumba,nimeyaotesha lakini naona yanachelewa kukua,kuna mdau humu ana ujuzi nayo anipe utaalamu wa kuyaotesha?
  15. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Kuiba Misalaba, Mashada ya Maua Makaburini ni Laana

    KWA miaka ya hivi karibuni kuna kukithiri kwa wizi wa mashada ya maua makaburini, na ung'oaji wa misalaba unaofanywa na baadhi ya wananchi kwa Malengo tofauti tofauti. Katika baadhi ya makaburi ambayo hayalindwi, kumekuwa na aina hiyo ya wizi hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam, Arusha...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo amwagia maua Rais Samia katika Jukwaa la Kimataifa

    Victor Oladokun, Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ameielezea vyema haiba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika maoni yake ya hivi karibuni wakati wa mkutano wa G20 nchini Brazil. Akisisitiza mvuto wake, ujasiri wake, na maendeleo makubwa aliyoyafanikisha kwa Tanzania, kauli ya...
  17. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ukataji tiketi wa SGR upo vizuri sana Mkurugenzi Kadogosa apewe maua yake

    Nimetumia SGR mara sita.niwe muwazi Mkurugenzi TRC Kadogosa kwenye swala la mfumo wa SGR umesimama vema kabisa Developers wa mfumo wa wa SGR online ticket apewe maua yake amefanya kazi nzuri sana naamini hawezi kuwa mbongo pia natamani nijue wameipata kwa bei gani(Thamani anayejua atudokeze)...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaovaa hivi chukueni maua yenu

    Wanaume mnaovaaga hivi chukueni maua yenu 💐💐💐💐 mnapendezaga sana mnakua sexy. Hapa wanalengwa wanaume warefu wembamba wasio na kitambi. Kama wewe una kitambi au mfupi alafu unavaa ivi haya maua hayakuhusu pita hivi ↪️
  19. Ma Mshuza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nadhani mmeamini, Wanaume wenye Upara wapewe maua yao kwa kweli

    Khaaaaah..... Mi shahidi wallah. Wanaume wenye upara wana peleka sana moto....wanakuwa watamu sana. .niliambiwa na daktari mmoja kuwa libido ipo juu sana kwa wanaume wenye upara. Wengi wao wanatembeza sana ubooooh....nami nimeshuhudia wanakuwa na hamu balaaaaaaah....niliwahi andika nikasema...
  20. X

    JamiiForums Tanzania Aliyebuni logo ya Toyota apewe maua yake kama hauna "A" tatu hauwezi kuelewa logo hiyo ina jina la kampuni

    Kwenye biashara iwe ni service provider au manufacturer kuna kujenga brand name lakini pia kuna logo ambayo kazi yake kubwa ni kuitambulisha brand yenyewe. Logo ni sehemu muhimu ya kutangaza brand, huduma, bidhaa au biashara. Ni moja ya kipengele ambacho kinahitaji designer mbunifu sana ili...
Back
Top Bottom