matunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Video: Uchawi haupandi ndege, juju la Simba halikuzaa matunda Johanesburg

  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Matunda ya Helicopter ya Nape Nnauye

  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ukiwasaidi hawa watu, ipo siku matunda utayaona

    Chochote unachokifanya huwa kina matokeo; matokeo yanaweza kuwa mazuri au mabaya. Itategemea na namna ulivyokipangilia. Pia kuna kitu nimejifunza, ukiwatendea watu wema ipo siku ule wema wako ulioutenda utakulipa. Hasa, ukiwasaidia hawa watu:- Watoto wasiokuwa na wazazi na wakapoteza tumaini...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hongera kwa Rais kwa kuwaziba mdomo wapinzani kuhusu kuungua kwa Soko la Karume

    Binafsi nimeshangazwa na ukimya wa wapinzani baada ya tukio la kuungua moto soko la Karume. Sijasikia pole yoyote kutoka kwa upinzani si CHADEMA wala ACT walioneshwa kusikitishwa na jambo hilo. Ni kimya kikuu kimetanda. Ni wapinzani hawa hawa ambao polisi wakidhibiti mikusanyiko yao haramu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Matunda ya ziara ya Wang Yi barani Afrika

    Na Ronald Mutie Kenya, Eritrea na visiwa vya Comoro ndio nchi tatu ambazo waziri wa mambo ya nje wa China alitembelea mwaka huu. Ziara ya Wang Yi kwenye nchi hizo imeendeleza desturi ya China kwamba safari ya kwanza ya waziri wa mambo ya nje wa China itakuwa Afrika. Kila ziara huwa na...
  6. kacnia

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa jina la haya matunda na upatikanaji wa mimea yake kwa ajili ya kupanda

    Haya matunda nilibahatika kuyala nikiwa mdogo na wakati huo sikufanikiwa kujua hata yalikuwa yanaitwaje ila ninacho fahamu ni kwamba yana ladha nzuri sana ya utamu ambayo hauwezi kufananisha na matunda mengine. Msaada wenu wakuu, nahitaji kupanda miti yake, ikiwezekana hata minne. Natanguliza...
  7. Maleven

    JamiiForums Tanzania Nani atawasemea hawa wamama wauza mboga na matunda wanaoitwa wamachinga?

    Mwanzoni tulijua wamachinga wako katikati ya mji, wakiuza vitu mtkononi au kwa kutandika chini, vitu hivi vingi ni vitu vya kiwandani kama nguo, nk, lakini huu uongozi wa Bi Samia, unatuambia hata mama anaeuza maembe dodo muda wa usiku pale Kibaha Maili moja nae ni mahinga anachafua mazingira...
  8. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Rick Ross atoka kimapenzi na mrembo mwingine ajulikanaye kama Pretty Vee

    Mtandao wa MTO News umeripoti kuwa Rapper Rick Ross yupo kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na msanii wake ambae pia ni rapper Pretty Vee. Mapema mwaka huu, Rozay alimsaini Pretty Vee katika record label yake ya Maybach Music na vyanzo vya habari vya MTO vinasema kuwa Pretty Vee amekuwa...
  9. Bwana Mpanzi

    JamiiForums Tanzania Ulizia chochote kuhusu Upatikanaji wa miche ya Matunda, viungo na tiba

    Habari za jioni wanajamvi, Kumekuwa na woga au maswali kwa wadau wengi yanayowapa ukakasi kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa kutokana na wimbi la upatu au kilimo ambacho hakieleweki uelekeo wake. Kwangu unaweza kuuliza kuhusu miche, wapi inaweza kufanya vizuri kwanini isifanye, namna ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania CCM tufanye nini Ili Watanzania mnene ya kwamba sasa kweli matunda ya Uhuru tunayaona?

    Inawezekana kila tunalolifanya, hamtuelewi au mnapotoshwa na hivi vyama uchwara na baadhi ya wasaka tonge,mbali ya ilani zetu kedekede ambazo zinazidi kufurika hadi hatuna pa kuziweka, bado tunaona Watanzania wamejawa na shauku ya kama kuna jambo wanalihitajia ili waone tumefikia kule...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mkwara wangu Kuzaa Matunda na leo Simba SC imeshinda japo kwa taabu naomba Kikosi hiki ndiyo kiwe kinaanza mwanzo mwisho tafadhali

    FIRST ELEVEN YA USHINDI TUPU 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Zimbwe 4. Kennedy Wilson 5. Joash Onyango 6. Jonas Mkude Deco de Souza 7. Duncan Nyoni 8. Rally Bwalya 9. Meddie Kagere Mkombozi 10. Ibrahim Ajib Fundi wa Mpira 11. Kibu Denis Mpambanaji SUBSTITUTES WA USHINDI...
  12. The Stranger

    JamiiForums Tanzania Misimu ya Matunda Tanzania

    Habari wanaJF.. Nimejaribu kutafuta misimu ya matunda karibia site zote kwenye mitandao zinazohusiana na kilimo bila mafanikio, hatimae nimekuja hapa Jf nikiamini kabisa hapakosi wataalam na wazoefu wa maswala haya. Yeyote Anaejua miezi ya kuvuna matunda tafadhali naomba atujulishe.. mfano...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Matunda ya chanjo yaanza kuonekana, kazi nzuri ya Rais Samia

    Hapo jana, Serikali ya Uingereza kupitia ubalozi wake hapa nchini ulieleza kuwa Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona ambapo mataifa katika orodha hiyo yamepungua kutoka nchi 54 hadi 7. Kwa mujibu wa taarifa hiyo mabadiliko hayo...
  14. 1 mother

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kutibu ukaukaji wa matunda kwenye mti

    Naomba msaada wa kujua ni dawa gani nitumie kwa ajili ya kutibu tatizo sugu ambalo linakumba miti yangu aina ya mipera, kila ikiweka mazao, mapera yote yanakauka baada ya kufikia hatua flani. Naambatanisha picha kwa ufafanuzi zaidi
  15. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Mazao yasiyo na mbegu ni kitu chanya au hasi?

    Sijui kama ni maendeleo au ni kinyume chake. Leo kuna mazao mengi yasiyo na mbegu. Ukinunua mbegu ukazalisha mazao hayo, hicho unachovuna huwezi kukipanda kikazaa. Ili upande tena, lazima ukanunue tena mbegu. Haya yanatokana na na teknolojia ya kubadili vinasaba - genetically modified crops...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mauzo ya matunda Ulaya yaendelea kuvunja rekodi Kenya

    Earnings from horticulture recorded the biggest growth among Kenya’s main agricultural exports in the eight months to August, fresh data shows, cancelling out poor performance by tea. An update by the Central Bank of Kenya (CBK) shows that horticulture earnings jumped by a quarter to Sh87.8...
  17. LellozWho

    JamiiForums Tanzania Muotesha mti si lazima afaidi kivuli na matunda yeye mwenyewe

    Lengo ni kuakisi Suala zima la mendeleo ya nchi yetu/wazawa. Kelele nyingi zinapigwa kua nchi haiendelei Kama zilizotangulia. Maisha magumu mtaani. Ukweli ni kwamba Watanzania tunataka MAENDELEO lakini tunaogopa MABADILIKO. (Fact) Maana halisi ya heading yangu ni kwamba: Kuifanya nchi...
  18. Prof Sankara

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana wauza matunda wamekwamia wapi kuboresha biashara?

    Na Prof Sankara Kitu gani unazingatia unapo nunua matunda?, ukubwa, rangi, utamu urahisi wa bei au mazingira yanapouzwa?. Kwa asili kila biandamu hupenda huduma bora, hata hivyo kulingana na mazingira inawezekana mtu akalazimika kutumia huduma fulani iliyopo katika eneo lake kutokana na...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kifungua kinywa cha asili ya mbantu ilikua maini figo na matunda

    Kabla ya ujio wa wakoloni wahenga walikua wawindaji. Wenye nguvu waliwinda wanyama na wengine wakitembea kutafuta mizizi na matunda. Matunda ya asili yalikua ni pamoja na matango. Wawindaji waliacha mitego usiku na waliamka alfajiri kuangalia mawindo. Mnyama aliyepatikana alichinjwa na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa mboga mboga & Matunda

    Kutokana na tafiti ambazo zimefanywa na watu mbalimbali wanasayansi mbalimbali duniani (ndani ya Africa na nje ya Africa) wamekuja kugundua kuna umuhimu mkubwa sana wa mboga mboga hasa mboga mboga asilia kama mchicha ,ngogwe ,mgagani. Kwanini zina umuhimu kwasababu zimebeba virutubisho muhimu...
Back
Top Bottom