matunda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mauzo ya matunda Ulaya yaendelea kuvunja rekodi Kenya

    Earnings from horticulture recorded the biggest growth among Kenya’s main agricultural exports in the eight months to August, fresh data shows, cancelling out poor performance by tea. An update by the Central Bank of Kenya (CBK) shows that horticulture earnings jumped by a quarter to Sh87.8...
  2. LellozWho

    JamiiForums Tanzania Muotesha mti si lazima afaidi kivuli na matunda yeye mwenyewe

    Lengo ni kuakisi Suala zima la mendeleo ya nchi yetu/wazawa. Kelele nyingi zinapigwa kua nchi haiendelei Kama zilizotangulia. Maisha magumu mtaani. Ukweli ni kwamba Watanzania tunataka MAENDELEO lakini tunaogopa MABADILIKO. (Fact) Maana halisi ya heading yangu ni kwamba: Kuifanya nchi...
  3. Prof Sankara

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana wauza matunda wamekwamia wapi kuboresha biashara?

    Na Prof Sankara Kitu gani unazingatia unapo nunua matunda?, ukubwa, rangi, utamu urahisi wa bei au mazingira yanapouzwa?. Kwa asili kila biandamu hupenda huduma bora, hata hivyo kulingana na mazingira inawezekana mtu akalazimika kutumia huduma fulani iliyopo katika eneo lake kutokana na...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kifungua kinywa cha asili ya mbantu ilikua maini figo na matunda

    Kabla ya ujio wa wakoloni wahenga walikua wawindaji. Wenye nguvu waliwinda wanyama na wengine wakitembea kutafuta mizizi na matunda. Matunda ya asili yalikua ni pamoja na matango. Wawindaji waliacha mitego usiku na waliamka alfajiri kuangalia mawindo. Mnyama aliyepatikana alichinjwa na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa mboga mboga & Matunda

    Kutokana na tafiti ambazo zimefanywa na watu mbalimbali wanasayansi mbalimbali duniani (ndani ya Africa na nje ya Africa) wamekuja kugundua kuna umuhimu mkubwa sana wa mboga mboga hasa mboga mboga asilia kama mchicha ,ngogwe ,mgagani. Kwanini zina umuhimu kwasababu zimebeba virutubisho muhimu...
  6. Maji Chai

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa dada wa kusupply matunda maofisini

    Habarini ndugu zangu, kuna ndugu yangu anatafuta mdada ambaye atakuwa anamsaidia kusambaza matunda maofisini,ila awe anakaa Dar. Kwa mdada yeyote atakayekuwa yupo tayari awasiliane nae kupitia 0766281783
  7. L

    JamiiForums Tanzania Juhudi za Rais Xi kuhusu ushirikiano kwenye mapambano dhidi ya COVID-19 zazaa matunda

    Wiki chache zilizopita zimeshuhudia ongezeko la usambazaji wa chanjo za covid-19, hasa kwa nchi zinazoendelea. Foleni ndefu za watu wanaojipanga kupewa chanjo zinaendelea katika vituo vingi vya afya. Nchi za kipato cha chini, hasa kutoka barani Afrika, kwa miezi kadhaa zimekuwa katika hali ya...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania 0peresheni Haki yazaa matunda Zanzibar, matawi ya CHADEMA yaanza kuota kama uyoga

    Hili ni moja kati ya matawi mengi ya Chadema yaliyozinduliwa leo huko unguja , hapa ni Shehiya ya Kiungani , Jimbo la Nungwi . Mh Salum Mwalimu akizindua tawi jipya
  9. A

    JamiiForums Tanzania Biashara ya matunda inalipa ukiijulia

    Matunda yanalika sana, haijalishi dini wala kabila watu wote wanakula matunda. Biashara hii inahitaji uhakika wa usafiri ili uweze kuuza matunda yakiwa katika hali ya ubora. Niliangalia documentary ya Wapakistan wanaotoka kwao kwenda kutafuta maisha Ulaya, wengi wanafanya biashara ya matunda...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno

    WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno, Kuna waliofata nyayo za kijana lakini hali hairidhishi, kuna lebo kama kings music ya alikiba na konde gang ya harmonize hizi lebo wasanii wake wamekuwa wakipata wakati mgumu kutoboa ikafika kipindi hadi wasanii...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Matunda ya Uwekezaji wa Mbowe yaonekana sasa

    Matunda ya maono mazuri ya gwiji wa siasa za upinzani nchini (Mwamba) Mh. Freeman Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kuwekeza kwa Rasirimali watu haswa wasomi vijana leo imekuwa na faida kubwa kwa nchi kutoa viongozi wengi vijana. Ikumbukwe ni yeye aliyeanzisha mpango wa kutembelea...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Haya matunda ya mvuti huwa yanajiotea porini, kumbe yanauzwa ghali

  13. Labile

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoishi au wenye uzoefu wa kibiashara pale Bariadi

    Moja kwa moja, naombeni mnisaidie ninataka kuhama hapa nilipo kwenda Bariadi na nataka nikifika kule nifanye biashara ya juice, bisi na matunda kwa delivery. Je, aina hii ya biashara ninayofikiria kwa maeneo yale nimewaza sawasawa? Kama sio nipe mbadala, mtaji wangu ni 1M?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbowe anashambuliwa kama mpira wa kona, huku Ndugai kule Sabaya? Au Freeman ni mti wenye matunda?

    Nijuavyo kwa sasa Mbowe amebakia kuwa mwenyekiti wa CHADEMA tu hana vyeo vingine nje ya chama chake. Kama ni kupoteza ubunge hata mwenyekiti wa NCCR Mageuzi mh Mbatia amepoteza, boss wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amepoteza sasa kwanini kwa Mbowe inakuwa nongwa? Yohana nauliza kwanini Freeman...
  15. S

    JamiiForums Tanzania WAZIRI wa KILIMO Zanzibar hili Lako, enhee Wadudu wanfurutu ada matunda hayaliki

    Kama Wazenji hapa wapo au humu wamo napenda wanifikishie Raisi wa Zanzibar Dr. Husein Bin Ali Bin Husein el Mwinyi ya kuwa sasa ni aibu kwa matunda ya Zanzibar, ulitafunalo lina ndudu aka funza. Hili sio la Raisi ni la Wizara ya Kilimo na waziri husika wa Zanzibar hapa Tanganyika sijawahi kula...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Msaada, nataka ku-supply matunda kwa kiwanda cha Bakhresa

    Wakuu habari zenu, Kichwa cha habari kinavyosomeka, Ninaomba yeyote mwenye kujua ni namna gani tender za ku-supply matunda kwenye kiwanda cha kusindika matunda cha bakhresa zinavyopatikana kuna fursa ya mapera mengi sana hapa nilipo, nikaona naweza kuexploit hii kitu ikawa fedha. Msaada tafadhali
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ziara ya BAVICHA Magereza yaanza kuzaa Matunda. Mahakama ya Songwe yamuachia huru Moses Mwaifunga aliyesoteshwa jela kwa miezi 5

    Moses Mwaifunga ni miongoni mwa vijana lukuki wa Chadema waliobambikwa kesi za uongo karibu nchi nzima , huyu alipewa kesi ya kutunga na ya uongo ya mauaji ili kumkomoa kwa sababu za kisiasa. Sasa baada ya ziara ya viongozi wa Bavicha Taifa kwenye Magereza za Mbeya na Songwe za kuwajulia hali...
  18. yasini jawadu

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa kutengeneza barafu na juice ya Matunda

    Habari wapendwa wa JamiiForums. Naomba mwenye elimu ya kutengeneza barafu na juice ya matunda mchanganyo wa nanasi ndizi na parachichi aweze kunisaidia, email yangu ni yasinijawadu@gmail.com Asante sana. Pia soma: Juisi mbalimbali nzuri kwa afya yako
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Kabudi yazaa matunda. Ni dhahiri Tanzania ina uhusiano mzuri na mataifa ya nje

    Zile tetesi kuwa Tanzania ina mahusiano mabaya na nchi za magharibi zimeonekana sio za kweli. Maana ziara aliyofanya waziri kabudi imezaa matunda. Ziara hii pia imechochea kuanza kwa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga nchini Tanzania. Mradi ambao utazalisha ajira...
  20. Tutor B

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matunda - passion fruits

    Kwa anayejua abc kuhusu kilimo cha mtunda damu - passion fruits, naomba tuweze kupanuana maarifa kwa yafuatayo:- 1. Ardhi inayofaa kilimo hiki au hata green house 2. Upatikanaji wa mbegu bora 3. Soko la matunda hayo 4. Miche / shamba litadumu kwa muda gani ... Nashukuru kwa mchango wakujenga...
Back
Top Bottom