Muotesha mti si lazima afaidi kivuli na matunda yeye mwenyewe

LellozWho

Member
Jul 13, 2021
89
121
Lengo ni kuakisi Suala zima la mendeleo ya nchi yetu/wazawa.

Kelele nyingi zinapigwa kua nchi haiendelei Kama zilizotangulia.
Maisha magumu mtaani.

Ukweli ni kwamba
Watanzania tunataka MAENDELEO lakini tunaogopa MABADILIKO. (Fact)

Maana halisi ya heading yangu ni kwamba:
Kuifanya nchi iendelee si lazma matunda tuyale sisi.

Tuijenge nchi kwa manufaa ya kizazi kijacho.

Mifumo ya kuanzia level ya familia haiakisi miaka ijayo ya vitukuu.

Kwenye Level ya uongozi hakuna mikakati ya karne zijazo

Malengo binafsi ya wengi hayaakisi uzao wake ujao (huu ni ubinfsi)

MIFUMO NDIO KIKWAZO.

We need to change our MINDSET.

Changes begins with YOU.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom