Nani atawasemea hawa wamama wauza mboga na matunda wanaoitwa wamachinga?

Maleven

JF-Expert Member
Sep 8, 2019
624
2,774
Mwanzoni tulijua wamachinga wako katikati ya mji, wakiuza vitu mtkononi au kwa kutandika chini, vitu hivi vingi ni vitu vya kiwandani kama nguo, nk, lakini huu uongozi wa Bi Samia, unatuambia hata mama anaeuza maembe dodo muda wa usiku pale Kibaha Maili moja nae ni mahinga anachafua mazingira, serikali inachukua meza zao na kwensa kuzitupa halmashauli, hata mtu mwenye kibanda chake kule chanika na ni machinga anachafua mji,
hapa pana matatizo mawili
1. viongozo wa serikali hawako katika uhaliasia, wanahitaji standard fulani amabe bado kama nchi hatujafikia, maeneo kama chanika, kibaha bado hayajafikia ile hali ya kusema kila mtu awe na frame wake ni uongo,
2. viongozi ni wabinafsi, either wao wametoka familia za hali mzuri au ndo kutojali hali za wenzao
3. hakuna uwajibikaji, kila mtu anafannya kujiona kama yeye ni ndo kila kitu


Athari zake ni zipi?
1. kwamfano asilimia 95 ya wafanya biashara pembezoni mwa barabara kibaha maili moja ni wamama na wadada, sasa ukishawatoa pale, wapo watakaotumia njia mbadala kupata pesa
a. mmomonyoko wa maadili
b. unyanyasaji wa kijinsia majumbani
c. migogoro ya kifamilia
e. wanawake wanaokaa wenyewe watashindwa kujikimu kimaisha na familia itakua katika hai mbaya, then wakishindwa kulea watototo serikali ndo inasema wazazi mjitahidi kulewa, how?
f. mgambo mnaotumia ni watu wanaishi mtani, hapa natenganeza chuki katika jamii

"Amani sio kutokiepo kwa vita, ni kuwepo kwa haki na uwajibikaji"
 
Sheria ifuatwe.
Kama mtumishi wa umma akichota pesa anafungwa kwa kuvunja sheria, naye mwananchi akivunja sheria aachwe tu kwakuwa ni mnyonge?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom