Rick Ross atoka kimapenzi na mrembo mwingine ajulikanaye kama Pretty Vee

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Aug 30, 2021
630
1,245
Mtandao wa MTO News umeripoti kuwa Rapper Rick Ross yupo kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na msanii wake ambae pia ni rapper Pretty Vee.

Mapema mwaka huu, Rozay alimsaini Pretty Vee katika record label yake ya Maybach Music na vyanzo vya habari vya MTO vinasema kuwa Pretty Vee amekuwa akitumia muda mwingi katika jumba kubwa la Rozay lililopo huko Atlanta.

Hivi karibuni rapper huyo alihusishwa kutoka kimapenzi na mrembo kutoka Tanzania Hamisa Mobeto, baada ya kuonekana kuwa pamoja wakifurahia maisha huko dubai.

Rapa na muanzilishi wa Lebo ya Maybach Music Group, Rick Ross anausishwa kutoka kimapenzi na comedian na rapa mwenzake, Vena Excell almaarufu Pretty Vee kufuatia ukaribu waliokuwa nao wawili hao.

Taarifa zinaeleza, Rapa Rick Ross alimsaini Pretty Vee mapema mwaka huu katika lebo yake ya Maybach Music huku akimuaidi mrembo huyo kumsaidia kukua kimuziki, na sasa inaonekana wawili hao wamefikia hatua ya kuwa wapenzi.

gotdascoop_266041341_238881024995261_9064063959174825175_n-768x768.jpg
 
Mtandao wa MTO News umeripoti kuwa Rapper Rick Ross yupo kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na msanii wake ambae pia ni rapper Pretty Vee.

Mapema mwaka huu, Rozay alimsaini Pretty Vee katika record label yake ya Maybach Music na vyanzo vya habari vya MTO vinasema kuwa Pretty Vee amekuwa akitumia muda mwingi katika jumba kubwa la Rozay lililopo huko Atlanta.

Hivi karibuni rapper huyo alihusishwa kutoka kimapenzi na mrembo kutoka Tanzania Hamisa Mobeto, baada ya kuonekana kuwa pamoja wakifurahia maisha huko dubai.

View attachment 2043102
Makeke yote kumbe alikuwa anapita tuu
 
Mtandao wa MTO News umeripoti kuwa Rapper Rick Ross yupo kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na msanii wake ambae pia ni rapper Pretty Vee.

Mapema mwaka huu, Rozay alimsaini Pretty Vee katika record label yake ya Maybach Music na vyanzo vya habari vya MTO vinasema kuwa Pretty Vee amekuwa akitumia muda mwingi katika jumba kubwa la Rozay lililopo huko Atlanta.

Hivi karibuni rapper huyo alihusishwa kutoka kimapenzi na mrembo kutoka Tanzania Hamisa Mobeto, baada ya kuonekana kuwa pamoja wakifurahia maisha huko dubai.

Rapa na muanzilishi wa Lebo ya Maybach Music Group, Rick Ross anausishwa kutoka kimapenzi na comedian na rapa mwenzake, Vena Excell almaarufu Pretty Vee kufuatia ukaribu waliokuwa nao wawili hao.

Taarifa zinaeleza, Rapa Rick Ross alimsaini Pretty Vee mapema mwaka huu katika lebo yake ya Maybach Music huku akimuaidi mrembo huyo kumsaidia kukua kimuziki, na sasa inaonekana wawili hao wamefikia hatua ya kuwa wapenzi.

View attachment 2043331
Hamisa Mobeto ni alikuwa akiandaliwa kuwa brand ambassador ya Beleier na si vinginevyo. Kilichotokea ni alipata nafasi ya kufanyiwa vile na hii ni badala yake kujiongeza. Hajawahi kuwa demu wa RichForever na haijikutokea
 
Back
Top Bottom