Misimu ya Matunda Tanzania

The Stranger

JF-Expert Member
Apr 25, 2013
270
246
Habari wanaJF..

Nimejaribu kutafuta misimu ya matunda karibia site zote kwenye mitandao zinazohusiana na kilimo bila mafanikio, hatimae nimekuja hapa Jf nikiamini kabisa hapakosi wataalam na wazoefu wa maswala haya.

Yeyote Anaejua miezi ya kuvuna matunda tafadhali naomba atujulishe.. mfano machungwa yanavunwa miezi gan, maembe miezi gani, mananasi miezi gan, n.k.

Natanguliza shukrani.
 
Parachichi ndio zibaanza mbeya na njombe.
Maembe nayo ndio yanaanza, yatafuatua mananasi Mbeya ba Njombe lupembe.
Machungwa ndio yanaisha huko tannga.
Tikiti lipo peak japi huwa haziishi sikoni kabisa.
Peas na Apple mwezi wa tatu Iringa na Njombe.
Ndizi za mbeya msimu wa baridi zinapungua sana sijajya moshi,bukoba moro na kigoma.
 
Ndizi za mbeya msimu wa baridi zinapungua sana sijajya moshi,bukoba na moro na kigoma.
 
Parachichi ndio zibaanza mbeya na njombe.
Maembe nayo ndio yanaanza, yatafuatua mananasi Mbeya ba Njombe lupembe.
Machungwa ndio yanaisha huko tannga.
Tikiti lipo peak japi huwa haziishi sikoni kabisa.
Peas na Apple mwezi wa tatu Iringa na Njombe.
Ndizi za mbeya msimu wa baridi zinapungua sana sijajya moshi,bukoba moro na kigoma.
Thanks thanks..
 
Bukoba ndizi zinakuwa nyingi sana haswa kuanzia mwezi wa tano mwishoni hadi wa tisa mwanzoni...japo haziishi kabisa mwaka mzima zipo.....but zinakuwa nyingi sana mwezi wa sita na saba
 
Machungwa kama yamezaa kwa msimu mmoja basi mavuno ni kuanzia mwezi wa tatu mpaka mwezi wa kumi na moja ila kama yamezaa Mara mbili mavuno ni Mwaka mzima, Yaani kuanzia januari mpaka desemba
 
Kwa Tanzania matunda hayana msimu maalumu labda peas ambazo hulimwa kwa wing njombe na iringa matunda mengine hayo mikoa huwa inapishana kuna mingine inavuna mingine inasubir mikoa yenye kilimo cha matunda meng n Tanga, mbeya ,iringa, njombe, tabora, mtwara, bukoba hiii huwa inapishana
 
Shukran sana.. nilikua silifaham hili.. nilijua msimu ni mmoja tu kwa nchi nzima kwa kila tunda
 
Back
Top Bottom