matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ununuzi wa awali wa pointi za matumizi 1,000 zenye thamani ya $10 million kwa bei ya TZS 300,000 tu

    Mradi wa kimapinduzi wa tovuti ya udalali wa mauzo ya bidhaa na huduma kutoka pembe zote za dunia kwa kutumia teknolojia mpya ya private blockchain ijulikanayo kama Hyperledger Besu. Niko mbioni kutengeneza tovuti ya kipekee kabisa ambayo haijawahi kutengenezwa hapa duniani...
  2. R

    Matumizi ya nepi za kutupa (diapers) yatajwa kusababisha UTI kwa watoto

    Matumizi ya muda mrefu ya nepi za kutumia na kutupa za watoto maarufu pempasi yamekuwa yakisababisha athari kwa kundi hilo huku walio wengi wakipata magonjwa ya ngozi na mfumo wa mkojo yaani UTI. Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Oktoba 23, 2023 na Daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama na uzazi...
  3. Sijapenda matumizi ya label ya Maokoto kwenye bia ya Serengeti Larger ndogo

    Kampuni ya Serengeti nashauri wejiheshimu na waheshimu brand ya wateja wao wanatumia neno la kihuni na lenye matumizi yenye weight kubwa ya negative connotation hasa sehemu zetu za kula bata. Tafadhari Serengeti breweries mjitafakari sana baadhi yetu tumetoka mbali sana na hii bia sio poa...
  4. Tanzania ina matumizi mabaya kwenye pesa za walipa kodi, utitiri wa mamlaka za udhibiti zisileta tija

    Lengo la sera ni kuondoa changamoto zinazoikabili jumua/jamii, mfano tunayo changamoto ya umeme katika taifa letu, bunge limekaa kikao cha kupitisha sheria/sera ya umeme kwa kumgaia udhibiti na mamlaka shirika la umeme kudistribute na allocate eletricity, halkadhalika EWURA, LATRA, CNA CAG vyote...
  5. Nimemsikia Nape kuhusu katazo la VPN ila sijamuelewa kama anajua matumizi ya simu

    Huyu Nape ni waziri wa habari ila sikuelewa jambo alilotaka kuelezea kama lilikua ni lenyewe au la. Nape ametumia muda kueleza nia nzuri ya kudhibiti matumizi ya VPN, ni kuzuia utapeli wa ile hela tuma namba hii unaoendelea nchini kupitia mitandao ya simu. Nape amehusisha utapeli huo na...
  6. TCRA: Hatujakataza matumizi ya VPN bali ni kusajili na kutoa taarifa ya matumizi ya VPN

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia kwa Mkuu wake wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma, Rolf Kibaja imesema taarifa kwa Umma iliyotolewa juzi October 13,2023 haijakataza matumizi ya VPN kama baadhi ya Watu wanayopotosha kupitia mitandao ya kijamii. Kibaja ameiambia Ayo TV...
  7. Mahusiano Matumizi ya Emoji na Ulofa

    Ulofa katika mitandao ni mwingi na ni automated kwa kuwa watu hupenda kuteka Attention Kumekuwa na tabia ya mtu kwenye Kila reply kujaza ma emoji mengii yaisyo ya maana kuliko kile anaandika Hali hii inathibitisha madai ya wandewa kuwa ni ya kweli Bila kupepesa macho Mfano Uzi una misingi ya...
  8. Macheyeki: Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini

    Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini. Chama cha ACT Wazalendo kupitia Wizara Kivuli ya Habari na Mawasiliano tunapinga vikali taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania -TCRA ya kukataza matumizi ya Mtandao binafsi maarufu kama VPN (Virtual Private Network)...
  9. Yajue mataifa yaliyokataza matumizi ya VPN duniani na sababu zao

    VPN(Virtual Private Network) huwa inaficha utambulisho wa vifaa vya mtandaO(IP address) na kuimarisha hata usalama wa mtumiaji kuingiliwa mawasiliano yako na mtu mwenye nia ovu. Serikali nyingi duniani hazijakataza matumizi ya VPN ikiwemo Ulaya na Marekani lakini zipo Serikali chache zimeweka...
  10. Kuongezeka Ph.D za Heshima: Kuna haja TCU watoe ufafanuzi wa matumizi ya title ya Dr. kwa Ph.D za heshima na Ph.D za ukweli?

    Wanabodi, Kiukweli kabisa mfumo dume bado ni tatizo kubwa kwa baadhi ya Watanzania wenzetu na haswa wa Kanda yetu fulani!. Japo Rais Nyerere, Mwinyi na Mkapa, walitunukiwa PhD za heshima za honoris causa lakini hawakuitwa kwa title za Dr. Lakini Rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa aliitwa...
  11. A

    DOKEZO Soko la Karume (Dar) kuna dalili za rushwa, TAKUKURU ije ikague mapato na matumizi ya makusanyo

    Kero yangu kubwa ambayo naomba jamii itambue ni kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ni kwamba Soko la Karume tunachanga michango mingi kama pesa ya usafi na ulinzi lakini hutujawahi ona mapato na matumizi ya pesa zetu zinaendaje. Naomba kufikisha ujumbe huu kwa Serikali Kuu kupitia...
  12. S

    Matumizi sanifu na fasaha ya mofimu "kwa"

    Nimekuwa nikishuhudia baadhi ya ndugu zetu wa nchi jirani wakitumia mofimu "kwa" katika namna ambayo siyo sahihi kwa mjibu wa Kiswahili sanifu na fasaha. Ninaelewa kuwa kuna utofauti wa kilahaja na matumizi ya Kishengi lakini napenda kukumbusha juu ya matumizi sanifu na fasaha ya mofimu hiyo...
  13. S

    Kwanini tunang'ang'ania matumizi yasiyo sahihi ya neno "Pelekea"?

    Pelekea ni mnyambuliko wa neno peleka ambalo maana yake ni kumchukua mtu au kitu na kukifikisha mahali panapotakiwa. Kwa kuzigatia maana ya peleka na mnyambuliko huo wa kutendea wa peleka, maana ya pelekea ni kufanya tendo la kupeleka kwa ajili ya mtu fulani au kwa niaba ya mtu fulani. Mifano ya...
  14. W

    Naomba msaada wa matumizi ya ndevu na kidevu kitandani; wanalalamika ninawachoma!

    Wanawake wangu wanadai zinawachoma. Hakuna utofauti wa malalamiko hayo iwe nimezinyoa au nimeziachia. Kila sehemu ninayoaagusa na kidevu changu basi hutoa malalamiko hayo. Naomba msaada! Sina utaalamu wa kuzitumia au ndo inavyokuwa? Naona wenzangu wanaachia ndevu nyiiingi hadi wengine...
  15. Bosi mpya TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga asema: Tunatarajia changamoto ya upungufu wa umeme imalizike Machi 2024

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga ametambulishwa mbele ya waandishi wa Habari leo Septemba 27, 2023 na kuelezea kuhusu mipango ya shirika hilo na kugusia kuhusu changamoto ya umeme. Kuhusu changamoto ya umeme Nchini, amesema “Tunatarajia...
  16. Kumsimamisha kazi mtumishi wa umma huku akiendelea kulipwa mshahara ni matumizi mabaya sana ya akili kwa Ma HR wengi nchini.

    Pana matakataka mengi yanafanyika Serikali hasa kwa watumishi wa umma inatakiwa mamlaka ilitazame hili. Huu utaratibu wa kumsimamisha kazi mtumishi wa umma huku akiendelea kulipwa mshahara mwisho wa mwezi je ulizingatia afya ya akili ya aliyebuni utaratibu huu?. Unakuta mtumishi kapata kesi ya...
  17. Top 10: ya Mikoa iliyoongoza kwa matumizi makubwa ya Umeme 2022:

    1.Dar es Salaam-2,805.9 GWH 2.Pwani-635.7GWH 3.Arusha-413.9 GWH 4.Shinyanga-411.2 GWH 5.Tanga-408.7 GWH 6. Mwanza-344.5 GWH 7. Morogoro-307.5 GWH 8.Dodoma-249.3 GWH 9.Mbeya-231.5GWH 10.Mara-215.1 GWH Chanzo: TANESCO/NBS
  18. Wafanyabiashara Watakiwa Kuhakikisha Bidhaa Zinakaguliwa na TBS Kabla ya Matumizi

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa waagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi kuhakikisha bidhaa hizo zinakaguliwa ili kulinda afya za Watanzania, na wenye Viwanda vya ndani kuhakikisha bidhaa zinakaguliwa na Shirika la Viwango Tanzania(TBS) kabla ya matumizi...
  19. L

    Matumizi ya wimbo wa Taifa kwa matangazo

    Habari ya mchana wakuu. Kuna mahali nimeona tangazo kwenye ukurasa wa kampuni fulani ila audio inayo play ni wimbo wa Taifa la Tanzania. Naomba kufahamu, hii inaruhusiwa kisheria au kuna makatazo yake?
  20. Matumizi ya neno "UCHOCHEZI" ni namna dhaifu sana ya kuikataa demokrasia na uhuru wa kukosoa

    Katika nchi dhaifu za Kiafrika na hasa ambazo watawala wake ni mamluki wa mabeberu ni utamaduni kwao neno UCHOCHEZI kutumika kufifisha ukosoaji na kukimbia uwajibikaji wa kushindwa kutatua kero au kukithiri kwa Uonevu katika jamii za nchi za Kiafrika. Ipo haja ya nchi za Kiafrika zijitathmini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…