Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,353
- 4,535
Katika nchi dhaifu za Kiafrika na hasa ambazo watawala wake ni mamluki wa mabeberu ni utamaduni kwao neno UCHOCHEZI kutumika kufifisha ukosoaji na kukimbia uwajibikaji wa kushindwa kutatua kero au kukithiri kwa Uonevu katika jamii za nchi za Kiafrika.
Ipo haja ya nchi za Kiafrika zijitathmini namna yao ya uelewa mbovu na matumizi potofu ya neno UCHOCHEZI.
Kuhimili ukosoaji ni kipimo cha akili imara, stahimilivu, komavu, na inayotambua wajibu wake wa kukubali kusifiwa na kukosolewa.
Ni hayo tu