Maneno "a" pamoja na "the" ni kifungu cha mameno ambayo huwa yanatumika kama utambulisho wa nomino katika lugha ya kiingereza .utofauti wa haya maneno mawili ni:
"A" hutumika kutambulisha nomino ambayo haina umbo maalum.kwa mfano:- tuchukue nomino ambayo haina umbo maalum kama "maji" basi...
Vitu vifuatavyo vinaweza kuharibu battery ya gari yako.
1. Kuweka battery yenye low capacity ukilinganisha na battery ambayo imekuwa recommended kwenye Specifications za manufacturer
Baadhi ya watu anaweza kuweka battery ambayo ni ya low capacity ukilinganisha na battery iliyokuwa recommended...
George Floyd
Mauaji ya Mmarekani mwenye asili ya Afrika GeorgeFloyd yamesababisha wimbi kubwa la maandamanondani nan je ya Marekani, watu wa rangi tofautiwakiungaika pamoja kupigania haki zao. Kifo hichopia kimeibua maswali mengi kwa watu wa ngazimbalimbali, kuangalia kwa makini maisha yao...
Kujenga reli ya aina hii ni jambo geni sio tu geni kwetu Tanzania lakini hata kwa mataifa mengine. Hivyo namna bora ya kuitumia, kuitunza, na kuepuka madhara kama yatakuwepo kwa usahihi lazima ianze sasa kabla ujenzi haujakamikika
Yabakie yale tu yanayosubiri hadi ianze kufanya kazi kama vile...
Ofisi za Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wa Rais William Ruto zilitumia KSh1.18 bilioni kwa sherehe na maadhimisho mbali mbali, katika miezi tisa iliyopita hadi Machi 2020; hii ikiwa ni ongezeko la Sh422 milioni kutoka kipindi kama hicho kilichopita mwaka jana.
Kulingana na taarifa zilizotolewa...
Ofisi ya TAKUKURU wilaya ya hanang' mkoani Manyara inamshikilia Patrick Joackimu Kauky@Gauensi Joackimu Kauki baada ya kubainika kuweka madirisha yaliyo chini ya kiwango katika ujenzi wa Ikulu ndogo unaoendelea wilayani Hanang'.
Uchunguzi wa TAKUKURU ulibaini kuwa mzabui hyo alipewa zabuni ya...
Kuna mwanamuziki amewahi kusema "usupastaa ni zigo la misumari".
Unapokuwa supastaa, jamii inakuwa na haki ya kukusulubisha ipendavyo kwani wewe ni "public figure" na chochote unachofanya kinakua na public interest na watu wanaweza kukuchambua wapendavyo iwe kwa uzuri au kwa ubaya. Hiyo ndio...
JUNI 10, 2020
TAKUKURU MAKAO MAKUU KUHOJI WABUNGE 69 MATUMIZI YA FEDHA ZA CHADEMA
Kwa taarifa hii, tunapenda kuuthibitishia umma kwamba ni kweli kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU Makao Makuu, imewaita Waheshimiwa Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA na...
Juzi juzi wote tuliona Marais wote (yaani na wale wataafu) wakiwa Dodoma, wakapewa ndege tausi na wakashuhudia uzinduzi wa Jumba Jeupe la Dodoma.
Katika kikao hicho uwezekano mkubwa kuna mambo muhimu sana yalijadiliwa. La kwanza kabisa hata kabla ya kujua yale ya undani zaidi tuliona jinsi...
Habari wadau,
Napenda nifahamu kuhusu matumizi ya kinyesi cha popo kama mbolea kwenye kilmo hasa cha mpunga. Je, naweza kuitumia kama aina gani ya mbolea; ya kupandia au kukuzia?
Je, nitumie kiasi gani kwa ekari?
Nipo katika mahusiano huu ni mwaka wa 9 niko na mpenzi m1 ninayemhudumia kila kitu, lakini katika huduma ninazompa kuna huduma 1 ambayo nimemtamkia live bila kupepesa macho kuwa ifikapo tar 1 Jan 2021 kama tutajaliwa uhai itakua mwisho wangu wa kutoa; pesa ya yeye kwenda kusuka. Nitatoa pesa ya...
Hongereni sana Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia kitengo chenu cha usalama barabarani kwa kazi mnayofanya kupambana na waharifu wa barabara,pia hongereni wizara ya afya kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ahabari nchini, mitandao ya kijamii n.k. katika kutoa elimu juu ya madhara ,namna ya...
Wakuu habari ya uzima na poleni na majukumu yenu ya kila siku,
Wakuu nataka kuanza kutumia whatsapp version kwenye laptop yangu badala ya simu, Je kuna mwanajukwaa ambaye alishawahi kutumia apps ya whatsappp kwenye laptop? alifanyaje?
Asanteni.
🙏
Nimekua nafuatilia mijadala mbalimbali inayohusu matumizi ya fedha za ruzuku kwenye vyama vya siasa.
Wapo wanaosema kwamba fedha hizo ni jukumu la chama husika kupanga bajeti ya matumizi na haipaswa mtu mwingine kuhoji wala kujua matumizi yake, na lipo kundi la pili linalosema kwamba...
fatuma Karume ameuliza je Matumizi ya mabaya ya fedha ni RUSHWA? Au ni kazi ya CAG? Waseme kuna KESI YA RUSHWA. Wasituambie matumizi MABAYA maana hata Serikalini, CAG kabaini kuna MATUMIZI MABAYA ya fedha, lakini haina maana ni RUSHWA chini ya SHERIA ya RUSHWA!!! Mamlaka ya PCCB ni kwa makosa...
" Sio kwamba tumemtelekeza Idris Sultan bila sababu, yeye anajiita msanii lakini mimi sijawahi kuona sanaa yake. Najua ni mtu aliyeshiriki Big brother ambapo tunafahamu ni jumba lisilo na heshima, ndio maana hata serikali imepiga marufuku "
@afandesele_king, Msanii wa Muziki
Chanzo Taarifa...
Kwa muda huu kila jambo ni gumu kwa sababu hakuna aliyeona au kuhis haya yangetokea ktk kizaz chetu. Ila yameshatokea na yametupa mafundisho ambyo hakuna aliyewahi kufkir angeyasoma kwa njia ngumu kiasi hiki. Si biashara si ajira kila mmoja anapigania uhai wake, Nitakupa mbinu 5 kwa leo ambzo...
Wakuu nauliza hivo maana kilichotokea wala sijaamini
Yaani 1GB imeisha kwa kudownload apps mbili tu na kutumia whatsapp ndani ya dakika 10
Hii kali sasa
Wabunge wameitaka Serikali kutofumbia macho ubadhirifu wa fedha uliofanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii ukiwatumia baadhi ya wasanii wa hapa nchini.
Wakijadili ripoti ya CAG wabunge hao wakiongozwa na mbunge wa Nachingwea wamesema ifike wakati Serikali iwathibitishie wananchi kuwa ni kweli...
Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja sh.30000/- kila mmoja yaani umeme wa sh.60,000/- ndiyo unatosha kumaliza mwezi eti kwa kuwa kila mmoja ana TV screen na kwamba kwa Siku TV moja inatumia units mbili,naomba anayeujua ukweli aijuze tafadhali!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.