Tanzania ina matumizi mabaya kwenye pesa za walipa kodi, utitiri wa mamlaka za udhibiti zisileta tija

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,556
2,995
Lengo la sera ni kuondoa changamoto zinazoikabili jumua/jamii, mfano tunayo changamoto ya umeme katika taifa letu, bunge limekaa kikao cha kupitisha sheria/sera ya umeme kwa kumgaia udhibiti na mamlaka shirika la umeme kudistribute na allocate eletricity, halkadhalika EWURA, LATRA, CNA CAG vyote ni vyombo vya Serikali vyenye udhibiti wa huduma.

Changamoto inatokea pale vyombo hivi kutofata sheria na majukumu yake, matokeo sasa pesa nyingi za walipa kodi zinapotea hovyo. Mfano CAG anatumia pesa kuzunguka na kukusanya taarifa kwa lengo la ukaguzi na udhibiti lakini haina mamlaka ya kohoji na kushitaki, pia hata vyombo vyengine sheria zinawabana kuchukua baadhi ya maamuzi(Je Serikali haioni kuwa sasa ni muda sahihi wa kuvipa mamlaka na nguvu zaidi ili kuleta tija ya vyombo hivi?).
 
Back
Top Bottom