But who produce more...?
Produce za manufacturing Tanga imewazidi,nyie mna produce more kwenye service sector na natural resources kama bidhaa za uvuvi nothing else.But who produce more...?
Sasa kule Kuna viwanda vingi ulitaka matumizi ya umeme yawe chini..??Produce za manufacturing Tanga imewazidi,nyie mna produce more kwenye service sector na natural resources kama bidhaa za uvuvi nothing else.
Ndio maana Tanga ni ya muhimu kimkakati kuliko Mwanza.Kwa nini viwanda havikujengwa Mwanza?Sasa kule Kuna viwanda vingi ulitaka matumizi ya umeme yawe chini..??
Swala sio mkakati ndugu swala ni vitu vilete tija.. tusikae hapa tunajadili umwanza na utanga huku manufaa kitaifa yakawa ni kiduchu sio kama production inayotokana na hiyo mikoa! That my point.Ndio maana Tanga ni ya muhimu kimkakati kuliko Mwanza.Kwa nini viwanda havikujengwa Mwanza?
Na shinyanya ina umuhimu kuliko mbeya, Tanga, Dodoma na Mwanza, na mikoa yote kutoa Pwani na Dar, ukiangalia kwenye matumizi ya umeme, na mgodi wa Nyanzaga ukianza kufanya kazi na matumiz ya umeme kwa mwanza yakipaa juu maradufu utasema Mwanza ni inaongoza kwa viwanda na muhimu kuliko mikoa yote ukitoa Dar?Ndio maana Tanga ni ya muhimu kimkakati kuliko Mwanza.Kwa nini viwanda havikujengwa Mwanza?
Mikoa ya kimkakati Kwa viwanda ni Shinyanga,Tanga,Arusha,Pwani,Dar, Morogoro na Mbeya.Na shinyanya ina umuhimu kuliko mbeya, Tanga, Dodoma na Mwanza, na mikoa yote kutoa Pwani na Dar, ukiangalia kwenye matumizi ya umeme, na mgodi wa Nyanzaga ukianza kufanya kazi na matumiz ya umeme kwa mwanza yakipaa juu maradufu utasema Mwanza ni inaongoza kwa viwanda na muhimu kuliko mikoa yote ukitoa Dar?
N.B maeneo mengi ya Mwanza hayana umeme sio kwamba wananchi hawana uwezo bali serikali haitaki kutufikishia umeme, maeneo yenye umeme ni machache zaidi....viwanda vinazidi kufungwa kwa ukosefu wa umeme🙏🙏🙏
Hoja yako ni kuwa mwanza haina viwanda au hoja nikuwa Mwanza haina maeneo kwaajili ya uwekezaji wa viwanda? Na kama Mwanza haina viwanda je kiwanda gani ambacho Mwanza hakipo ukitoa kiwanda cha cement?Mikoa ya kimkakati Kwa viwanda ni Shinyanga,Tanga,Arusha,Pwani,Dar, Morogoro na Mbeya.
Mikoa mingine hiyo inabebwa na migodi kama Shinyanga na Mara.
Lakini ukweli unabakia pale pale Mwanza sio Mkoa wa Viwanda na Wala hauna eneo la kutosha kujenga Viwanda.
Una matatizo wewe sio bure,Mwanza Kuna kiwanda Cha magodoro? Swala sio aina ipi ya viwanda hamna Bali ni mna viwanda vichache na hamna eneo la kutosha kujenga Viwanda labda muanze kutenga maeneo huko Kwimba nk ila watu ni wengi na sijui mtafidia wangapiHoja yako ni kuwa mwanza haina viwanda au hoja nikuwa Mwanza haina maeneo kwaajili ya uwekezaji wa viwanda? Na kama Mwanza haina viwanda je kiwanda gani ambacho Mwanza hakipo ukitoa kiwanda cha cement?
Magodoro ya super banco yanatoka wapi? Kuwepo na pamba alafu kiwanda cha magodoro kisiwepo... Naona una matatizo sio bure.Una matatizo wewe sio bure,Mwanza Kuna kiwanda Cha magodoro? Swala sio aina ipi ya viwanda hamna Bali ni mna viwanda vichache na hamna eneo la kutosha kujenga Viwanda labda muanze kutenga maeneo huko Kwimba nk ila watu ni wengi na sijui mtafidia wangapi
Kuishi na Wasukuma ni kazi sana,iwahujumu Kwa lipi?Serikali inatuhujumu kwenye usambazaji na uzalishaji wa umeme then mnaleta ngonjera wawekezaji wanataka kuwekeza Mwanza lakini umeme umekuwa mzozo wafanye nini? Wawekezaji wakitaka kuwekeza mwanza wanafanyiwa figisu wawekeze Pwani au Dar.. Hii nchi ngumu sana.