Waliohama Toka Vyama Pinzani kwenda CCM na Wameshindwa Kura Za Maoni. Je, Hii Ni Ishara Kwamba Tulipodhani Wananunuliwa Na Kwamba Waliahidiwa Kitu Ilikuwa Dhana Potofu? Au Tusubirie Teuzi Zingine
Uchaguzi Uliopita Kulikuwa Na Usemi Huu "bora Kusimamisha Jiwe Kupitia Upinzani Kuliko Kumsimamisha...