matokeo

  1. SEASON 5

    JamiiForums Tanzania Ni upi utaratibu wa kufungua biashara mara tu baada ya kupiga kura Oktoba 28? Utaratibu kabla ya kutangazwa matokeo ni upi?

    Habarini NDUGU ZANGU, Nilikua nauliza utaratibu wakufungua biashara kwa wafanyabiashara wenye maduka, machinga, mama ntilie na wengineo wote siku ya tar 28 (uchaguzi) iko vipi? Maana kwa stori ninazosikia eti wanasema tar 28 hakutokua na ruhusa ya kufungua biashara mpaka upigaji kura...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hujuma dhidi ya CHADEMA na wapinzani kwa ujumla, ni matokeo ya uvumilivu wa wapinzani unaotafsiriwa kimakosa kama uoga

    Huu ndio ukweli ambao wapinzani tunapaswa kuutafakari na kuchukua hatua sahihi. Wameengua wagombea wa upinzani tukaa kimya, wakatuchukila poa, lakini kama tungesimama imara, leo hizi figisu za kuapisha mawakala pengine zisingetokea. Tusisahau walianza katika zile chaguzi za marudio...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa utangazaji wa matokeo ya uchaguzi wa Urais

    Kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi za 2020 Kifungu cha 68 kifungu kidogo cha kwanza; Tume ya Uchaguzi baada ya kupokea matokeo ya awali ya Urais yatayoletwa kwao na wasimamizi wa Uchaguzi, baada ya kuhakiki itatangaza matokeo ya Urais kwa Jimbo husika. Kifungu kidogo cha pili kinaeleza kuwa Tume...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yatatangazwa Dar na sio Dodoma kama ilivyosemwa awali

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28 yatatangazwa Da es Salaam na sio Dodoma kama ilivyotangazwa awali Dodoma ni Makao Makuu ya Tume hiyo lakini Dar kuna tawi la Tume kwa hiyo watatumia ofisi ya Dar kama ilivyokuwa katika Uchaguzi Mkuu wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasimamizi wakuu wa vituo vingi vya kupigia kura ni walimu. Je, mwalimu ndiye atakayemnyima fomu ya matokeo ya uchaguzi wakala wa upinzani?

    Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania. Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura, Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura. Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mpangilio wa Majina ya vyama kwenye Karatasi ya kupigia kura ulizingatia nini?

    Nimeona Mfano wa karatasi ya kupigia kura za Urais inayosambaa mitandaoni na ambayo inadaiwa kutolewa na Tume ya Uchaguzi (NEC). Nina swali dogo tu ambalo naomba nijibiwe. Huu mpangilio wa Majina ya vyama uliowekwa kwa namba ulitokana na vigezo gani, yaani ni kigezo gani kilizingatiwa ili huyu...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yataka wagombea wasiwe na matokeo mfukoni

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewataka wagombea wanaowania nafasi za kuchaguliwa kupitia Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani, utakaofanyika wiki ijayo waache kuwa na matokeo mifukoni mwao, bali watambue kuna kushinda na kushindwa. Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC, Dk Willson Mahera, alitoa...
  8. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Adhabu kwa Maafisa Uchaguzi watakaofanya kwa makusudi vitendo vitakavyosababisha matokeo ya uchaguzi kutenguliwa

    MAKOSA YA UCHAGUZI Kwa mujibu wa kifungu cha 89A cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, sura ya 343 na kifungu cha 88A cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, sura ya 292, Maafisa Uchaguzi watakaofanya kwa makusudi vitendo vitakavyosababisha matokeo ya uchaguzi kutenguliwa watashtakiwa. Iwapo...
  10. CHEF

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Kwa matokeo haya huyu kijana aombe kozi gani?

    Ndugu wapendwa nimekutana na huyu kijana ambaye alisoma programme ya kikwete ualimu wa sayansi pale UDOM na kutimuliwa sasa alifanikiwa kumaliza kozi yake. Ila anataka kusoma kozi nyingine ya degree tofauti na Education, ameomba mara ya kwanza wamemkatalia. Anaomba ushauri aombe kozi gani kwa...
  11. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Aliebahatika kupata chuo kwa kutumia matokeo ya foundation ya Open aje hapa

    Wahitim weng wa Foundation progra wanalalamika kuwa hawajapata chuo kwenye first round! Wew uliebahatika kupata kwa kutumia hayo matoke ya Foundation course njoo uwape moyo wenzio,ikiwezekana uwaambie na ufaulu wako ulikuwaje! Karibun wadau
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili wa Mahakama mbona huchukua muda mrefu?

    Nilibahatika kufanya usaili wa Mahakama kama Record Management Assistant, lakini sasa ni mwezi na wiki nzima matokeo bado. Kumbuka unachoma nauli toka mkoani, unasubiri matokeo lakini unasubiri matokeo hujui lini yatatoka. Inaumiza sana,ajira ni tatizo sugu.
  13. Mgiriki MTz

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nisome course gani ya afya kwa matokeo haya

    Habari wana jf,husika na kichwa cha Uzi nimesoma PCB na matokeo ni kama ifuatavyo. Phy-C Chem-C Bios-C Bam-D Sasa baada ya kuomba round ya kwanza sijabahatika kupata chuo,Naombeni ushauri ni course zip nzuri za afya ambazo naweza kupata kwa round 2. Nawasilisha.
  14. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aache kampeni, ajikite kuelimisha kuzuia wizi wa kura na kuyapata matokeo ya vituo vyote nchini

    Leo nilienda safari ya kumtembelea rafiki yangu ambaye yeye na mke wake wote hawana smart phone. Nilipofika nikamkuta mke wake na wageni akanieleza aliyoona jana wakati anaenda Kibaha. Anasema alipofika Gogoni akaona kuna magari ya polisi. Kwenye daladala wakaanza kujadili hilo. Kwa sababu mimi...
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kukubari matokeo kwa vyama vyote ili kuilinda Amani yetu.

    The days of ccm as ruling party are numbers
  16. G Sam

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Matokeo chanya ya ubunifu wa Humphrey Polepole

    Hongera sana ndugu Humphrey Polepole meneja kampeni wa mgombea urais wa JMT kupitia CCM. Bila hivyo uwanja ungekuwa hivi
  17. M

    JamiiForums Tanzania Headline: Kanuni ya mawakala kutopewa fomu ya matokeo ni batili na ipuuzwe hivi

    Raha ya uchaguzi huu ni pamoja na tunavyoelimika. Mimi leo naelimisha jambo moja tu nalo ni kanuni mpya za uchaguzi wa mwaka huu. Kabla ya kuongelea kanuni hizo tujikumbushe siku ya kupiga kura huwa inaendaje. Katika chaguzi zilizopita watu wakishamaliza kupiga kura kura zinaanza kuhesabiwa...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea waonywa kutoheshimu matokeo

    Umoja wa Wapigakura Tanzania (UWAKUTA), umewatahadharisha wagombea wa urais, ubunge na udiwani kutoka vyama vyote vya siasa kuwa ni lazima watii na kuheshimu uamuzi wa wapigakura katika matokeo ya uchaguzi. Akizungumza na gazeti hili ofisini kwake jana, Mratibu wa UWAKUTA, Peter Mpeleka...
  19. Matojo Cosatta

    JamiiForums Tanzania GE2020 Umuhimu wa Mawakala wa Wagombea Urais, Ubunge na Udiwani kupatiwa nakala za matokeo ya uchaguzi katika vituo vya kupiga kura

    KILA WAKALA WA MGOMBEA URAIS, UBUNGE NA UDIWANI KATIKA KITUO CHA KUPIGA KURA ANA HAKI YA KUPATIWA NAKALA YA FOMU YA MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAIS, MBUNGE NA DIWANI. SEHEMU 1: UTANGULIZI. Makala hii inaangazia haki ya kisheria ya wagombea Urais, Ubunge na Diwani kupatiwa Nakala za Fomu za Matokeo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu katika matokeo haya

    Poleni na majukumu. Mpwa wangu amepata matokeo haya. Naomba ushauri wenu Civics- D, Hist-F, Geo-F, Kisw-D, Engl-F, Phy-F, Chem-F, Bio-D, B/Math-F. Ushauri wenu unahitajika sana
Back
Top Bottom