Ushauri: Mini cha kufanya kutokana na matokeo yako ya kidato cha 6 2020

bloggerboy

JF-Expert Member
Nov 13, 2017
568
1,211
πŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌπŸ‘‡πŸΌ

Shalooom wote πŸ‘‹πŸΌ,

Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wale wote waliomaliza KIDATO cha 6 na MATOKEO yao kutangazwa hapo Jana August 21 2020.

*Kitu cha kuzingatia kabla ya kuchagua kozi ya kusomea chuo kikuu*

_listen what's in your heart then Do it πŸ’ͺ🏽_

Kuna kitu kinaitwa "Passion first every thing will fall into place"

Hizo ni statements mbili zenye maana kubwa sana
_usichague kozi kwa sababu flani kasema,au umemwona flani kasomea na katoboa kimaisha,zama hizi za JPM things have turned up,Tunaandaliwa kujiajiri na sio kuajiriwa, kwa hiyo endapo utaenda soma kozi ambayo unategemea kuajiriwa futa akilini mawazo hayo, kasomee kitu unachokipenda hata kama ukisoma Digrii ya ufundi cherehani,inayotolewa pale udsm, kama umeipenda kutoka moyoni,ninatumaini lazima utatumia ujuzi utakaoupata darasani kusaidia jamii,na lazima utatoboa_

Kuna kozi nyingi ambazo ukimfata mtu atakuambia, chagua Medicine,pharmacy, nursing au engineering ndizo zenye uhakika wa maisha

Ni kweli wapo sahihi, lakini angalia kwanza what's ur passion? Ukishatambua Nina imani hutafanya makosa na hutaendeshwa na hisia na mawazo ya wengine ktk kuchagua best course to deal with at the university level!

Nitaendelea.

Nina patikana kwa number 0621082183(whatsup &normal)

Blogger boy
 
Back
Top Bottom