Wahenga walishasema asiyekubali kushindwa si mshindani. Ila kukubali kushindwa hata kabla mtanange haujapigwa ni ishara mbaya sana.
Chadema kama chama kikuu cha upinzani sasa kinaonyesha dalili zote kuwa kimenyoosha mikono juu. Kama ni vitani sasa wameka silaha chini na wameshakuwa mateka...
Mwezi January maisha yalikuwa tofauti na yalivyo sasa. Covid-19 tuliisikia tu kama hadithi kutoka Wahuan. Nilialikwa kwenye tafrija moja. Nilikutana na mwanaume wa Kitanzania, ni Mhandisi kitaalauma.
Yule bwana anavutia sana, hana tumbo na kwa jinsi alivyopangilia mavazi yake, zaidi ya mvi...
Kuna wakati Zitto akiwa Chadema aliwaeleza madhara ya kuweka kanuni inayomfanya mwenyekiti wa Chadema kuwa KUB iwapo ni mbunge na chama kimepata ridhaa ya kuunda kambi rasmi ya upinzani.
Madhara yake ndio haya tunayoyashuhudia sasa. Binafsi sikumbuki kama kuna kikao halali iwe halmashauri kuu...
Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi.
Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu...
Kuna baadhi ya vyama vya siasa vinatumia janga hili la Corona kutukumbusha kuwa na wao wapo baada ya kuwa wamesahaulika kwa miaka 5.
Kwa sasa Corona inazungumzwa zaidi na wanasiasa kuliko wataalamu hali inayofanya hata mapokeo yake kwa baadhi ya watu kuwa na mrengo wa kisiasa.
Hii haina afya...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema kuwa mmoja wa Wabunge wa Bunge hilo amethibitika kuwa ana maambukizi ya Virusi vya Corona.
Amesema mbunge huyo anaendelea vizuri na Serikali inaendelea kumuangalia na kumpatia matibabu stahiki. Kwa mujibu wa maelezo ya mbunge huyo...
Kwa sasa tunajua kuwa Dunia nzima tunapita katika mtihani mkubwa wa ugonjwa wa COVID_19. Kila nchi inahangaika kutafuta majibu ya changamoto hii.
Mashirika ya kiserikali na asasi za kiraia zinajitahidi katika kutoa maelekezo na kupendekeza mbinu mbali mbali za kujikinga. Nchini kwetu kama...
Kauli hiyo ya kishujaa ameitoa ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akichangia kwenye bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu
Pamoja na hilo pia amependekeza umuhimu wa kuwa na Tume huru ya uchaguzi , ambapo amedai kwamba pamoja na yeye kushinda kwa kishindo kwenye nafasi ya ubunge...
Kituko kipya cha karne katika siasa za Tanzania kimeibuka leo, baada ya Ikulu ya Tanzania kuitangazia dunia kuwa, Rais wa nchi amelipa kiasi cha shilingi milioni 38 ili kumlipia faini Mchungaji Peter Msigwa ambaye ni mfungwa wa kisiasa aliyetiwa hatiani kwa makosa ya jinai.
Sina uhakika kama...
Nimesikitishwa sana na uzembe ambao Maofisa wa NMB- BANK HOUSE wameufanya na kusababisha wezi waliopora begi la kijana wangu pamoja na kadi ya Bank ya NMB wapate mwanya wa kuiba hela kwa kupitia kwenye ATM. Tukio lenyewe ni kuwa jana tarehe 27/02/2020 muda wa asubuhi kijana wangu aliporwa begi...
Siasa n upendoo mtu anaruhusiwa kuhama ama kuhamia chama anachotaka
Mlikodi na mabasi na helicopter SIKU lowassa anaingia lwenu CCM awakupiga KELELE
Like wise zamu yenu mkiona hamahamaa inaendelea msihukumu tafuteni udhaifu ukowapi kwann watuwaliokuwa na hadhi zaoo wahame .....
Poleni sana...
Najuaaa tunapopitia sihaba kuamini akuna kipya mbeleni.
Kwa matokeo haya tukapange tu foleni pale Kawe tugombanie namba za NIDA.
Sioni tunachoshindania mpaka sasa ajabuu unakaa bar kula unaonaa kundi la watu linaingia kuangalia Yanga as if wanagombani kakombe fulani.
Nimeona mara kadhaa watu wakijiona wapo salama kufanya ngono bila kinga kwa sababu tu wamepima na matokeo kuonyesha negative. Hiyo sio sawa, kwa sababu vipimo vya juu kabisa kwa ujumla vita-detect HIV angalau week 4 baada ya maambukizi.
Vipimo vitaonyesha matokeo sahihi kwa watu walio wengi...
justices Healey Potani, Mike Tembo, Dingiswayo Madise, Ivy Kamanga and Redson Kapindu
Hawa ni Majaji wa Mahakama ya Kikatiba waliobatilisha matokeo ya Uchaguzi wa Rais hapo jana
Uchaguzi huo Mkuu ulifanyika Mei 2019 na ulibatilishwa Februari 3, 2020 kutokana na kasoro zilizokuwepo kwenye...
Mahakama ya Katiba nchini Malawi leo Februari 3, 2020 imebatilisha Matokeo ya Urais ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Mei 2019 kutokana na kasoro kwenye uchaguzi huo.
Wananchi wametanda mitaani na kulipuka kwa shangwe kusherehekea uamuzi huo wa mahakama.
Uchaguzi utarudiwa ndani ya siku 150 kuanzia...
Mara kadhaa sasa tunashuhudia uradidi wa kutafuta chanzo cha tatizo na kimbilio likiwa kwenye sababu zile zile "Walimu hawafundishi vizuri"na tunashuhudia adhabu zikitolewa ikiwemo ile ya kushushwa vyeo.
Ni kama tunaamini ukiumwa kichwa tu ni malaria na inatakiwa kumeza dawa ya kutuliza...
Tume huru ya Uchaguzi NEC imesema matokeo ya Uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi october mwaka huu yatatangazwa kutokea jijini Dodoma.
Source: Habari Leo
Maendeleo hayana vyama!
Washukiwa wawili wamekamatwa baada ya kukashifiwa kwa kumuua mwalimu wa shule ya msingi kaunti ya Kitui
Wawili hao wanazuiliwa huku uchunguzi ukifanywa dhidi yao
Wambua Mwangangi na Chris Kyalo Muli wanasemekana kumuua mwalimu huyo baada ya shule yake kutoa matokeo mabaya katika mtihani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.