matokeo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya haimo kwenye 10 bora matokeo Darasa la Saba. RC Chalamila (Mwalimu), unafeli wapi?

    Nimeshangaa sana kutouona mkoa wa Mbeya kwenye 10 bora matokeo ya Darasa la Saba. Je, ni siasa zimetufelisha au tatizo ni nini? Yawezekana tuliendekeza siasa tukasahau watoto madarasani. Niishie hapo kama nimetazama vibaya niko tayari kusahihishwa. Maendeleo hayana vyama!
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tokea tuanze kupelekana polisi kila timu inapata matokeo inayostahili

    Yanga inahujumiwa?
  3. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya, Marekani na Asia; heshimuni matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

    WanaJF, Salaam! Nimeandika machache tu kuhusu nchi zenye rekodi ya ukosoaji na ufuatiliaji wa masuala ya uchaguzi na matokeo yake barani Africa ikiwemo Tanzania. Jumuiya za kimataifa zinapaswa kuheshimu matokeo ya uchaguzi mkuu uliowaweka wagombea wengi wa CCM madarakani kwa kuwa utashi wa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu, Prof. Ndalichako, tunaomba NACTE watoe matokeo ya Wanafunzi kwa mtindo wa NECTA. Vyuo vimegoma kutoa matokeo ya muhula 2/2020

    Kumekuwepo na matatizo makubwa NACTE mnapotuma matokeo ya watoto vyuoni. Mtoto hawezi kuyaona ontime pia na wazazi. Kumekuwa au kuna uwezekano mkubwa hata wa ku- manipulate/ku-temper na ufaulu wa watoto kwa faida ya chuo/walimu etc. Maadam chuo ndicho kinamwonesha mwanafunzi matokeo, chochote...
  5. R

    JamiiForums Tanzania NACTE: Toeni matokeo ya mitihani kwa kufuata mfumo wa NECTA

    Mojawapo ya wadau muhimu wa matokeo ya mitihani kwa vyuo vya NACTE ni WAZAZI. Ni vema matokeo yakatolewa kama wanavyofanya NECTA ili iwe rahisi kwa wazazi kupata matokeo ya watoto wao kutoka kwenye reliable source kama website ya NACTE etc, siyo kusubiri kuambiwa na mtoto. Watoto wengine...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania: Kweli itaweza kuwa suluhisho kukubali matokeo ya uchaguzi?

    Wana JF, nimejaribu kuwaza sisi Tanzania katika nchi za Africa tunaosemekana kwamba ni "Third World Countries" mara nyingi tumekariri kwamba ili matokeo ya uchaguzi yakubalike na vyama vyote vinavyokuwa vinashiriki uchaguzi, ni lazima kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi Wenzetu wazungu (USA, U.K...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Trump amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper

    Rais Donald Trump ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper baada ya wawili hao kushindwa kuelewana. Christopher Miller aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Ugaidi atachukua nafasi yake Esper alipishana kauli na Rais Trump kuhusu namna Ikulu (White House) ilivyotumia Jeshi wakati wa...
  8. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Iran ndio nchi ya kwanza kufurahia anguko la Donald Trump

    Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kuiitoa nchi yake katika mkataba wa kimataifa wa mpango wa Nyuklia wa Iran. Ameutaja mpango huo kuwa si salama kwa Marekani na raia wake, huku akisema kuwa mpango huo ni kero kwa taifa la Marekani. Licha ya wito kutoka jumuiya ya kimataifa, Ufaransa...
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Aida Khenan: Kama sikususia Uchaguzi siwezi kususia matokeo, CHADEMA iliniteua nikashinde na siyo kushiriki Uchaguzi

    Mimi sijahama CHADEMA na wala sitegemei kuhama, mimi ni Mbunge mteule kwa hiyo nitawatumikia Wananchi kwa imani ambayo waliniamini, labda chama changu kitakavyoamua kama itakuwa vinginevyo basi itafahamika. "Niliahidi kutokusaliti chama changu na kwa maana hiyo siwezi kuwasaliti wananchi...
  10. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

    1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa 2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC. 3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki. By JJ MANYIKA
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Trump hajakubali matokeo

    Dobald Trump hajakubali kushindwa katika Uchaguzi uliomfanya Joe Biden kuwa mshindi Trump amelalamikia udhaifu mwingi uliojitokeza katika uchaguzi na udanganyifu kadhaa uliopora ushindi wake Trump atafikisha malalamiko yake Mahakamani, lakini atapata changamoto ya kuthibitisha madai yake pia...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020: Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura

    Matokeo ya uchaguzi Marekani 2020:Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura Uchaguzi ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura EPACopyright: EPA Ujumbe wa kimataifa umesema uchaguzi wa Marekani ‘umechafuliwa’ na madai ya wizi wa kura na majaribio ya kwanza kabisa ya kushusha imani ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya matokeo ya Uchaguzi, kipi kuwa Chama kikuu cha upinzani?

    Matokeo yameonyesha kuwa ACT Wazalendo imepata wabunge 3, CUF imepata wabunge 3 na CHADEMA imepata mbunge 1. Hata hivyo kuna uwezekano wabunge wa CHADEMA kuongezeka baada ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu, halikadhalika kwa ACT Wazalendo na CUF. Je, CHADEMA itaendelea kuwa ni chama kikuu...
  14. Mpigamaji

    JamiiForums Tanzania Taswira ninayoiona ndani ya CCM baada ya uchaguzi hadi kufika 2025

    Kwenye uchaguzi uliofanyika 28/Oct kweli nilikua natarajia Magufuli atashinda japo siyo kwa % nyingi kama alizokua anatamka Polepole na zilizotangazwa kumpa ushindi. Hivyo sijaona maajabu hapa kwa Urais wake labda hizo 84% tu. Zile nafasi za wabunge waliopita bila kupingwa majimbo 28 zilikua ni...
  15. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 CASE STUDY - Jimbo la Hai - Walitumia teknolojia gani kupata matokeo sahihi ya kila kituo ndani ya saa 8?

    Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho. Ilikuwa kwa vyovyote vile asitangazwe mshindi...
  16. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kuhamasisha wananchi uasi, machafuko na harakati za kupindua-Jifunzeni matokeo ya nyuma

    Wakuu, Inaonekana wanasiasa mko tayari kusaka madaraka ya kuongoza wananchi kwa njia zozote hata za kuendesha, uasi, machafuko na mbinu za mapinduzi yasiyo halali kufanikisha malengo yenu yaliyojificha kwenye demokrasia, haki za binadamu na mwanya wa kikatiba. Ni dhahiri ndani ya Tanzania na...
  17. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi wasianze kidato cha kwanza na michepuo ya sayansi (Physics, Chemistry) au arts kwa kuzingatia matokeo ya Darasa la Saba?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini wanafunzi wasianze kidato cha kwanza "directly" na michepuo ya sayansi (Physics, Chemistry) au arts kwa kuzingatia matokeo ya darasa la saba na sio kusubiri mpaka afike kidato cha pili? Yale masomo saba ya...
  18. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Nashauri upinzani wafungue kesi za kupinga matokeo yote kuanzia ya udiwani mpaka urais

    Japo nimearifiwa kwamba matokeo ya uchaguzi wa Rais hayapingwi mahakamani, ila napendekeza wanasheria wa upinzani wafungue hiyo kesi ya kupinga hayo matokeo, tena kwa ngazi zote kuanzia udiwani. Tunataka, kesi zipelekwe mahakamani, ili majaji na mahakimu watapozikataa, tuendelee kukusanya...
  19. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Ni matokeo yaliokisi kile watanzania wanakihitaji

    Watanzania sio wajinga hata kidogo,maana wanahitaji maendeleo. Maana bila maendeleo maisha yanakuwa magumu kwa kila mwananchi. Mfano kila mtanzania anakumbuka wakati taifa letu lilikuwa na barabara mbovu,mtu kutoka Dar es salaaam mpaka Mwanza aliweza kusafiri kwa siku tatu,na hii sio mbali...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Vyombo vya Habari kuhusu mapokeo ya matokeo ya Uchaguzi kwa walioshinda na walioshindwa

    Si kawaida vyombo vya habari kuishi habari katika kipindi cha uchaguzi ila kwa Tanzania Vyombo vyote vya Habari havina matangazo balanced, habari wanazotoa ni za upande mmoja hasa kuhusu maoni, mitizamo na mwono wa walioshindwa. Leo hii walioshindwa wakijiunga na chama tawala hata kama...
Back
Top Bottom