Uchaguzi 2020 Kama leo haya yametokea kwa NEC, vipi kuhusu kesho Matokeo ya Uchaguzi?

Noel france

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
925
1,000
Kiukweli Tume ya Uchaguzi imekosa uhalali wa kuendesha uchaguzi huu.

Habari zenu wanajukwaa wenzangu.

Nasema hivi "NEC imepelea kwenye kujibu hoja za Tundu Lissu kizembe". Imekosa uhalali wa kuendelea kusimamia uchaguzi, kwasababu Inajipinga yenyewe na Sheria zake zilizopo ambazo zinaongoza wagombea wote na tume yenyewe.

Binafsi nilitegemea pingamizi za TAL dhidi ya wagombea wenzie zijibiwe na wahusika wenyewe. Lakini NEC imejitokeza hadharani na kuzijibu tena chini ya kiwango pasipo na weridi wa vifungu vya kisheria.

Maoni yangu uwenda kuna shinikizo toka juu ama laa mnamtu wenu mtampitisha kwa nguvu hata kama hatashindwa kwenye uchaguzi huu. Kwa maana hiyo ya Jeche 2015 kule Zanzibar yatajirudia na huku bara.

Je, vipi kuhusu waliopita bila kupingwa na wao umetengua baada ya jana kuinajisi Sheria yenu ya Uchaguzi? Inamaanisha wakina Devotha na wengineo waliofanyiwa figisufigisu zenu watarudishwa na kuwapitasha ili nawao walete ushindani?

Kama haya yote yatafanyika, kunahumuimu gani wakutunga Sheria ambazo nyinyi wenyewe si waumini wazuri wa hizo Sheria?
 

Attachments

  • File size
    21.4 MB
    Views
    0

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
40,873
2,000
Hakuna Tume hapa na Lissu atabaki kuwa shujaa katikaTaifa hili na jana ameandika historia nyingine mbali na ile ya ku-survive shambulizi la risasi 16.

Unaongea alafu unatuambia hakuna maswali na bado unataka tukuamini wewe na hiyo Tume unayoifanyia kazi!

Pathetic!
 

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
973
1,000
Nimesikiliza hotuba ya Lissu zaidi ya mara tatu anagonga kwenye vifungu vya NEC wenyewe lakini wamejibu kirahisi na maswali wakakataa, haijakaa sawa watoe maelezo yaliyoshiba ya kisheria ili Lissu aonekane hajui lolote sisi tusiojua sheria tuliona kama Lissu anatufundisha vile hadi unaelewa.
 

Jmc06

JF-Expert Member
May 11, 2016
1,738
2,000
Ukiwasikiliza CHADEMA wa mitandaoni waweza kudhani Tundu Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii. Bora hata CHADEMA wa mitaani wanakubali ukweli. Ukitaka kuamini hata 2015 pamoja na Lowassa kuongea dk 3 kwenye kampeni mliaminishwa na Mbowe na mkadeki barabara.

Ngoja niwape hints basi.

Kuna wapiga kura milioni 29 mliwahi kuwahesabu kujua Kama wapo kweli?, Kuna vituo zaidi ya 80000 vya kupigia kura nchi nzima mliwahi kuvihesabu kujua Kama vina exist vyote? Let say vipo kweli ili msiibiwe mnahitaji wasimamizi wenu CDM angalau wawili wawili kila kituo na mkisema muwalipe elfu 20 (20000)kila mmoja, kwa vituo vyote mnahitaji (20000x2x80000)zaidi ya bil. 3.2 je mnazo? Kama mnazo zinawatosha wasimamizi wenu wasirubuniwe na pesa zaidi na CCM?

Kwa tume hii nikiona mtu mzima tena mwanaume na p.umbu zake anaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii namuona MPUMBAVU sana. Badala ya kukomalia vitu vya maana mnakomalia UPUMBAVU wa mara Amsterdam mara Lwaitama. CHADEMA wote na viongozi hamna akili.
 

Sijijui

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
7,718
2,000
Hebu msitupotezee muda tuna mambo mengi ya kufanya kuliko upuuzi wa huyo chizi wenu lissu sasa anataka atangazwe amepita bila kupingwa au ?
Hivi neno matanga maana yake ni mwendawazimu?Uchaguzi ni tukio la kikatiba na kisheria hivyo masharti ya katiba na sheria yanapaswa kuzingatiwa. Sasa Kama mna Mambo mengi uchaguzi mliitisha wa nn? Nchi hii chini ya Magufuli imekuwa utopolo sana,hii ni aibu
 

Louis II

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
3,029
2,000
Ukiwasikiliza CHADEMA wa JamiiForums waweza kudhani Tundu Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii. Bora hata CHADEMA wa mitaani wanakubali ukweli. Ukitaka kuamini hata 2015 pamoja na Lowassa kuongea dk 3 kwenye kampeni mliaminishwa na Mbowe na mkadeki barabara.

Ngoja niwape hints basi.

Kuna wapiga kura milioni 29 mliwahi kuwahesabu kujua Kama wapo kweli?, Kuna vituo zaidi ya 80000 vya kupigia kura nchi nzima mliwahi kuvihesabu kujua Kama vina exist vyote? Let say vipo kweli ili msiibiwe mnahitaji wasimamizi wenu CDM angalau wawili wawili kila kituo na mkisema muwalipe elfu 20 (20000)kila mmoja, kwa vituo vyote mnahitaji (20000x2x80000)zaidi ya bil. 3.2 je mnazo? Kama mnazo zinawatosha wasimamizi wenu wasirubuniwe na pesa zaidi na CCM?

Kwa tume hii nikiona mtu mzima tena mwanaume na p.umbu zake anaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa nchi hii namuona MPUMBAVU sana. Badala ya kukomalia vitu vya maana mnakomalia UPUMBAVU wa mara Amsterdam mara Lwaitama. CHADEMA wote na viongozi hamna akili.
Wewe hoja yako ni ipi hasa? Maana kwa ufupi nimekuelewa kuwa mpinzani hawezi kutangazwa kwa sababu CCM inashirikiana na tume ya uchaguzi kuhujumu na kuiba kura za upinzani kwa sababu wapinzani hawana pesa za kuhonga kama CCM. Swali langu kwako, je hapo uchaguzi ni huru? Je , amshindi amepatikana kwa kura za wananchi au matakwa ya kikundi Fulani cha watu chenye kulinda maslahi yao?.
 

Noel france

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
925
1,000
Hebu msitupotezee muda tuna mambo mengi ya kufanya kuliko upuuzi wa huyo chizi wenu lissu sasa anataka atangazwe amepita bila kupingwa au ?
Thibitisha mkuu,ni wapi Tundu Lissu amekosea kwa kuweka pingamizi dhidi ya wagombea wenzie? Ametimiza wajibu wake kama mgombea.
Pia ni mojawapo ya kazi yake kutufumbua macho mimi na wewe,juu ya kinachoendelea kwa tume na kutuonyesha madhaifu ya kiongozi wetu mtukufu.

Kiukweli nimependa kwa yote yaliyotokea jana,kiukweli nimejifunza kitu.
 

Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,758
2,000
Hakuna Tume hapa ns Lissu atabaki kuwa shujaa katikaTaifa hili na jana ameandika historia nyingine mbali na ile ya ku-survive shambulizi la risasi 16.

Unaongea alafu unatuambia hakuna maswali na bado unataka tukuamini wewe na hiyo Tume unayoifanyia kazi!

Pathetic!
Shujaa kwa kipi alichofanya? Mwenzenu anapambania tumbo lake unamwita shujaa Wa taifa?!

Useme ni shujaa kwenye familia yake na yako
 

Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
1,868
2,000
Hayo yote sii ya kuyashangaa, chakushangaza ni uleutaratibu was hati za dharura,na kupitishwa kwa hoja husika kwa utaratibu was ndiooo, tuukatae utaratibu huu muda no sasa, huyu anajaribu kutukumbusha kwa Nia njema ,wapitunapo kosea.
 

IDEGENDA

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
2,590
2,000
Hakuna Tume hapa na Lissu atabaki kuwa shujaa katikaTaifa hili na jana ameandika historia nyingine mbali na ile ya ku-survive shambulizi la risasi 16.

Unaongea alafu unatuambia hakuna maswali na bado unataka tukuamini wewe na hiyo Tume unayoifanyia kazi!!

Pathetic!
Shujaa kwenu nyie wajinga na misukule yake.

Mnadanganywa alafu mnakenua tu mimeno
20200827_083056.jpg
20200827_083113.jpg
 

vngenge

JF-Expert Member
Apr 19, 2011
524
250
Nenda kasimamie wewe. Kila Kitu kulalamika kama mtoto wa kambo
Mahakama ilikosea sana kuruhusu wakurugenzi kusimamia uchaguzi huu.mambo wanayofanya wakurugenzi kule chini ni aibu sana. Kwa mfano mkurugenzi wa Moro ni kituko zaidi
 

IDEGENDA

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
2,590
2,000
Nimesikiliza hotuba ya Lissu zaidi ya mara tatu anagonga kwenye vifungu vya NEC wenyewe lakini wamejibu kirahisi na maswali wakakataa,haijakaa sawa watoe maelezo yaliyoshiba ya kisheria ili Lissu aonekane hajui lolote sisi tusiojua sheria tuliona kama Lissu anatufundisha vile hadi unaelewa.
Ulitaka NEC wajibu kwa porojo?
Lisu kasema Magufuli hakuweka picha hiki nini sasa? View attachment 1549337
20200827_083113.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom