Kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa DIT?

Lordrank

JF-Expert Member
Apr 16, 2020
453
248
Khabari za wakati huu wakuu, wakuu nilikuwa naomba ushauri wenu maana nataka kutuma maombi DIT nikasome diploma in biomedical equipment engineering.

Je kwa ufaulu wangu huu naweza kuchaguliwa kweli!?

O-level.
Biology-B.
Physics-B
Chemistry-B
Mathematics-C
Geography-C
History-C
English-B
Kiswahili-B
Civics-C.

A-level
Physics-E
Chemistry-C
Biology-E
Bam-E
General study-E.

Wakuu, naombeni ushauri wenu katika hili maana bado nipo njiapanda.
 
O level ulikuwa jembe sana sijui ni nini kilikupata advance.

Hapo sijui ungepiga tuu diploma

By the way ngoja waje kukushauri.
 
Khabari za wakati huu wakuu, wakuu nilikuwa naomba ushauri wenu maana nataka kutuma maombi DIT nikasome diploma in biomedical equipment engineering.

Je kwa ufaulu wangu huu naweza kuchaguliwa kweli!?

O-level.
Biology-B.
Physics-B
Chemistry-B
Mathematics-C
Geography-C
History-C
English-B
Kiswahili-B
Civics-C.

A-level
Physics-E
Chemistry-C
Biology-E
Bam-E
General study-E.

Wakuu, naombeni ushauri wenu katika hili maana bado nipo njiapanda.
Unapataaaa mkuu
Screenshot_2020-09-02-08-43-35.jpg
 
Wakuu, naombeni ushauri wenu katika hili maana bado nipo njiapanda.
Una point 4 ((C=3(+(E=1)=(CE=4). Unaruhusiwa kuomba lakini issue niushindani (ufaulu wa waombaji na nafasi zilizopo), kwa kuwa ufaulu wako ni wa chini nina wasi wasi kama utapata. Hivyo omba DIT pamoja na vyuo vingine visivyokuwa na ushindani mkubwa kutegemea na degree gani unatafuta.
 
Shukrani mkuu lakini nilikuwepo nahitaji kusomea diploma in biomedical equipment engineering na siyo degree mkuu wangu.
 
Sorry nilimis hiyo point ya diploma. Kama ni hivyo then omba naamini una nafasi nzuri lakini chagua vyuo kama 3-4 hivi. Naamini utapata.
 
Shukrani Sana mkuu. Mungu akubariki Sana mkuu. Nitajaribu na muhimbili kuomba diploma in diagnostic radiography mkuu na Bugando pia diploma in diagnostic radiography.
 
Khabari za wakati huu wakuu, wakuu nilikuwa naomba ushauri wenu maana nataka kutuma maombi DIT nikasome diploma in biomedical equipment engineering.

Je kwa ufaulu wangu huu naweza kuchaguliwa kweli!?

O-level.
Biology-B.
Physics-B
Chemistry-B
Mathematics-C
Geography-C
History-C
English-B
Kiswahili-B
Civics-C.

A-level
Physics-E
Chemistry-C
Biology-E
Bam-E
General study-E.

Wakuu, naombeni ushauri wenu katika hili maana bado nipo njiapanda.

Kijana unaonekana ulikuwa hausomi kabisa
 
Kabisa mkuu.
Unapata bila wasiwasi ndugu mi niliwahi kuomba nikapata Ila sikwenda Ila nna cha ziada ikikupendeza badilisha picha weka mwengine Huyo jamaa aliitangazia dunia kwamba ni shoga..kama huungi mkono mtoe ikikupendeza lakini
 
Back
Top Bottom