matokeo

  1. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Matokeo ya vipimo 18,000 vya walioambukizwa COVID19 zachapichwa kimakosa

    Makosa hayo yamefanywa na Taasisi ya Public Health Wales ya nchini Wales na taarifa hiyo ilidumu mtandaoni kwa takriban saa 20 Kwa sehemu kubwa taarifa hizo zilionesha tarehe za kuzaliwa, maeneo waliyopo pamoja na jinsia za waathirika. Ingawa watu wameondolewa wasiwasi kuwa si rahisi wahusika...
  2. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania GE2020 Matokeo ya Rufaa za Udiwani zilizochambuliwa na kutolewa uamuzi na NEC

    Katika kikao chake cha tarehe 13, 2020, NEC ilipitia na kufanyia uamuzi rufaa za Wagombea Udiwani kupitia Wasimamizi mbalimbali wa #Uchaguzi nchi nzima Tume imezipitia, kuzichambua na kuzifanyia uamuzi jumla ya rufaa 49 za Wagombea Udiwani kama ifuatavyo; Imekubali Rufaa 24 na kuwarejesha...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna Mtu 'ameshaaminishwa' kabisa tayari ni Mbunge wa Kawe, ila kuna uwezekano Siku ya Matokeo 'akafa' pia

    Kama kuna Wapiga Kura ambao aina yao ya 'Maamuzi' wakati wa Kupiga Kura huwa naipenda mno ni wa Jimbo la Kawe. Yaani ukiwaona ni kama vile 'Malofa' fulani na unaweza ukadhani kuwa wapo na Wewe kabisa ila kumbe ndani ya Mioyo yao wanasubiri tu Siku ya 'Hukumu' ifike nao 'wamanyooshe' Mtu kama...
  4. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC imekubali rufaa nyingine 13 na kurejesha wagombea, rufaa nyingine 14 za walioteuliwa zimekataliwa

    Pia, soma Uchaguzi 2020 - Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020
  5. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali ianze kuongeza mishahara watumishi kwa matokeo ya utendaji

    Salaam Wakuu. Hivi serikali ya Jamhuri wa muungano wa Tanzania haiwezi kuanza kuongeza mishahara ya watumishi kwa kigezo cha kuangalia matokeo ya utendaji ya mwajiriwa? Maana hii kuwaongezea tu wote kwa pamoja bila hata kutazama matokeo ya utendaji inawaua nguvu hata wale watumishi ambavyo...
  6. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza kutoa matokeo ya rufaa za udiwani na ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020. Leo tume imetoa matokeo ya rufaa 55 kama ifuatavyo: 1. Imekubali rufaa 15 na kuwarejesha wagombea katika kinyang'anyiro cha uchaguzi. 2. Imekataa...
  7. Lordrank

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa DIT?

    Khabari za wakati huu wakuu, wakuu nilikuwa naomba ushauri wenu maana nataka kutuma maombi DIT nikasome diploma in biomedical equipment engineering. Je kwa ufaulu wangu huu naweza kuchaguliwa kweli!? O-level. Biology-B. Physics-B Chemistry-B Mathematics-C Geography-C History-C English-B...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tusilazimishe matokeo, mpira ni mchezo wa wazi

    Kwa hiki kinachowakuta hawa warundi sio fair kabisa yaani inaonekana kabisa kuna kitu kinatafutwa. Kwa sababu haiwezekani Yanga wanacheza rafu za kustahili kadi lakini refa anang'ata filimbi, sio lazima siku ya wananchi au Simba day lazima timu zetu zishinde. Waamuzi wawe fair na mbungi ipigwe...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyombo vya Habari vya Tanzania vimeshindwa kuandika na kuripoti pingamizi, badala yake wameripoti matokeo ya pingamizi

    Media zetu zina kazi kubwa sana safari hii, wakati mapingamizi yaliyowekwa na wakasomewa content na context ya hayo mapingamizi walirekodi na wakawa wanafurahi jinsi hoja zilivyopangwa Baada ya kurekodi na kuandika, hakuna chombo chochote kilichoripoti Kama habari kubwa kuwa Lipumba na Mzee...
  10. Noel france

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama leo haya yametokea kwa NEC, vipi kuhusu kesho Matokeo ya Uchaguzi?

    Kiukweli Tume ya Uchaguzi imekosa uhalali wa kuendesha uchaguzi huu. Habari zenu wanajukwaa wenzangu. Nasema hivi "NEC imepelea kwenye kujibu hoja za Tundu Lissu kizembe". Imekosa uhalali wa kuendelea kusimamia uchaguzi, kwasababu Inajipinga yenyewe na Sheria zake zilizopo ambazo zinaongoza...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu awamu ya 5 Tz ni matokeo ya kubadilisha matumizi ya pesa sio kukua kwa uchumi

    Kufanya uchaguzi kwa pesa ya ndani, kujenga flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu unaofanywa na awamu ya 5 ni matokeo ya kubadili matumizi pesa/kipato tu sio kukua kwa uchumi. Mfano, pesa zilizokuwa zinatumika kulipa mishahara kwa watumishi wa umma. Sasa wanastaafu, wengine wanakufa hakuna...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mini cha kufanya kutokana na matokeo yako ya kidato cha 6 2020

    👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 Shalooom wote 👋🏼, Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza wale wote waliomaliza KIDATO cha 6 na MATOKEO yao kutangazwa hapo Jana August 21 2020. *Kitu cha kuzingatia kabla ya kuchagua kozi ya kusomea chuo kikuu* _listen what's in your heart then Do it 💪🏽_ Kuna kitu kinaitwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa Ushauri wenu kuhusu matokeo haya

    Kama Ambavyo kichwa Cha habari hapo juu, Nimehitimu kidato Cha sita mwake huu(2020). Nilisoma PCB na nimepata DDD Nina two ya 12, Je naweza kupata bachelor ya Medical Laboratory pale MUHIMBILI???
  14. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Nawashauri CCM tukubali matokeo tusilazimishe. Tusiue Misingi ya Utaifa kwa tamaa zetu

    Ninawaambia CCM tujijenge kisaikolojia kua hii nchi ni ya vyama vingi, huu mfumo imeruhusiwa na upo kikatiba. Kwahiyo ni lazima tukubali kuna mahali ni lazima tugawane kura za Urais na wapinzani, ni lazima tugawane majimbo na wapinzani, ni lazima tugawane halmashauri na upinzani. Lazima ifike...
  15. R

    JamiiForums Tanzania HESLB na uombaji wa mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita

    Nadhani si haki bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuwalipisha/kuwalazimisha wanafunzi kuomba mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita. Point yangu ni kuwa: 1. Kama mtu amefeli, hana sifa za kuomba, kwanini alipe hizo 30,000 Tsh 2. Mkopo una vigezo, mfano Programu.. huwezi kujua...
  16. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ukiota unafanya mapenzi na mwanamke matokeo yake huwa tofauti sana na mwanamke katika uhalisia?

    habari za muda huu wakuu? naomba kuleweshwa kidogo, tukiacha habari za majini mahaba na wenziwe. ni kwa nini mtu ukiota unafanya mapenzi na mwanamke kwenye ndoto raha yake huwa ni kubwa mara mbili mpaka tatu kuliko ya mwanamke wa halisia?
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Yanga wameitwa kesho TFF watawakilishwa na Senzo stay tuned

    BAADA YA KUKABIDHIWA MAJALADA YOTE YA KESI YA MORRISON UONGOZI WA YANGA KESHO UMEITWA NA TFF KUJADILI SWALA LA MORRISON NA BILA KUPEPESA MACHOO WAMEMTEUA NDUGU SENZO KUWA MSEMAJI WA KESI ILE TUNAOMBA WANANCHI WAPENZI WA YAMGA MTULIE NA BAADA YA MAZUNGUMZO. MTAJULISHWA KINACHOENDELEA
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tusemezane: Uhalisia wa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Mimi ni mmoja wa watu ambao wanaamini kwamba kama taifa, tulipaswa kuingia katika mfumo wa vyama vingi na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi. Sitazungumzia mambo ya kiufundi na ya kimuundo kuhusu hivyo vitu viwili. Lakini kimsingi, hivyo vitu ndo vilipaswa kufanyika kwanza kabla...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hama hama ya Wapinzani na matokeo yake

    Waliohama Toka Vyama Pinzani kwenda CCM na Wameshindwa Kura Za Maoni. Je, Hii Ni Ishara Kwamba Tulipodhani Wananunuliwa Na Kwamba Waliahidiwa Kitu Ilikuwa Dhana Potofu? Au Tusubirie Teuzi Zingine Uchaguzi Uliopita Kulikuwa Na Usemi Huu "bora Kusimamisha Jiwe Kupitia Upinzani Kuliko Kumsimamisha...
  20. Kamakabuzi

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya CVO Madagascar

    Nimeshangazwa na habari kuwa Madagascar inaoma msaada wa kupambana na corona wakati wana dawa. Nikafuatilia dawa yao iliyoletwa Tanzania kujua utafiti ulionyesha nini juu ya dawa hiyo - sikupata jibu Ebu fuatilia habari hiyo Madagascar yaomba msaada wa kukabiliana na corona - BBC News Swahili...
Back
Top Bottom