matibabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Wajawazito kulipia matibabu

    Kuna baadhi ya vituo vya afya hapa nchini wanatoza malipo ya dawa kwa wajawazito waliojifungua hasa wale waliofanyiwa upasuaji. Swali langu; Je ni haki mama aliyefanyiwa upasuaji kulipia gharama za dawa alizopewa ?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hivi jamani hakuna matibabu ya sicle cell kabisa hata ya njia za asili?

    Madaktari wa jamii forum na wengine wenye uelewa wa maswala ya afya kwa ujumla wake. Kuna mtoto wa ndugu yangu ana huu ugonjwa wa sicle cell unamsumbua sana kila baada ya muda anarudi hospital Mpaka familia inaona hakuna namna
  3. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA Tanzia nabii Flora Peter, amefariki dunia katika Hospitali ya Kitengule Jijini Dar es salaam

    Wadau hamjamboni nyote? Naambiwa Nabii Flora amefariki jana akipatiwa matibabu hospital ya Kitengule Tegeta Naambiwa msiba upo salasala nyumbani kwake na pia kwenye Kanisa lake na nje ya Kanisa kuna viti vimepangwa Kana taarifa zina ukweli naomba nitoe pole Kwa Ndugu, jamas na waamini wote...
  4. toplemon

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kupata matibabu kwenye meli ya kijeshi ya China, nafikaje?

    Nisaidie hiyo meli ipo sehemu gani na napanda gari hadi wapi Niliona kwenye luninga kwamba kuna meli la kivita la Chaina lipo hapa Tanzania kutoa huduma za afya na matibabu bure. Hivi bado wapo? Mlokwenda, je ipo kwa wapi? Nafikaje mfano mtu ninayeishi Tabata? Utaratibu wa kufika upoje
  5. Masaki road

    JamiiForums Tanzania ASALAAM ALAYKUM,, NDG zangu Nina swali. Juu ya mjamzito na matibabu yake anapoumwa akiwa ameanza clinic.

    Nianze na kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema. Ndugu zangu nauliza Kwa mjamzito ambae anaendekea na clinic akiumwa magonjwa yahusianayo na ujauzito wake je matibabu yanakuwa yanalipiwa ama yanakuwa free kama nilivyoskia kwamba wajawazito wanatibiwa bure Mwenye taarifa sahihi anielekeze...
  6. Alubati

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iongeze bajeti ya vifaa tiba na dawa kwa magonjwa ya figo na saratani kuwawezesha wagonjwa kupata huduma ya matibabu bure kwa asilimia 100

    Gharama kubwa ya tiba ya magonjwa ya saratani na figo nchini zinasababisha baadhi ya wagonjwa kuacha tiba sahihi hospitalini na na kutumia dawa za kienyeji ambazo zinachangia vifo. Pamoja na jitihada za serikali kuboresha huduma eneo la magojwa hayo kwa kutoa msamaha wa matibabu kwa baadhi...
  7. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Nimefungiwa pombe kwenye karatasi lenye taarifa za wachangia damu

    Salamu, basi jana nikaona nichukue pombe kali nikanywee nyumbani, yule muuzaji akaniwekea kwenye bahasha nyeupe yenye maandishi pande zote. Nilipofika nyumbani nikapiga fundo la kwanza na la pili kisha nikaanza kuipitia ile bahasha nilishtuka kidogo maana ina taarifa za wachangia damu wawili...
  8. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuwekeza katika uvunaji wa poleni za nyuki kwa ajili ya matibabu ya figo

    KUWEKEZA KATIKA UVUNAJI WA POLENI ZA NYUKI KWA AJILI YA MATIBABU YA FIGO Poleni ni seli za uzazi za mimea. Nyuki, wadudu wengine, upepo, na maji hupamba mimea kwa kuhamisha poleni kutoka kwenye utumbi hadi kwenye stigma ya mimea nyingine. Muundo wake hutofautiana kulingana na eneo ambapo...
  9. W

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bima ya Afya kwa kila Mtanzania suluhisho kwa watanzania wanaokosa matibabu sababu ya pesa

    Ni kwamba hakuna mtanzania asiyejua adha wanayopata watu wa kipato cha chini pale wanapougua magonjwa mbalimbali. Serekali na Wizara ya Afya waje na sera ya kumpatia kila mtanzania bima ya Afya ili kuondoa adha hii na hii kupiga tadhimini na kujua namna gani fedha zitapatika ili kufanikisha...
  10. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kuomba michango ya matibabu ni kero ni vyema kama vijana tukajitunza

    Prof. Janabi kila wakati anasisitiza juu ya mtindo bora wa maisha ili kuepukana na magonjwa yasiyoambukizwa ila watu tunachukulia poa. Nina experience ya kuomba michango ya matibabu kwa ndugu, jamaa na marafiki ni miongoni mwa experience mbaya kuwahi kukutana nayo so far ni kero kwa muomba...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anadai pesa ya matibabu kiasi Gani, na kwanini hajalipwa hadi Leo?

    Salaam, Shalom!! Nimesoma Uzi ulioletwa na Roving Journalist unaohusu jibu la TUNDU Lisu kukanusha tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na mwana JF. Soma: Lissu ajibu tuhuma za kunyimwa gari pamoja na fedha na Rais Samia, asema hajawahi kuomba 'favour' yoyote kutoka kwake Nimelazimika kuuliza swali...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Udhamini wa vipimo na matibabu

    Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA, Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna Kuna...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: udhamini vipimo/ matibabu

    Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA, Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kati ya Matibabu, Intaneti na Elimu ya Msingi hadi Chuo, huduma ipi unadhani inapaswa kupatikana Bure?

    Kuna huduma muhimu zinapaswa kupatikana kwa gharama ndogo sana kwasababu ya unyeti wake na athari zake kwa Nchi na Uchumi. Mfano huduma ya Intaneti, Matibabu na Elimu kwa ujumla wake. Hizi huduma zilipaswa kuwa zinagharamiwa na Serikali kwa asilimia kubwa sana kupitia rasilimali za nchi. Mfano...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya huu ugonjwa na wapi naweza kupata huduma nzuri ya matibabu

    Habari wana jamii, Ninasumbuliwa na tatizo la miguu kukaza kuanzia unyayoni mpaka kiunoni na hata mgongoni kiasi kwamba nakosa balance, siwezi kusimama au kutembea muda mrefu mpaka nitumie nguvu kubwa mno pia kukimbia siwezi nikikimbia kidogo tu miguu hukaza na kubana. Naombeni ushauri tatizo...
  16. Tman900

    JamiiForums Tanzania Baada ya Matibabu ya Ectopic (Mimba nje ya Kizazi)

    Mwanamke anapotibiwa kwa upasuaji wa Ectopic, na kupewa muda wa kusubili ili apate Mimba Nyingine., akipata Mimba Nyingine anajifungua kwa Njia gani? Je ni kwa upasuaji au anajifungua Kawaida. Je, Kuna Mambo gani anapaswa kuyaepuka mwanamke aliefanyiwa matibabu ya Ectopic anapokua mjamzito?
  17. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Badala ya Serikali kutoa elimu bure, fedha hizo zielekezwe kwenye matibabu bure kwa wote

    Kwanza ifahamike kuwa, shule bure imeongeza ujinga mkubwa miongoni mwa wanafunzi tangu tu huduma hii ilipoanzishwa na serikali Lengo na maksudi ya Serikali na nia yake, ilikuwa ni njema na nzuri mno, ni kuwasaidia watu wote bila kujali umasikini wao, wasome na wawe na elimu kwa kila mtu Hata...
  18. Buzi Nene

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Misamaha ya matibabu katika vituo vya kutolea huduma za afya ndio chanzo cha huduma kuzorota

    Katika vituo vya kutolea huduma za afya za msingi kwa yaani vituo vyote ambavyo vipo chini ya Tamisemi yani, Zahanati,vituo vya Afya, Hospitali za wilaya kuna utaratibu wa misamaha kwa makundi watoto chini ya miaka 5, wajawazito ikijumlisha na huduma ya kujifungua,na wazee wasio na "uwezo "...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Dkt. Makame: Hakuna haja ya kumsafirisha Mstaafu Mwinyi kwa matibabu kwasasa (Tumuombee)

    Rais mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaji Ali Hassan Mwinyi anaendelea kupatiwa matibabu ya kifua akiwa chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari bingwa "Anaendelea kupatiwa matibabu na baadhi ya wakati anakuwa na uangalizi wa karibu sana wa madaktari...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa kumshukuru Rais Samia pekee kwa matibabu ya Baba yake, atakuwa amekosea

    Nilimsikia Fred Lowassa katika salaam zake za rambirambi pale Karimjee Hall, akitoa shukurani zake za dhati Kwa Rais Samia Kwa matibabu ya Baba yake, Hayati Edward Lowassa na kwenda mbali zaidi Kwa kutamka kuwa kama siyo Kwa msaada mkubwa aliotoa Rais Samia, baba yake asingeweza kufikia majuzi...
Back
Top Bottom