Rais wa Namibia kuanza Matibabu ya Saratani nchini Marekani

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
NAMIBIA: Rais Hage Geingob anatarajia kuanza Matibabu ya Saratani nchini Marekani ikiwa ni siku chache tangu Serikali ithibitishe kuwa Uchunguzi wa Kiafya umebaini Kiongozi huyo ana Ugonjwa wa Saratani.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Rais, Ikulu, imesema kwa sasa, shughuli zote za Urais Itakuwa chini ya Makamu wa Rais Nangolo Mumba hadi Februari 2, 2024.

Serikali ya Namibia imekuwa ikiweka wazi hatua zote za hali ya Kiafya ya Rais Geingob ikiwemo ya kugundulika kuwa ana tatizo la Saratani ya Tezi Dume pamoja na kufanyiwa upasuaji wa Mishipa ya Damu kwenye Moyo.

========

Namibia's President Hage Geingob will travel to the United States on Wednesday to undergo cancer treatment, the presidency has announced.

A regular medical check-up earlier this month revealed the 82-year old head of state had cancer, his office said last week, without giving details about his condition.

The president has accepted an offer by scientists and medical professionals in Los Angeles, California, to undergo novel therapy to deal with the cancerous cells, the presidency said in a statement on Wednesday.

As prime minister in 2014, Geingob told the public that he had survived prostate cancer. He became president the following year.

Vice President Nangolo Mumba would take over presidential duties until Geingob's return on Feb. 2, his office added.

The southern African country is due to hold presidential and parliamentary elections at the end of 2024.

REUTERS
 
Rais wa Namibia Dr Hage Geignob amefariki leo akiwa amezungukwa na wana familia wake
 
Back
Top Bottom