matibabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. spidernyoka

    JamiiForums Tanzania CCBRT wanafanya Kambi ya Uchunguzi na Matibabu bure kuanzia Julai 31 mpaka Agosti 10, 2023

    Mwambie na mwenzako
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania WHO: Watoto 350,000 wanakutwa na Saratani kila mwaka katika Nchi Masikini, 30% hawapati Matibabu

    Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Tedros Adhanom Ghebreyesus ambaye ameeleza kuwa 30% ya Watoto hao wanapoteza maisha kwa kukosa Matibabu. Amesema 25% tu ya Watoto wenye Saratani katika Nchi zenye Kipato cha Chini wanapata Huduma Sahihi za Kiafya kulingana na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Je, Matibabu ya saratani na kisukari kwa tiba mbadala ni uhalisia?

    Kuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye ushahidi atusaidie tuweze kuamini kwani kuna watu wengi wanasumbuliwa na haya maradhi duniani kote.
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kesho Irene Uwoya akihitaji mchango wa matibabu utatoa sh ngapi?

  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) – Hospitali ya Dar Group yaboresha huduma za matibabu ya moyo

    Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Dkt.Tulizo Shemu akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa mashine mbili za kisasa za kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiogram – ECHO) zilizofungwa...
  6. John Haramba

    JamiiForums Tanzania 75% ya Wagonjwa wa Saratani wanaofika Hospitali kwa ajili ya matibabu wanakuwa wamechelewa

    Katika kuwafanya Wananchi wengi kuwa na ufahamu kuhusu Ugonjwa wa Saratani na kuwapa elimu jinsi ya kukabiliana na changamoto hiyo ya kiafya, Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inaendelea na mchakato wa kutembelea mikoa tofauti kutoa elimu na mafunzo kuhusu ugonjwa huo. Meneja wa Kitengo cha...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bupe Mwakang'ata aibana Serikali kuhusu Matibabu ya Afya kwa Wazee

    "Je, Serikali ina mpango gani wa kupunguza gharama za matibabu kwa akina Mama wanapokwenda Kliniki Sumbawanga?" - Mhe. Bupe Nelson Mwakang'ata, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa "Sera ya Afya ya mwaka 2007 kifungu cha tano (3)(4c) kinaeleza kuwa huduma za afya ya uzazi ikiwemo kuhudhuria...
  8. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ni baada ya kupatiwa matibabu dhidi ya ugonjwa ulionikumba ghafla hadi kupelekea kulazwa hospitalini kwa siku mbili(2)

    Habari Wanajamii... Ninatumai wote ni wazima wa afya kabisa pasina shaka, Mimi pia ni mzima na buheri wa afya kwa wastani wake. Kwa sababu bado naendelea na dawa kadhaa ili kuurudishia mwili afya tena kama ilivyokuwa hapo awali. Naomba nianze na shukrani zangu za dhati kwenu wanajamii wenzangu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Afya Katika Maendeleo Endelevu

    Afya ni sehemu ni sehemu ya maendeleo endelevu katika kuimarisha afya bora za watu ili kuwawezesha kufanya vizuri na kuinua uchumi wao na nchi kwa ujumla katika jamii mtu mwenye afya bora huwa na uwezo wakushiriki katika shughuli mbalimbali za kijamii zao na kuchagia katika ujenzi wa jamii...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Haydom marathon 2023 kuchangia matibabu kaya masikini

    Na John Walter-Mbulu Hospitali ya Kilutheri Haydom Dayosisi ya Mbulu imeandaa mbio za nyika (HAYDOM MARATHON 2023) kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wasioweza kugharamia matibabu hospitalini hapo na kuboresha huduma zaidi. Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dr.Pascal Mdoe akizungumza na waandishi wa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mpina atakiwa apeleke Ushahidi wa Madai yake kwamba Maagizo ya Waziri Mkuu Majaliwa hayatekelezwi na Watendaji wa Serikali!

    Akizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia Hata hivyo hoja zake zilipingwa na Waziri Jennista Mhagama akidai ya kuwa hazina ukweli kwamba maagizo yanafanyiwa kazi na...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliyesaidiwa matibabu na Rais Samia atoa simulizi ya kusisimua

    Mtoto aliyesaidiwa matibabu na Rais Samia atoa simulizi ya kusisimua * Asema watu wazima, watoto walimkimbia kutokana na maradhi yake ya ajabu * Amwaga shukrani kwa Rais Samia kugharamia matibabu yake na kumpa nuru mpya ya maisha Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KIJANA Hamimu Mustapha...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kambi Maalum ya Uchunguzi na Matibabu ya Moyo yafanyika Iringa

    Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Elizabeth Meli akimpima shinikizo la damu mwilini (BP) raia wa Switzerland Lans Sottwals aliyefika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Iringa (IRRH) leo kwa ajili ya kupata huduma ya uchunguzi na matibabu ya moyo wakati wa kambi maalum ya...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Serikali imenilipa nusu ya stahiki zangu, nikilipwa fedha za matibabu sitazirudisha kwa walionichangia

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameulizwa kama Serikali imeshakamilisha malipo ya kiinua mgogo chake alichokuwa anadai, majibu yake ni haya: “Nilikuwa nadai kiinua mgogo cha miezi 44 niliyokuwa Bungeni, nimelipwa kiinua mgongo cha miezi 20 bado cha miezi 24. “Nilikuwa nadai fidia ya...
  16. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mama afariki Dunia akiwa nyumbani kwa kukosa pesa ya matibabu, aacha watoto wadogo

    Marehemu Happiness Kasmiry kutoka kijiji cha Usari, Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro alishikwa na ugonjwa wa tumbo wa kuhara na kutapika kwa siku kadhaa kabla ya kufariki dunia akiwa nyumbani kwake kutokana na Kukosekana kwa fedha ya matibabu. Mume wa marehemu huyo ajulikanae kwa jina la John...
  17. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Msaada; Utaratibu wa matibabu ya bure kwa wazee upoje?

    Ndugu wakuu, nina bibi yangu anaishi Dar na maza, ana umri wa miaka kama 100 hivi, sasa anasumbuliwa sana na maradhi na upande wa uchumi uko vibaya, siwezi mkatia bima ya afya. Naomba kujua utaratibu wa kupata kitambulisho cha matibabu ya bure kwenye hospitali za Serikali, kwa anaejua...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bata wanatoa kinyesi cheupe, ni ugonjwa gani huu na tiba yake ipoje?

    Bata wanakunya kinyesi cheupe (kawaida huwa wanatoaga kinyesi cheusi), hawana kabisa hamu ya kula, kunywa maji na wanaishiwa nguvu na kutembea goigoi. Please, nisaidieni ni ugonjwa gani na tiba yake.
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wazee walilia dirisha la Matibabu Hospitali ya Wilaya ya Kiteto

    Wazee Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wameiomba Serikali kuangalia namna ya kufungua dirisha la wazee katika Hospitali ya Kiteto ili wazee waweze kupata huduma ya Afya kikamilifu. Imeelezwa kuwa licha Serikali kuagiza uwepo wa dirisha maalum kwa ajili ya Wazee lakini hakuna huduma hiyo hali...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Gharama kufuru za matibabu hospitali za umma ni kwa uhalali upi?

    Imekuwa si nadra kusikia ankara za mamilioni ya pesa kwa ajili ya tiba kwenye hospitali za umma. Nani anayepanga bei hizi na kwa vigezo gani? Je, ni bei kwa ugonjwa, dawa, ujuzi, vifaa au majengo? Au ni yale ya Bashe na wakulima na bei zao za vyakula? Kwamba kama bei ni kubwa basi kila mtu...
Back
Top Bottom