Nimepata Taarifa kutoka kwa familia moja ambao wameoa huko Mkoani Arusha zikisema walipata msiba wa Mkwe zaidi ya wiki Sasa lakini mazishi hayajafanyika kwa sababu Hospitali inadai haitotoa mwili hadi walipwe deni la matibabu. Taarifa zinadai wanafamilia wamepeleka zaidi ya nusu ya fedha na hati...
Hivi inakuingia Akilini kweli unamuacha Beki halisi namba Tatu Bench Mohammed Hussein Tshabalala na unamuanzisha Mtu mwenye uwezo wa Kucheza Beki namba Mbili Israel Patrick Mwenda?
Hivi inakuingia Akilini kweli ndani ya Mechi Tatu unaona kabisa Kiwango cha Beki Shomary Kapombe kinashuka halafu...
Habari za leo wakuu,
Naomba kuuliza je kuna matibabu mbadala ya apendex mbali na kufanyiwa upasuaji.
Apendex yenyewe hospitalini baada yakuapigwa ultrasound imeonekana bado ndogo
MAABARA NI NINI
Maabara ni jengo maalumu lilojengwa mahususi lilosheheni mashine na vifaa maalumu (machine and equipments) na vitendanishi (reagents) kwa ajili ya kufanya majaribio (trials), vipimo (tests) mbalimbali kulingana na mahitaji. zipo maabara za aina nyingi sana kama vile maabara za...
Wadau, nimekuwa mhanga wa gharama za matibabu hali iliyonisukuma kuandika mada hii.
Aidha, nimeguswa kwa masikitiko kauli mbalimbali za viongozi wetu katika suhala la afya nchini.
Nategemea na ukoo wangu, ivyo, sinashaka mnafahamu ninavyosumbuka. Hali hii inanifanya kuwaza kipi bora kufanywa...
Salaam wakuu.
Nchi hii ni yetu sote, matatizo yetu tunaweza kuyatatua kwa rasimali kidogo tulizonazo. Hapa Tanzania suala la Ambulance hata hatuelewi linafanyaje kazi. Mara nyingi ambulance zinasafirisha referred patient (Wagonjwa pendekezwa kwenda hospital nyingine).
Kwa matatizo ya dharura...
Gwajima leo nimemfatilia nimegundua hapa hakuna mtafiti ni utopolo na ujinga na sifa mdio vinamsumbua
Ibada nzima ilikua ni sifa kwa Rais samia tu, means ameshashtuka kuona ibada ilivyopita alimdhihaki sana lakini samia kapiga kimya
Mchungaji kaanza kupiga u-turn taratibu, ibada iliyopita...
Najua kifo ni mtihani na ni neno linalo leta hofu.
Lakini Nina swali moja nakosaga jibu.
Najua wengi tumekutana na watu/ndugu/jamaa/rafiki ambao wapo kwenye wakati mgumu hasa katika hali ya kuugua.
Kua na matatizo ya kiafya ya muda mrefu, yanayo watesa na kuwakatisha Tamaa kwa kua hakuna...
Siku chache baada ya tozo za miamala ya simu kuongezeka kutoka makato ya awali wakati wa kutuma pesa au kutoa pesa mpaka Makato ya sasa amambayo yapo na yanatumika Nini athari zake kwa watanzania
1. KUDORORA KWA BIASHARA ZA MTANDAONI
Biashara za mtandaoni zitapoteza wateja na kudorola hususani...
Waziri wa Afya niombe uimulike hii hospital iliyopo mkoa wa pwani! Gharama za huduma ni kubwa mnoo! Mfano ukaenda pale kutibiwa gharama ya kujiandikisha ili umwone daktari ni Tsh 5000/= halafu anayehudumia ni intern.
Gharama za kupima malaria (MRDT) ni tsh 6000. Hapo bado huduma nyingine, bado...
Nashauri serikali yetu tukufu wafikirie Malaria tiba yake iwe Bure. Mfano Kenya matibabu na vipimo vya Malaria ni Bure Kama sijakoaea.
Fikiria mtu kupima malaria ni Bure ila ukija upande wa tiba inakua mtihani. Maeto ambao unahati punguzo (nembo ya Jani) mahospitalini hazionekani, badala yake...
Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza kituo cha afya Makambako kuacha mara moja kuwatoza fedha watoto chini ya miaka mitano kwa ajili ya matibabu kwa kuwa ni kinyume na sera ya Afya.
Akizungumza na kituo hiki kufuatia malalamiko ya baadhi ya wanachi wa halmashauri ya mji wa makambako...
Mama Samia, kama kweli umedhamiria kurudisha umoja wa kitaifa na kutibu majeraha yaliyotokana na uongozi uliopita, moja ya jambo linalostahili kufanyika ni kwa serikali yako kumlipa Tundu Lissu haki zake zote zikiwemo fedha za matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi.
Japo mini si kiongozi...
Kama mnakumbuka CAG Prof.Assad alihoji malipo ya matibabu ya Spika zaidi ya dola 12,000,000 mwaka 2017.
Mpaka leo CAG hajajiridhisha na malipo Ndugai hajapeleka nyaraka kufunga hoja.
Humu JF tunataka kuona nyaraka zote zinawasilishwa kwa CAG vyeti vya matibabu na madaktari walifanya...
Aliyekuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. P Mlama aliwahi kuchangisha fedha za matibabu ya Dkt. John Pombe Magufuli.
Prof. Mlama alieleza kuwa Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Sayansi, John Magufuli anasumbuliwa na Ugonjwa wa 'Hypertropic Cardiomyopathy'...
BAADHI ya wanawake wenye watoto chini ya miaka mitano wilayani Shinyanga, Mkoani Shinyanga, wasio na bima ya afya ya CHF, wamelalamika kunyimwa matibabu ya watoto wao kwa kukosa kadi hizo.
Wamepaza kilio hicho kwa nyakati tofauti kwenye sherehe wanawake wilayani Shinyanga iliyokuwa na lengo la...
Dar es Salaam, aliyekuwa Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Chadema, Arcado Ntagazwa amezikwa nyumbani kwake Kimara jijini Dar es Salaam huku sababu ya kifo chake ikielezwa kuwa ni changamoto ya upumuaji.
Waziri huyo wa zamani aliyehamia Chadema mwaka 2010 akitokea CCM, alifariki dunia Jumatano...
Habari kuhusu gharama za matibabu kwenye mahospitali makubwa nchini kwa watu wanaodhaniwa kuwa na Nimonia kali ni kubwa sana, serikali inapaswa kumulika hospitali hizi kuona kama hizi gharama ni halisi au zinapandishwa na wamiliki.
Lakini pia ni muhimu kupata gharama elekezi kwa watu wanaopata...
Corona ipo duniani na Tanzania siyo kisiwa.
Nchi kuwa na Corona siyo aibu, maana kirusi hakijui mipaka ya kisiasa.
Serikali zilizo responsible duniani zinaendelea kutekeleza sera za kupambana na Covid na kamwe hazitangazi kuwa zimeshashinda vita tayari, bali zinakuwa cautious na zinaendelea na...
afya
barakoa
changamoto
chanjo
corona
covid
covid 19
covid-19
dunia
gani
kelele
maambukizi
magufuli
maisha
matibabu
rais
siasa
tanzania
ugonjwa
ukweli
upumuaji
uzalendo
viongozi
watanzania
wizara ya afya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.