matibabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Emma Kiduku Charity Group wachangia matibabu ya watoto 6 wenye kichwa kikubwa MOI

    Kikundi cha Hisani cha Emma Kiduku Charity Group kimechangia matibabu ya watoto 6 wenye kichwa kikubwa na mgongo wazi wanaotibiwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Ubongo Muhimbili (MOI). Kikundi hicho kilikabidhi msaada huo Mei 4, 2025 MOI, ambapo kiongozi wa kikundi hicho Bw. Emmanuel Madaha...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Nzigilwa: Padre Kitima anaendelea na matibabu na hali yake inaimarika

    Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa amesema Padre Kitima anaendelea na matibabu na hali yake inaimarika huku akiwataka watanzania kuendelea kuombea ili mwenyezi Mungu amuwezeshe kupona haraka. Ameyasema hayo leo Mei 04, 2025 katika Misa Takatifu...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tutaona mengi kuuelekea uchaguzi, Mwananchi asimulia alivyosaidiwa matibabu na Shigongo baada ya kuugua miaka nane

    Yote ni shuhuda kuelekea uchaguzi mkuu, wanasiasa wanaitafuta huruma ya wananchi. hatukuwahi kusikia shuhuda kama hizi huko nyuma :AAAA: :AAAA: :AAAA: msikilize mwananchi huyu, Mbanguji Paul wa Buchosa jinsi akieleza alivyosaidiwa matibabu ya jicho lililomtesa kwa takribani miaka 8 na Mbunge...
  4. N

    JamiiForums Tanzania YAS yazindua huduma ya Matibabu ya Macho bure kwa Wakazi wa Mbeya

    Mbeya, 18–21 Aprili 2025 – Kampuni inayoongoza nchini Tanzania katika huduma za mawasiliano na maisha ya kidijitali, YAS, kwa kushirikiana na KSI Charitable Eye Centre, imezindua rasmi kampeni ya siku tatu ya matibabu ya macho bure kwa wakazi wa Jiji la Mbeya na maeneo ya jirani. Mpango huu...
  5. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi zaidi ya 900 wapatiwa huduma za uchunguzi na matibabu ya ugonjwa wa saratani bila malipo Peramiho

    Wananchi zaidi ya 900 wamepatiwa huduma za uchunguzi na matibabu ya ugonjwa wa saratani bila malipo katika Hospitali ya MT. Joseph Peramiho, huduma ambazo kutolewa na madaktari bingwa wa magonjwa ya saratani kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road kwa muda wa siku nne (4). Waziri wa Afya Mhe...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Naibu spika: Bado gharama za matibabu zinawasumbua wananchi, ataka madaktari na watumishi kuwa na utu

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu ametoa wito kwa madaktari na wauguzi kote nchini kuwa na utu wanapowahudumia wagonjwa, hususan wale wanaoshindwa kulipia gharama za matibabu kwa wakati. Akizungumza bungeni leo Alhamisi Aprili 17, 2025 wakati wa kipindi cha...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Makalla tuambie hivi Sigrada Mligo anaendeleaje na matibabu?

    Kwanza nakupa pongezi kwa moyo wako wa huruma kwa hatua ulizochukua za kumsafirisha Katibu Mwenezi wa BAWACHA Sigrada Mligo kwenda kupata matibabu ya kibingwa katika hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma. Itakumbukwa Sigrada Mligo alipigwa na mlinzi binafsi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema John...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi achangisha sh. 950 milioni kwa matibabu ya wagonjwa wa mguu kifundo

    BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 950 MILIONI KWA MATIBABU YA WAGONJWA WA MGUU KIFUNDO KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amefanikisha uchangishaji wa shilingi milioni 950 kwa ajili ya matibabu ya watoto wapatao 400 wanaougua ugonjwa wa mguu kifundo. Kiasi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Usiende kwenye usaili wa Mchujo bila kusoma Makala hihi na kupata matibabu haya

    https://forms.gle/unEoTS5RH4dQ6mUA7 HAYA! Kama wewe ni msailiwa, Mtainiwa mtarajiwa, Thinker kiongozi, au mtu yeyote anayekabiliana na hali tata zinazohitaji uchambuzi wa kina ili kupata majibu sahihi, basi Mental Therapy Scanner ni kwa ajili yako. 👇👇👇👇👇👇👇👇 https://forms.gle/unEoTS5RH4dQ6mUA7...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri wa Ardhi, Geophrey Pinda azindua kambi ya wiki mbili ya matibabu bure ya macho na matatizo ya mkojo

    Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amezindua kambi ya wiki mbili ya matibabu bure ya macho na matatizo ya mkojo kwa wananchi wa Jimbo hilo lililopo Mkoani Katavi. Hafla ya Uzinduzi huo imefanyika tarehe 11 Machi 2025 katika hospitali...
  11. upupu255

    JamiiForums Tanzania DED Millao aahidi kugharamikia matibabu ya Abuyasili

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma Shaban Millao mara baada ya kupokea barua ya kuhitajika kwa msaada wa mtoto Abuyasili Abdi Iddy mara moja ameacha kazi zote ofisini na kufika katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu ili kufahamu shida na utatuzi wake...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Grimes, mzazi mwenza wa Elon Musk alalamika Elon kutelekeza watoto, adai pesa za matibabu X!

    Grimes mwanamke aliyezaa na Elon Musk watoto watatu ameamua kuposti X/Twitter akilalamika Elon baba watoto wake hapokei simu au kujibu meseji zake kuhusu mahitaji ya mtoto wao anayehitaji matibabu na kwamba kadri anavyochelewa kutibiwa atapata madhara ya kudumu. Anasema kama Elon hataki kuongea...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga kumjibu Jemedari ni kumsaidia matibabu yake.

    Katika fani ya magonjwa ya akili yapo magonjwa kama vile msongo wa mawazo (stresses) na sonona (depression) ambayo tiba yake kuu ni kutoa ya moyoni hadharani au kwa mtu unaemwamini. Tiba hii kitaalam inaitwa "mental ventilation" au mental catharsis. Unapokuwa unaongoza watu hakikisha kuwa...
  14. Mwangi T.

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu!? Naomba kujua matibabu ya Toki, uvimbe wenye maumivi juu ya paja unaotokea wakati fulani unapopata jeraha au maumivu mguuni.

    Kama Headline inyosomeka hapo juu tafadhali kwa mwenye ufahamu!
  15. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Chalamila unapata matibabu premium kupitia Kodi za kina mama unaowatukana

    Hivi unahisi Tanzania ya Leo ni sawa na miaka ya 60? Unapokuja kulazimisha hospitali za Umma zianzishe utaratibu wa kuchangisha pesa kinyume na miongozo ya afya una maana Gani? Kuna huduma zinazolipiwa na zipo huduma ambazo kutokana na umuhimu wake serikali imeona zitolewe Bure. Wewe kwa ukaona...
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Mjawazito kugharamia tiba: Je kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar ndio msimamo rasmi wa serikali? Serikali itoe kauli.

    Watanzania wamesikia kauli ya mkoa wa Dar, Albert Chalamila kuwa, mjawazito atawajibika kuchangia matibabu na akishindwa aende akajifungulie nyumbani. Japokuwa imetolewa kwa kebehi lakini ni kauli iliyobeba uzito mkubwa ikizingatiwa sera rasmi ya serikali katika sekta ya afya ni mjawazito...
  17. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Wananchi wahangaika kilometa nne kutafuta matibabu, zahanati iliyojengwa 2021 bado haijatoa huduma

    Wananchi wahangaika kilometa nne kutafuta matibabu, zahanati iliyojengwa 2021 bado haijatoa huduma
  18. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi maskini wanafia ndani kwa kukosa matibabu

    Jana nilitoka nje ya wilaya niliyopo kwa ajili ya jambo flan flan, sasa wakati nikiwa huko ugenini mwenyeji wangu alichelewa kunifuata baada ya kumsubiri kwa muda alikuja. Basi akasema amechelewa kuna jirani yake anaumwa sana yupo nyumbani basi wakati tunaongea kumbe alisahau simu huko...
  19. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Ifamu ugonjwa wa Kiharusi (Stroke), Dalili na Matibabu:

    Kiharusi (stroke) ni ugonjwa wa kupooza sehemu au upande mmoja wa mwili kutokana na hitilafu/uharibifu kwenye ubongo, hasa ubongo kukosa damu au damu kuvilia ndani ya ubongo. Kiharusi husababisha ulemavu na vifo duniani kote ambapo kila mtu mmoja (mwenye miaka 25 na zaidi) kati ya wanne hupata...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Arusha Mbioni Kufanywa kuwa Kitovu cha Utalii wa matibabu Ukanda wa Afrika Mashariki

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na Waziri wa Afya nchini Tanzania Mhe. Jenista Mhagama, wamekubaliana kukutana Dodoma Makao Makuu ya Wizara hiyo, kufanya mazungumzo ya pamoja ya kupanga utekelezaji wa ndoto na Maono ya Mhe. Makonda ya kuufanya Mkoa wa Arusha kuwa Kitovu cha...
Back
Top Bottom