matajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mark Zuckerberg wa Facebook na Genius Kadungure “Ginimbi” walizaliwa 1984 na wote walikuwa matajiri

    Wakati utajiri wa Mark Zuckerbergs unafikia US $ 100 bn utajiri wa Genius Kadungure ulikua kati ya US$ 10-100 million. Vijana hawa walizaliwa mwaka mmoja. Mmoja akiwa mwanzilishi wa Facebook mwingine biashara zake nyingi hazikua zinajulikana. Genius alimiliki magari ya kifahari na kuishi...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Kipi huchangia maskini kudumu zaidi ndoani kuliko wenye kipato cha kati au matajiri?

    Natumai hamjambo wakuu, Ukiitazama taasisi ya ndoa utagundua maskini wakafanikiwa zaidi kudumu ndoani kuliko wenye kipato cha kati/matajiri. Je, kwa mtizamo wako unadhani ni ipi sababu ya ndoa za maskini kudumu kuliko za wenye kipato cha kati/matajiri?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Matajiri 10 hawa hapa na 80% wamewekeza kwenye technology

    Post iliyo pita nilikuelezea kuwa utajiri mkubwa upo kwa wawekezaji walio wekeza kwenye teknolojia , sikatai kwamba wawekezaji wa kwenye mafuta na Madini na wengine wapo ila tunaona kwenye teknolojia ya mawasiliano wamezidi kuwa juu HII NI ORODHA YA MATAJIRI 10 WAKUBWA DUNIANI karibia asilimia...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

    Ule mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana. Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  6. Mao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Viti Maalumu Vijana Watoto wa matajiri waongoza

    Wajumbeeee! Poleni kwa misiba na maombolezo. Mwenyezi Mungu azipumzishe pahala pema peponi roho za waliotutangulia. Nakumbuka kushuhudia Uchaguzi wa CCM MWAKA 2000 Mimi nikiwa mtia mmojawa of mikoa wa mashariki mwa Tanzania. Hayati Mzee Mkapa akiwa Mwenyekiti wa Chama alikata majina ya...
  7. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Chile maskini wafurahi na kusheherekea kufulia kwa matajiri

    Mzuka wanajamvi! Nilidhani ni maskini wa bongo tu wenye roho mbayaaaaaa! Uchumi wa Chile ulikuwa unapaa kwa kasi ya ajabu. Na kuzalisha tabaka kubwa la middle class kwa serikali kuweka mazingira mazuri ya watu wa uchumi wa, kati kuchukua credit na mikopo kiurahisi. Corona ilivyopamba moto...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Watoto wa matajiri wengi ni wapweke. Ni rahisi kuwa nao kama Marafii/Wapenzi

    Muhimu: Nimesema wengi sio wote Ni kutokana na maisha waliyoyaishi Akitoka shuleni, nyumbani hakuna kutoka (geti kali), ni kiangalia katuni na kufanya homework Shule zao darasani unakuta watu 20 tu, hapo sana sana anaweza kuwa na mabesti wawili tu. Na mambo mengine kadha na kadha. Hiki kitu...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Magufuli kiboko ya masikini; Mtetezi wa Matajiri

    MAGUFULI KIBOKO YA MASIKINI, MTETEZI WA MATAJIRI. Na, Robert Heriel Kuna watu hawamuelewi Mhe. Rais na hawatakuja kumuelewa kabisa. Leo nitakupa mbinu ndogo sana ya kumuelewa Mhe. Rais ambayo huenda ulikuwa huijui. Mbinu hiyo ni; Usimpende sana magufuli yaani usiwe na mahaba niue naye, pia...
  10. mgt software

    JamiiForums Tanzania CCM ya Mkapa na JK iliua njia kuu za usafirishaji kuneemesha matajiri, CCM ya Magufuli yasifika kwa kuuresha Matajiri waishi kama Mashetani

    Wana Jf, Katika watu wanaoleta hisia mzito mpaka kufikia hatua ya kutoa machozi ni pale unapoona watu wakishangilia urejeshwaji wa usafiri wa Treni, ufufuaji wa njia nyingi za treni tena nyingine watu walijenga juu yake hata kufika mitalimbo ya chuma kuitumia kama nguzo. walioshiriki kuua...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Matajiri wasioweza kueleza chanzo cha utajiri wao mali zao kuchukuliwa

    Mamlaka ya Zimbabwe imesema watu ambao hawawezi kuelezea utajiri wao ulitoka wapi mali zao ziko katika hatari ya kuchukuliwa hata ikiwa mahakama itawaondolea madai ya kuhusika na ufisadi. Mwenyekiti wa tume ya kupambana na ufisadi Zimbabwe, jaji Loyce Matanda-Moyo, amesema oparesheni mpya...
  12. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa Forex mnaendeleaje?

    Imeshapita miaka miwili sasa tangu Ontario awafundishe ku download pesa na msemo wenu wa Forex is not for everyone.... mkasema tuwaache mpige pesa vipi jamani Mnaendeleaje na Kudownload fedha? Ontario siku hiz anapatikana wapi?
  13. KiwandaniTz

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa asili ya Tanzania

    JF najuwa kuna watu mnauwezo wa kufikiria sana. Poleni na majukumu yote. Poleni kwa wote mnao pitia kipindi kigumu cha maisha na changamoto za kiafya mungu awepe wepesi. MADA KUU. Hivi kwa nini matajiri wengi asilia yao sio watanzania , Top 10 ya matajiri Tanzania wapo wawili tu,wengine hao...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Rihanna aingia orodha ya matajiri wa Uingereza

    Mwanamuziki Robyn Rihanna Fenty (32) maarufu Rihanna kwa mara ya kwanza ameingia kwenye orodha ya Wanamuziki tajiri wanaoishi Uingereza na kushika nafasi ya 3. Amehamia London mwaka 2019 Rihanna ambaye pia ndiye Mwanamke wa kwanza kwa utajiri kwenye orodha hiyo ana utajiri wa takriban Tsh...
  15. Parabora

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa jiji la Geneva(Switzerland) waanza kugawa chakula na mahitaji muhimu bure kwa wahamiaji masikini na waliopoteza ajira

    Lockdown bado inaendelea hapa Uswisi japo serikali imedhibiti sana maambukizi mapya mpaka leo asubuhi kwa mujibu wa takwimu za serikali kuna jumla ya wagonjwa 43,000+ na waliokufa zaidi ya 19,000+ ni idadi ndogo sana kulinganisha na nchi zilizotuzunguka Matajiri wa hapa jijini GENEVA...
  16. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Corona: Wanaoadhirika au kuumia zaidi ni masikini ilihali ugonjwa wenyewe unawaumiza zaidi matajiri

    Ukiangakia kwa umakini mapambano yanayoendelea duniani utagundua kwamba wanaoumia zaidi ni masikini au hohe hahe. Angalia tukio lililotokea pale Kenya waliothirika kwa kipigo ni masikini ambao wengi wao walikua wanatoka kwenye miangaiko ya kujitafutia chakula chao na cha watoto. Kuna usemi...
  17. Johnny Sins

    JamiiForums Tanzania Afrika matajiri wana maisha mafupi sana!

    DONALD Trump ni Rais wa 45 wa Marekani. Hicho cheo chake sina shida nacho. Trump ni bilionea wa dola, kwa Shilingi ya Nyerere, ni trilionea. Nina kazi muhimu leo na huo utajiri wake. Trump ni mtu msema hovyo. Ana kiburi. Wengi humuona ni ‘mtambo’, akiwemo Spika wa Baraza la Wawakilishi...
  18. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Wazungu na matajiri wanawezaje kula hivi?

    Kiukweli najiuliza matajiri na wazungu wamewezaje kula matunda tu kama msosi wa jumla hasa usiku? Yaani eti anakula matunda tu analala! Nikaona isiwe ishu, acha name nijaribu. Saa 2 nikala matunda nikaelekea kulala. Yaani usiku nipo kitandani nasikia watu ndotoni wanasema RIP. Nikaamka...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Fedha za matajiri basi CCM

    CCM sasa imejikomboa kiuchumi na itajiendesha kwa fedha zake zitokanazo na vyanzo vyake halali vya mapato ikiwemo ada za wanachama, mapato ya vitegauchumi na ruzuku itokayo serikalini kwa mujibu wa sheria. Mwenyekiti wa CCM taifa Dr Magufuli amewahakikishia wanaccm. Chanzo: Habari Leo
  20. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kwa nini matajiri wanazidi kutajirika zaidi?(sehemu ya 1)

    Swali kuu la uchumi ni chaguo mojawapo.Uzalishaji wowote wa kiuchumi unatawaliwa na muda pamoja na raslimali zilizopo ili kutumika.Lakini mahitaji ya watumiaji kula,kuvaa,kujenga na kupumzika kwa namna mbalimbali ni mahitaji yasiyo na ukomo. Baadhi wanaweza kuridhika lakini vipi kuhusu wengine...
Back
Top Bottom