matajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwanini Diamond Platnumz hayumo top 20 ya wanamuziki matajiri Afrika?

    Imenishangaza Sana lakini ndiyo ukweli ulivyo. Yaani sijui wanatumia kigezo Gani kupanga hao wasanii matajiri!!?? Yaani Diamond hajafikia kuwa na ukwasi wa kutosha kuwa kwenye Orodha ya wanamuziki 20 matajiri Afrika!??
  2. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Wanyonge sasa muda wao na wao kuishi kama mashetani, sisi matajiri zamu yetu imekwisha

    Habari wadau..! Kipindi cha Magufuli wanyonge walikula bata ila ss nao wataishi kama mashetani mda si mrefu na kuna kila dalili hizo. Kuna dalili ya kwamba 1. Machinga kuondolewa kando kando ya barabara mda si mrefu 2. Wapo watakaopokonywa makazi yao na matajiri kwa propoganda za kwamba...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Serikali lazima mjue matajiri nasi tuna haki kama Watanzania wengine

    Shalom from Jerusalem. Mara nyingi viongozi wa serikali mmesikika mkisema na kuona fahari kuwa mko kwa ajili ya kuwatumikia wanyonge kama vile wao pekee ndiyo wenye haki ya kuishi. Pia mmekuwa mkifanya propaganda kuionesha jamii unyonge wa watu wengi unasababishwa na sisi matajiri. Mnaanzisha...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 5 ilivyobainisha watoto wa maskini na wa matajiri HESLB

    Miaka mitano hii imeigawanya sana jamii. Ukiwa mfanyakazi Serikalini una nafasi fulani na inakupatia mshahara mzuri basi uliambiwa wewe unatakiwa uishi kama shetani awamu ya tano Hapo inabidi umlipie feesza chuo mwanao. Mtoto ambaye wazazi wake hawaonekani kuwa na uwezo mzuri kiuchumi wanapata...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya matajiri itakapoanza kuchukua nafasi yake, kilio cha wanyonge kumlilia Dkt. Magufuli itazidi kusikika na wa kuwazuia hatakuwepo

    Ndiyo! Nguvu ya matajiri ikiilemea serikali hii mpya, wanyonge watalitaja Jina la JPM Kwa uchungu mkubwa na hakuna atakayewazuia Pale rushwa itakapowafanya wanyonge, wamachinga, wamama ntilie, bodaboda, bajaji n.k ambao idadi Yao ni kubwa mno Kwa sasa katika nchi hii kuanza kufukuzwa kwenye...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Matajiri wote wangekuwa na Moyo kama wa Bill Lugie Tanzania tungekuwa mbali sana

    Nashukuru sana kuwa JF na pia Max Melo kumkaribisha humu Billionea Lugano. Huyu jamaa kwa kweli amekuwa model wa vijana wengi wachapakazi hapa Nchini nadhani na nchi za nje pia ambazo kutwa kucha anatembelea. Jamaa hana majivuno, anashare mawazo na sisi watu wa daraja la kati wa uchumi wa kati...
  7. mgt software

    JamiiForums Tanzania Mbinu chafu za Matajiri wa viwanda wanavyoturudisha kwenye umaskini baada ya kulindwa Na sera za biashara kukosa ushindani

    Wana jf Wengi mnaweza msilione hili lakini mbinu chafu zinazotumiwa Hawa wafanyabiashara kuhakikisha wanapata faida kubwa huku mdoro wa Kasi ya maendeleo ikikwamishwa makusudi. Umoja wa wafanyabiashara wenye viwanda vinavyozalisha vifaa au vitu vya matumizi ya lazima wamekuwa wakipanga Kwa...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Afrika ilivyo tajiri kwa rasilimali, ingekuwa vyema tuwe na Serikali ya Umoja ndipo ili tuwe matajiri

    Kukosekana kwa serikali ya umoja ambayo itathibiti political instability, usaliti ,uzalendo kwa bara letu kunatufanya tuwe maskini.Nchi za magharibi zimekuwa zikitugawa ili waendelee kuiba rasilimali zetu na wao kuwa super power economically. It is time tuwe na serikali moja itakayoongoza...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wafanyabiashara na matajiri Tanzania walifeli Darasa la Saba

    Daa aise, Kumbe asilimia 90 ya wafanyabiashara wa Tanzania walifeli Darasa la saba. Kumbe haya mavazi mazuri ni wao ndio wanaotuuzia alafu sisi tunapendeza. Kumbe wao ndio wanaofuata mizigo China. Kumbe ndio wanaolipa kodi nyingi serikalini. Yaani kumbe yale majengo mazuri mazuri ya maduka...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Naamini wapo Watanzania wameenda kuchanjwa au wamechanjwa kimyakimya maana uhai Ni suala binafsi.

    Mjadala wa chanjo ya Corona una msimamo wa nchi na msimamo wa mtu binafsi. Nchi haifi lakini mtu mmoja mmoja anakufa aidha kwa mapenzi ya Mwenyenzi MUngu au kwa kutotimia maarifa aliyopewa na Mwenyenzi MUngu. Kama chanjo hiyo inaonekana inafanya kazi na watu wanaamini inafanya kazi haiwekani...
  11. britanicca

    JamiiForums Tanzania Top 10 richest Athletes in Tanzania (Wasanii na wanamichezo 10 bora matajiri Tanzania)

    1. Hasheem Thabeet net worth: Hasheem Thabeet is a Tanzanian professional basketball player who has a net wroth of $8 million. Hasheem Thabeet was born in Dar es Salaam, Tanzania in February 1987. He is a 7'3″ center who played at Cypress Christian School in Houston, Texas. Thabeet played his...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Unajua ni kwa nini wayahudi wengi sana matajiri sana dunia nzima? Watanzania tuwaige

    Sio rahisi sana kumkuta myahudi maskini ni vigumu mno sababu zake hizi hapa watanzania tuwaige
  13. F

    JamiiForums Tanzania Je Kuna Siri kubwa ktk majina? Matajiri 10 bora duniani, namba 5 na Saba majina yao yanafanana.

    Habari wadau wa JF habari na hoja mchanganyiko. Nimeangalia orodha ya matajiri 10 bora duniani( Top ten richest people in the world). Tajiri namba 5 na 7 majina ya mwanzo hufanana. Namba 5 Larry Ellison na namba 7 ni Larry Page. Je kuna Siri kubwa ktk baadhi ya mjina kimafanikio na hata...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli asilimia kubwa ya watu mashuhuri na matajiri kwenye hii dunia, utajiri wao sio wa halali au umetokana na mambo ya kichawi au Masonic?

    Bhasi habari za wakati huu wana JF wote poleni na hongera katika kuendelea kupambana na hizi changamoto za haya maisha. Bhasi bhana leo nikiwa naendelea na mapumziko ya sikukuu hiii ya Christmas. Huku nikiwa nina uchovu wa ajabu nikasema siku ya leo sio mbaya nikatumia na wadau wangu wa hapa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wazee wengi ambao walipata kuwa Maarufu na Matajiri nchini wakioa tu Wanawake wa 30's huugua na Kufa haraka?

    Mifano ya Kichwa changu cha Habari ipo mingi tu ndani na nje ya Tanzania ila kwa Tanzania naona hali hii inaongezeka kila Uchao tu na Kututishia.
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania UTU: Ubalozi wa Marekani wasaidia ujenzi wa vyoo vya kisasa kwenye shule za Iringa na Morogoro

    Taarifa inayosambaa inaonyesha kwamba maboresho hayo yamefanyika kwanye shule 25 za Mikoa ya Iringa na Morogoro , ambapo wanafunzi elfu 14 wametajwa kunufaika na mpango huo. Mojawapo ya choo kilivyoonekana kabla ya Maboresho. Hapa chini ni muonekano mpya baada ya Maboresho. Mungu wabariki...
  17. secret file

    JamiiForums Tanzania Matajiri huwa tunakuwa na aibu sana kutongoza mwanamke public!!

    Habari zenu..... Leo nataka tushee kitu kimoja, sisi matajiri hakika ni waoga kweli kutongoza mwanamke uliyempenda kwa mara ya kwanza public.....!!! Hasa pale anapokuwa hakufahamu.....! kwamfano juzi nilikuwa pale mlimani city shopping nikajitutumua kumtongoza mtoto mmoja mzuri....alikuwa...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wanawake walio kwenye mahusiano na matajiri ni ushahidi tosha mapenzi sio pesa, pesa inalazimisha mapenzi

    Ni wanawake wachache sana wanaweza kuukwepa mtego wa pesa za mwanaume anaehitaji kuwa na mahusiano nao. Hii ni kwasababu pesa hio ndio tatizo kuu la dunia, tunaitafuta kila siku na ni ngumu kuipata na bila hio pesa maisha yanakuwa magumu. Hivyo ni kazi sana mwanamke kukwepa hili hasa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mungu likumbuke Taifa la Tanzania wakumbuke Watanzania wanyonge kwa matajiri

    Mungu tunatubu kama kuna mahali tumekukosea sisi watanzania au tumewakosea wazee wetu waliokwisha tangulia mbele ya haki. Mungu usiposhuka nakuliongoza Taifa hili miaka mitano tena hatujuwi Nani atatuongoza. Mungu unajuwa yalio sirini na yalio sio yasirini. Funua ya sirini uliponye Taifa funua...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani (house boy) ndugu zangu nisaidieni

    Natafuta kazi za ndani (House boy) ninaweza kutunza bustani na kufanya usafi naombeni msaada. Mawasiliano yangu ni 0674709210
Back
Top Bottom