Matajiri wa Forex mnaendeleaje?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Imeshapita miaka miwili sasa tangu Ontario awafundishe ku download pesa na msemo wenu wa Forex is not for everyone.... mkasema tuwaache mpige pesa vipi jamani Mnaendeleaje na Kudownload fedha?

Ontario siku hiz anapatikana wapi?
 
Imeshapita miaka miwili sasa taangu Ontario awafundishe ku download pesa na msemo wenu wa Forex is not for everyone.... mkasema tuwaache mpige pesa vipi jamani Mnaendeleaje na Kudownload fedha?

Ontario siku hiz anapatikana wapi?
Ungekua unawauliza FOREX TRADERS wote ningekujibu vizuri kabisa ILA kwa sababu unawauliza wale walio fundishwa na unaye muita ONTARIO basi sina cha kukujibu.
 
Tupo tupo tu man,kwa sasa tuna trade PIPS zile za juu juu ingawa BULL hajakaa vizuri sana lkn tuna uhakika STOPLOSS italeta majibu mazuri sana,lkn pia kila tuki-CHOMA ACCOUNT tunatengeneza pesa nzuri na sana sana kama una pair € vs ₩ au Tsh vs ¥ hapo lazima uwe millionaire kabisa.

Daah sijui nimepatia.

Forex is not for everyone,tajiri uchwara nimesema.
 
Imeshapita miaka miwili sasa taangu Ontario awafundishe ku download pesa na msemo wenu wa Forex is not for everyone.... mkasema tuwaache mpige pesa vipi jamani Mnaendeleaje na Kudownload fedha?

Ontario siku hiz anapatikana wapi?
Tupo tuna make money au .mupaka tukutangazie usiwaze tuna endelea kumake money @ kama ww unaliwa ni ww sis wengine tunajua tunacho kifanya bro @ forex is simple kama ni ngumu ni kwako @
 
Imeshapita miaka miwili sasa taangu Ontario awafundishe ku download pesa na msemo wenu wa Forex is not for everyone.... mkasema tuwaache mpige pesa vipi jamani Mnaendeleaje na Kudownload fedha?

Ontario siku hiz anapatikana wapi?
wana DOWNLOAD pesa? 🤣 🤣 🤣
 
Imeshapita miaka miwili sasa taangu Ontario awafundishe ku download pesa na msemo wenu wa Forex is not for everyone.... mkasema tuwaache mpige pesa vipi jamani Mnaendeleaje na Kudownload fedha?

Ontario siku hiz anapatikana wapi?
Mimi soo forex trader na wala sijawahi ila hii thread uliyoianzisha sickens me....Imejaa unafiki which sidhan kama ni intention ya hili jukwaa
 
Haters... fainali uzeeni. Tatizo watanzania mnachukia sana maendeleo.

Mi kuna Forum za majuu huko yaani namna wanavoapproach mambo ni tofauti kabisa na huku. Hususani kwenye hii issue ya Forex yaani its different.

Mtu mwenyewe aneyekebehi watu na kuwananga wanaojitahidi kuifahamu Forex, unakuta 24/7 yupo kwenye social media hafanyi cha maana halafu mtu huyu huyu anajeuka kuwa haters kwa wenzake wanaokakamaa kwenye financial markets.

Hizi negativity hazitakufikisheni mahali.. Endeleeni na uchawi wenu. Ila jua kwamba somebody somewhere is making a life from financial markets. Period
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom