Nikiwa kama miongoni mwa raia tunaopambana nje ya mfumo rasmi nimefikiria kuwekeza kwenye mfuko wa amana za serikali wa UTT AMIS kwenye scheme ya BOND TRUST FUND ambayo itanipa gawio la kila mwezi. Mfuko huu ili kupata gawio la kila mwezi kiwango cha chini cha uwekezaji ni milioni 10.
Lengo la...
Mkurugenzi wa Huduma za Afya kutoka Taasisi ya Marie Stopes Tanzania, Dr. Geofrey Sigalla amesema Wanawake wamekuwa waathirika wa uamuzi wanaofanyiwa kwenye suala la huduma za Afya ya Uzazi.
Ameyasema hayo leo Machi 8, 2024 katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake ambayo Taasisi ya...
Bashe ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya uhaba wa Sukari kumalizika kabla ya Mfungo wa Ramadhan
=====
Salaam Ndugu Zangu,
Ningependa kutoa ufafanuzi wa kauli yangu iliyonukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari wakati wa maswali na majibu kwenye mkutano na wahariri uliofanyika Ikulu, Dar es...
Habari wadau,
Jamiiforums imekuwa sehemu ya wanachama kushiriki kutoa maoni yao, kuelezea kero zao na kupata ufafanuzi juu ya masuala mbalimbali nchini, nafasi inayowawezesha kufanya maamuzi mkiwa na taarifa sahihi na zenye ubora. Wapo viongozi wachache kama Dkt. Gwajima D ambao wamekuwa...
"Wabunge hapa wameuliza kuhusu vyoo na wewe (Naibu Waziri Dugange) kwenye majibu yako ukatoa majibu, nafikiri kwa nchi yetu tulipofikia ni mahali ambapo hatutakiwi kuwa tunazungumza vyoo kwenye zahanati, choo kimoja pale vyoo viwili pale, serikali inafanya kazi sana na hakuna sababu ya kujadili...
Inatambulika dunia kote, toka dunia hii imeanza—haijalishi kwa dhana ya Uumbaji wa Mungu au Evolution ya kisayansi— Baba, Mama na Watoto (Familia), ndio imekua jumuiko la kwanza, kuu na la msingi la wanadamu.
Siku hizi kumeshamiri wimbi [si geni kihistoria] la kupinga Uwepo wa Familia ya Baba...
Mathalani umeomba kazi ya kukuongezea kipato, umeomba mkopo benki au kausha damu, umeomba kura kwenye uchaguzi, umeomba ruhusa kazini au shuleni, umeomba urafiki wa kike au wa kiume, umeomba uchumba au ndoa nakadhalika. Uelewa na Ufahamu wako ukijitosheleza basi utajikuta unajiandaa vizuri sana...
#AFYA: Utafiti wa mwaka 2023 uliofanywa na Kituo cha Taifa cha Takwimu za Elimu (NCES) cha nchini Marekani, umeonesha 87% ya Walimu wa Shule za Umma walikabiliwa na Msongo wa Mawazo, Kuelemewa na Kazi Ningi na Mtazamo Hasi juu ya Kada ya Ualimu.
Hata hivyo, utafiti umebaini Shule zenye Utaratibu...
NYOTA NA MASUALA YA KIDINI ( UDINI )
1. Hawa kiukweli ni watu wanaoegemea upande wa dini yao tu. Yaani hufuata sana dini yao tu. Na wapo tayari kuilinda dini hio ILA SASA kinachofanya waheshimu dini na mila za imani zingine ni maslahi yao binafsi. Hawa wamegundua ukiweka sana misimamo...
Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika - y yThe Tanganyika Law Society (TLS), Wakili Harold Sungusia tarehe 19 Januari 2024 ametoa ufafanuzi, ambapo amefafanua mambo mbalimbali kuhusu uongozi wake ikiwemo tuhuma zinazungumzwa dhidi yake.
Sungusia ambaye anashika Madaraka ya Urais tangu...
Leo nipo na watoto wangu tunaenda shopping,ghafla mwanangu wa kike aliyepo baby class akaanza kuniomba nimnunulie ice cream za rain bow.Nilishtuka sana,nikamuuliza amejuaje mambo ya rainbow?Akanijibu huyaona yakitangazwa kwenye katuni Masha and the bear.Nimeogopa mno sababu hiyo katuni nilikuwa...
Tangu katika kipindi cha katikati ya miaka ya 1990, China imetambulisha tena sera yake ya Afrika, ikiongeza msaada wake wa maendeleo, na kuyataka makampuni ya China kwenda nje na kuzidisha miradi ya miundombinu. Hata hivyo, sera kabambe ya mambo ya nje ya rais Xi Jinping na pendekezo lake muhimu...
Katibu Mkuu wa TEC, Padri Dkt. Kitima akiwa kwenye mahojiano na The Chanzo amesema kuwa ule uwezo wa kuchambua masuala ya kitaifa umeshuka.
' Ule uchambuzi, kuchambua masuala, kupembua wa watu wa kawaida umeshuka. Wewe angalia sasa hivi watu wana miaka saba hatujawaongelea juu ya haki zao za...
Suala langu:
Nimekuwa nikisikia Mengi kuhusu ndoto, Wengine mara oohh sijui mlango wa kuyaona yaliyopo nyuma ya Dunia, Mambo yasiyoonekana etc.
Wengine wanasema kuwa ndoto ni matukio ambayo tunayafanya kila siku...yanajikusanya.
Swali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!.
Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!.
Askari ambao tulitegemea...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura Bi. Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.
Kwanza tuanze na takwimu za kijiografia.
Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29.
Rwanda ina watu wasiozidi milioni 12. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.
Rwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua ndugu Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum.
Kabla ya uteuzi huu Bi. Sophia alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.
Nimefurahi kusikia kuwa Tanzania imeingia maelewano na kufuta kesi ICSID na kampuni ya Winshear Gold Corp. Kesi hii ilitokana na Tanzania kuchukua eneo lao bila kuwalipa fidia. Zipo kesi nyingi za namna hii- siyo fedheha , sisi kama taifa tukiamua kuondoa kesi na kutafuta namna ya kulipa fidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.