Umefika Muda Serikali itutumie vijana kutoka Tarime ili kukomesha Masuala ya Uhalifu kwenye baadhi ya Mikoa

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,718
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!.

Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!.

Askari ambao tulitegemea walisaidie taifa kutoka na Moto wa Jeshi la Polisi (Usalama wa Raia na mali zake) nao wamekuwa waoga waoga hadi kupelekea uhalifu huo kushamiri!

Kwakuwa Vijana wengi kutoka Tarime tuna ari na muamko mkubwa wa kupambana na uhalifu,naiomba serikali itupe kibali maalumu na yatolewe magari yakawachukue vijana kule kwetu ili kupelekwa mikoa husika yenye usumbufu kutoka kwa WEZI,VIBAKA na MAJAMBAZI SUGU ili tukawaonyeshe namna ambavyo mtu anakula kipigo hadi anabaki kucheka badala ya kulia!.

Kuna mikoa nchi hii ni kama inataka kushindikana kwa uhalifu na Jeshi la Polisi ni kama limeishindwa!.

1. Arusha
2. Dar es salaam
3. Njombe

Naiomba serikali mlipokee ombi langu ili mlifanyie kazi kwasababu Vijana wa Tarime wapo tayari kupelekwa mikoa hiyo na kuisaidia kwasababu wakazi wa mikoa hiyo wanapata taabu sana kutoka na tu-toto tudogo ambato hata havijatahiriwa na kisu kuendelea kuwasumbua wanaume legelege wa mikoa hiyo!

Hatuhitaji silaha ya aina yeyote kutoka serikalini, sisi tutakwenda na mapanga yetu tu amani itarejea kama kawaida.

Mkuu Maxence Melo tafadhali nifikishie hili ombi kwa waziri wa mambo ya ndani!
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!.

Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!.

Askari ambao tulitegemea walisaidie taifa kutoka na Moto wa Jeshi la Polisi (Usalama wa Raia na mali zake) nao wamekuwa waoga waoga hadi kupelekea uhalifu huo kushamiri!

Kwakuwa Vijana wengi kutoka Tarime tuna hali na muamko mkubwa wa kupambana na uhalifu,naiomba serikali itupe kibali maalumu na yatolewe magari yakawachukue vijana kule kwetu ili kupelekwa mikoa husika yenye usumbufu kutoka kwa WEZI,VIBAKA na MAJAMBAZI SUGU ili tukawaonyeshe namna ambavyo mtu anakula kipigo hadi anabaki kucheka badala ya kulia!.

Kuna mikoa nchi hii ni kama inataka kushindikana kwa uhalifu na Jeshi la Polisi ni kama limeishindwa!.

1.Arusha
2.Dar es salaam
3.Njombe

Naiomba serikali mlipokee ombi langu ili mlifanyie kazi kwasababu Vijana wa Tarime wapo tayari kupelekwa mikoa hiyo na kuisaidia kwasababu wakazi wa mikoa hiyo wanapata taabu sana kutoka na tu-toto tudogo ambavyo hata havitahiriwa kuendelea kuwasumbua wanaume legelege wa mikoa hiyo!.

Hatuhitaji silaha ya aina yeyote kutoka serikalini,sisi tutakwenda na mapanga yetu tu amani itarejea kama kawaida.

Panya road tu wenyewe wamekutoa nduki gongo la mboto na kuwateza mtaa mzima

Leo Kweli utawexa kupambna na vibaka wa Arusha kumbuka kuwa vibaka was Arusha siyo Kama wa dar Wala chipis kibaka wa Arusha Yuko full equipped
 
Tatizo lako unadhani ukiwa na tumbo kubwa basi wanaume wote watakuwa na matumbo makubwa!
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!.

Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!.

Askari ambao tulitegemea walisaidie taifa kutoka na Moto wa Jeshi la Polisi (Usalama wa Raia na mali zake) nao wamekuwa waoga waoga hadi kupelekea uhalifu huo kushamiri!

Kwakuwa Vijana wengi kutoka Tarime tuna hali na muamko mkubwa wa kupambana na uhalifu,naiomba serikali itupe kibali maalumu na yatolewe magari yakawachukue vijana kule kwetu ili kupelekwa mikoa husika yenye usumbufu kutoka kwa WEZI,VIBAKA na MAJAMBAZI SUGU ili tukawaonyeshe namna ambavyo mtu anakula kipigo hadi anabaki kucheka badala ya kulia!.

Kuna mikoa nchi hii ni kama inataka kushindikana kwa uhalifu na Jeshi la Polisi ni kama limeishindwa!.

1.Arusha
2.Dar es salaam
3.Njombe

Naiomba serikali mlipokee ombi langu ili mlifanyie kazi kwasababu Vijana wa Tarime wapo tayari kupelekwa mikoa hiyo na kuisaidia kwasababu wakazi wa mikoa hiyo wanapata taabu sana kutoka na tu-toto tudogo ambavyo hata havitahiriwa kuendelea kuwasumbua wanaume legelege wa mikoa hiyo!.

Hatuhitaji silaha ya aina yeyote kutoka serikalini,sisi tutakwenda na mapanga yetu tu amani itarejea kama kawaida.

Mkuu Maxence Melo tafadhali nifikishie hili ombi kwa waziri wa mambo ya ndani!
Umesahau kuna mtu alitikisa tarime akijiita keno nke
mimi ni mtarime pia lakini penye ukweli tuseme
 
Kuuza mayai ni kujipatia kipato,walifika Dar wakachungulia fursa na wameifanyia kazi!

Sijui ulikuwa unataka kusema nini!
Sasa kama dar tayari kuna vijana toka tarime na wanauza mayai huku majambazi wakitamba kuna haja gani ya kwenda tena tarime kuchukua wauza mayai wengine na kuwaleta Dar?
 
Umughaka hapa umedanganya kusema watu kutoka Tarime mtadhibiti haya matukio 🤔🤔 nimeishi mabibo jeshini tena pale wanapaita kwa wakurya na hadi kwenye pool table lugha ni kkikurya tu lakini tulikua tunapiga matukio kama kawaida, Kuna siku mzee Moja mwanajeshi mstaafu alivamiwa saa 11 alfajir aiseee tulisota sana
 
Back
Top Bottom