maslahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tukiri kwamba katika mfumo wa muungano uliopo, inawezekana raisi kutoka Zanzibar akafanya kazi kwa maslahi ya Zanzibar zaidi ya bara au ya muungano

    Hili ni jambo ambalo wenye hekima wanalielewa siku nyingi, na labda wengine wengi sasa wameanza kulielewa, kwamba kutokuwepo kwa usimamizi wa kiserikali wa upande wa bara kunatokeza nafasi kwa raisi akitoka Zanzibar kuwa na uwezekano wa kufanya mambo kwa namna ambayo inatoa maslahi makubwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Awamu ijayo TFF kwa maslahi ya nchi aongoze Hersi

    Tanzania imekuwa ikifuzu kwa kuunga unga Kwenye afcon 2019 kule misri na sasa afcon ya Ivory Coast . Ukiangalia matokeo ya mechi za kufuzu na ukalinganisha na matokeo ya tarehe 17 Jan dhidi ya Morocco kule afcon , morroco kwa mkapa Kwenye WC qualification na Jana dhidi ya Zambia unabaki kusema...
  3. JamiiForums Tanzania Siku hizi hakuna maisha ya mapenzi! Ni maisha ya maslahi!

    Yale mambo ya kuonyesha unampenda kwa dhati kiasi gani mpenzi wako, au mke wako, au bosi wako au rafiki yako hayapo tena! Kila mtu anaangalia maslahi ya kutoka kimaisha au kupata unafuu fulani wa changamoto za maisha au kwa jinsi gani uwepo wako utampa unafuu wa changamoto za kila siku...
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi msipotambua umuhimu wenu, mtatumika vibaya kwa maslahi ya wanasiasa na wala siyo kwa maslahi ya Taifa

    Hili suala la jeshi kuamriwa kufanya usafi kila vyama vya upinzani vinapotangaza maandamano halikubaliki. Wote tunalia hali ngumu ya maisha ikiwemo wanajeshi pamoja na familia zao na viongozi wa serikali wako kimya, halafu wanapotakiwa kufanya kitu walau hata kwa shinikizo la maandamano...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Unapofanya kitu cha umma wa Tanzania unafanya kwa maslahi ya nchi au ya kwako au kikundi fulani?

    Nchi yetu inapitia kipindi kigumu kidogo kwa miongo kadhaa kiasi kwamba jambo hili limeota mizizi au linaota mizizi nalo ni katika kufanya mambo yetu tunaweka nafasi zetu au ubinafsi mbele kuliko maslahi ya nchi au aliyekuajiri mbele, matokeo yake ni kuua kile kilichokuweka pale iwe shirika la...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni Atuhumiwa Kukwamisha Maslahi Ya Askari Wizara Ya Mambo Ya Ndani Kwa Maslahi Yake

    Askari walioko chini ya Wisara ya Mambo ya Ndani kutoka Polisi,Magereza,Fire nk wamekuwa wakimtuhumu Waziri Wa Mambo ya Ndani na watumishi wengine Wizarani kuzuia kwa maksudi posho yao ya UMEME na MAJI,huku wakitumia posho hiyo kujifaisha wenyewe kwa kujenga majumba ya kifa ha ri maeneo...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Maafa Hanang yanatumika kisiasa kwa maslahi binfsi na kujipigia chapuo

    Ziara ya Rais Hanang ilitakiwa kuwa very brief, kuangalia madhara yaliyotokea, atoe pole, basi. Nina Imani Rais alishapewa ripoti nzima ya hali ilivyo Hanang na hivyo alikuwa walau na picha ya yaliyojiri, leo ilikuwa kwenda kuwaona waathirika na aongeze nguvu kwa waathirika angalau kuwa sehemu...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiondoa kupita bila kupingwa unakua umeaondoa ununuzi na utekaji wa wagombea kwenye chaguzi. Ushauri, rekebisha Sheria kwa maslahi ya demokrasia

    Mazee mpo? Naenda kwenye hoja. Kiukweli moja ya uchafuzi mkubwa wa Democrasia ya vyama vingi ni ununuzi na utekaji wa wagombea wakati wa uchaguzi. Tumeamua multiparty democracy,ni vyema tukawa serious kidogo. Haiwezekani Tanzania Kila jambo linafanywa kisanii sanii. Democracy ni kuruhusu raia...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Maslahi ya Wabunge Tanzania yapoje?

    Naomba nami nichukue fursa kuendeleza mjadala ulioanza Kwa mtoa mada mmoja siku za awali kuuliza Mwenye kujua maslahi ya hawa Waheshimiwa Wabunge Kwa sasa: 1. Mshahara mnono (bila Kodi) 2. Posho ya vikao 3. Mkopo wa gari 4. Posho ya dereva 5. Mfuko wa Jimbo 7. Bima ya matibabu nje ya nchi 8...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kile kinaitwa "Deep State" kipo kwa maslahi ya wachache

    Kuna hii kitu inaitwa "Deep State", ambayo inadaiwa iko kila nchi duniani. Baadhi huamini kwamba "Deep State" ipo kwa ajili ya maslahi mapana ya nchi na wananchi walio wengi. Lakini binafsi naamini kwamba "Deep State" iko kwa ajili ya kulinda maslahi ya watu wachache tu wakiwamo wao. Hii...
  11. JamiiForums Tanzania Maslahi ya Majaji Tanzania yapoje?

    Ningependa kufahamu maslahi ya hawa waheshimiwa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu 1. Mishahara, 2. GARI VX/V8(SUV) zenye utambulisho maalum (JR, J), 3. Ulinzi, 4. Dereva, 5. Nyumba, 6. Posho ya mavazi, 7. Mafunzo ughaibuni, 8. Umeme, 9. Maji, 10. Airtime (muda wa maongezi kwenye simu zao za...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania ina maslahi gani na vifo vya wapalestina.Hatujamrudisha balozi wetu. Hata maandamano nayo

    Nchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya Wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas. Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya Wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto. Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi...
  13. JamiiForums Tanzania Biteko: EWURA zingatia maslahi ya Watanzania na maslahi ya nchi katika kazi za Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji

    EWURA ZINGATIENI MASLAHI YA NCHI KATIKA SHUGHULI ZA UDHIBITI WA MAFUTA NA MAJI -DKT. BITEKO ✔️ Awapongeza kwa kushusha gharama za uagizaji mafuta ✔️ Asisitiza EWURA kudhibiti vitendo vya urasimu na rushwa mahali pa kazi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka...
  14. JamiiForums Tanzania Yemen na Iraq waionya Marekani kuiunga mkono Israel. Watalenga maslahi yao

    Huku viongozi wa Marekani wakitoa matamko ya wazi ya utayari wao kuisaidia silaha zaidi Israel na kivitendo imeshasogeza meli za kivita kwenye bahari ya mediteranean karibu na Israel.. Viongozi wakubwa wa mataifa ya Yemen na Iraq wameionya Marekani dhidi ya uingiliaji kati wake huo. Huko Iraq...
  15. B

    JamiiForums Tanzania ACT, CHADEMA na wenzenu, Msingi ni maslahi ya nchi siyo ya vyama

    Siasa hubadilika na siku hazigandi. Siyo siri tulipo leo, tunaweza kuwa tuko pema zaidi kiukombozi kuliko wakati mwingine wowote kabla. Ishukuriwe historia iliyotufikisha hapa pamoja na machungu yake. Kwamba hatimaye leo tunaweza kuyatarajia yaliyo mema zaidi, tena kwa nguvu zetu wenyewe...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa wanaodhani maofisa wa rasilimali watu HR(Human Resource) wako kwa ajili ya maslahi yako waandike maumivu

    Najua huu ni ukweli unaouma kwao lakini huo ndio ukweli wenyewe.Aheri HR officers wa serikalini au mashirika ya umma ya Kitanzania wabongo wenzetu.Nawapa Kongole sana ila hawa wengineo mhhh Lakini kwa haya makampuni ya kigeni ya wazungu maofisa hawa kwanza wanajali matumbo yao halafu kumtetea...
  17. JamiiForums Tanzania Kati ya mwanasiasa na mwanataaluma yupi apewe kipaumbele kufanya maamuzi yenye kugusa maslahi ya watu na Taifa?

    Ni kaswali nimekaa tu nikatafakarii nikaona hemu niwaletee na ninyi wadau? Wanasiasa na wana taaluma someni comment za wadau mtapata kitu.
  18. JamiiForums Tanzania Kati ya TEC na BAKWATA, nani kasimamia vyema maslahi ya nchi katika sakata la DP WORLD?

    Hello JF. Katika purukushani za kusimamia ulinzi na usalama wa maliasili za nchi yetu, tulisikia hoja nyingi kutoka kila kona ya nchi. Mojawapo ni ni mchapano wa Mabaraza haya mawili, Baraza la Maaskofu, TEC lililoleta hoja kali kinzani kwa serikali. Pili, Baraza Kuu kabisa la Waislamu...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika hawana budi kujali maslahi ya watu wao kuliko yao binafsi, mabeberu wa nchi za Magharibi na wengineo

    Watanzania wengi ni maskini,hakuna shaka yeyote kuhusu jambo hilo.Kwa nini Watanzania ni maskini ndilo jambo ambalo limeonekana kusumbua watu wengi. Kikwete yeye alisema hajui kwa nini Watanzania ni maskini. Sasa inashangaza kwa kuwa kama ni hivyoo, kwanini alitamani kuwa Rais kwa vile jukumu...
  20. JamiiForums Tanzania Teuzi za wastaafu hazina maslahi kwa taifa: Wateuliwa wanawekwa kulipa fadhila

    Ndio ukweli huo. Katika taifa la watu milioni 60 bado nafasi chache na nyeti zinazohitaji akili iliyochangamka na energetic lakini bado anateuliwa mstaafu anayetakiwa kukaa na wajukuu nyumbani ale jasho la ujana wake. Rais Samia amekua mlalamikaji sana hivi karibuni kuhusu utendaji wa watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…