maslahi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TASAF kwa sasa haimnufaishi mlengwa. Serikali chunguzeni

    Natambua kuwa nia ya serikali kuanzisha mfuko huu ilikuwa ni kuwapunguzia makali ya umasikini baadhi ya wananchi wasio na vipato kabisa. Kundi hili ni la wazee, yatima, walemavu, nk. Utafiti wangu mdogo umenionesha kuwa TASAF imekuwa ikinufaisha zaid wasimamizi/watendaji wa mfuko kuliko...
  2. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania Nadhani serikali imeshindwa kujua itumie vipi mechi za Yanga na Simba weekend hii kujitangaza kiutalii

    Salamu Wakuu, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Binafsi nadhani serikali au viongozi husika wameshindwa kabisa kujua ni namna gani mechi za week end hii za Yanga na Simba zitusaidie kiuchumi kama taifa. Nimesikia baadhi ya viongozi na wadau wa michezo wakiongelea uzalendo na kutaka watu...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa maslahi ya wafanyakazi NHIF

    Mwenye kujua maslahi ya staff NHIF, 1. Mishahara, 2. Mikopo, 3. Safari za nje, 4. Posho za vikao, ufuatiliaji,
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Bandari anayojenga Marekani Gaza si ya misaada, bali ni bandari ya kifo cha Palestina pamoja na maslahi ya Marekani na ulinzi wa Israel

    Wanaharakati wanaopigania haki za wapalestina wametoa uchambuzi ukifafanua juu ya uharamu wa bandari inayoendelea kujengwa na Marekani eneo la Gaza kwa kisingizio cha kupeleka misaada. Mshangano wa mwanzo wa wanaharakati hao ni kuwa Marekani imepeleka malori na mashine nzito za ujenzi zipatazo...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli basi ushindi wao hauna maslahi zaidi ya kupata jina tu!

    Ramadhani Brothers washindi wa AGT wamekatwa zaidi ya asilimia 70 kwenye pesa walizoshinda kwenye mashindano ya AGT. Ukipiga hesabu za haraka ni kwamba hawa jamaa wamebakiwa na hela ndogo sana baada ya makato mbalimbali waliyokatwa kwenye zawadi yao. ✍️Mjanja M1
  6. K

    JamiiForums Tanzania Maslahi duni kwenye viwanda

    Sera mbovu za uwekezaji na viwanda nchini hili huchangia mtu kusaka vibali kwa gharama kubwa akipata anajitajirisha mwenyewe na fedha nyingi wanazochuma kwetu wanazipeleka kwao kwetu maslahi yanabaki duni Ni bora sera za viwanda zibadilishwe na Serikali itoe support kwa viwanda vya ndani, kuna...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali kama imeshindwa Kuweka mishahara ya watumishi katika usawa ni vizuri ipunguze idadi ya watumishi

    Mara nyingi viongozi wakigusiwa jambo hili hutoa wito kwa mashirika mengine ya umma kuongeza ubunifu na uzalishaji ili nao walipane vizuri. Kuna mashirika ya umma Kuna taasisi za umma Kuna wakala wa serikali. Kuna Mamlaka za udhibiti na usimamizi. Kuna bodi mbalimbali Kuna tume mbalimbali...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

    Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia tatu na centi. Viwanda vingi malipo ni sh. Elfu 5000 kwa siku, hii maana yake lisaa limoja la kazi ni...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM

    Ukweli mchungu kwa ma CCM na vibaraka wao: “Mkitaka kufika mbali lazima muwe na sauti ya pamoja hata kama munatofautiana kwa itikadi ya vyama vyenu lakini linapokuja suala la kutetea maslahi ya nchi lazima mushikamane, hamuwezi kuondoa chama kilicho madarakani kwa kujitenga." Amesema...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Hospitali binafsi zinapotanguliza maslahi badala ya Afya za Watanzania

    Approach walioichukua watoa huduma za afya binafsi inashangaza na kusikitisha. Naona kabisa maslahi yakiwa na nguvu sana kuliko utu. --- Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amewataka Vyama vya Watoa Huduma Binafsi za Afya Tanzanja (Aphfta) kuhakikisha wanaheshimu leseni zao kwa kutoa...
  11. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Ubinadamu unapo ingia kwenye maslahi ya wakubwa, na kupelekea tafrani

    85 Years Ago to date, Sunday, 10 October 1938 Soviet Union, Moscow Siku hii anazaliwa mtoto mwenye akili nyingi sana Jijini Moscow Urusi, Hawa ndio wale watoto ambao huzaliwa mara moja Baada ya miongo kadhaa. Kwa kuwa alikuwa ni mtoto mwenye akili nyingi, alifanikiwa kusoma kwenye shuke za...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mtendaji Kata ya Malindi anakodisha eneo la shule kwa maslahi binafsi

    Afisa mtendaji wa kata ya Malindi, iliyoko tarafa ya Mlalo, wilaya ya Lushoto - Tanga, amechukua maeneo makubwa ya shule ya sekondari Mtumbi na kuyakodisha kwa watu mbalimbali kwa manufaa binafsi. Maeneo mengine machache amewapa walimu wa shule hiyo ili wasimuulize juu ya eneo la shule...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge matajiri wafanyabiashara, wanasimamia Maslahi ya akina nani bungeni?

    Salaam,Shalom!! Zamani, mwalimu wa Shule ya msingi, alikuwa na uwezo wa kuchukua fomu na kugombea ubunge na akashinda, sasa hivi akijaribu, atakutana na kikumbo Cha tajiri au .toto wa kiongozi mkubwa serikalini na kutupwa mbali. Kuwa tajiri Kwa halali Si DHAMBI, Hilo liwekwe wazi. Na mada...
  14. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Je, chama unachokiunga mkono kinawakilisha maslahi ya wananchi wengi, au kinazingatia maslahi ya kikundi fulani tu?

    Uwakilishi wa kisiasa ni nguzo muhimu katika demokrasia, ambapo vyama vya siasa vinapaswa kuwakilisha mahitaji na maslahi ya idadi kubwa ya wananchi. Hata hivyo, katika mazingira mengi, kuna utata kuhusu ikiwa vyama hivi kweli vinawakilisha kikamilifu maslahi ya umma au vinazingatia tu maslahi...
  15. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Nashauri Naibu Waziri Mkuu atenguliwe na nafasi hiyo ifutwe kwa maslahi ya Taifa

    Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania Misri yasema HAMAS ni kundi lisilo na haja ya amani, na halipo kwa maslahi ya Wapalestina

    Taratibu akili zimeanza kuwakaa hawa watu, sikutegemea ipo siku Misri itatoa tamko kama hili..... Egypt's Foreign Minister Sameh Shoukry sharply criticized Hamas on Saturday, saying that "the organization is outside the Palestinian consensus, which recognizes Israel and wants to reach...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran yalaani mapigo yanayofanyika na US kwa maslahi yake hata baada ya kukana haikuhusika

    Iran ilishakana haikuhusika au hata washirika wake hawakuhusika, sasa haielewi kwanini Marekani anapiga chochote chenye harufu ya Iran huko nje....... Kilichobaki sasa ni Iran kukasirika ifanye kitu tuone mwisho wake maana Marekani wanaendelea kupiga.... Syria and Iraq assail Washington for...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa vifo 40 vimeripotiwa kutokana na mapigo wanayofanya Marekani kwa maslahi ya Iran

    Na hapo movie ndio inaanza tu.... US launches retaliatory strikes in Iraq, Syria; nearly 40 reported killed The strikes hit targets including command and control centers, rockets, missiles, and drone storage facilities, as well as logistics and munition supply chain facilities, the US military...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Pentagon ya Marekani yaanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Syria, Iraq baada ya vifo vya wanajeshi

    PENTAGON : MAREKANI YAANZA MASHAMBULUZI YA KULIPA KISASI KWA KUPIGA NGOME ZA VIBARAKA WA IRAN NCHINI IRAQ NA SYRIA. SPECIAL REPORT https://m.youtube.com/watch?v=ckOSPG_A8AI Marekani yashambulia mgambo vikaragosi vya Iran ambao walishambulia ngome ya askari wa Marekani nchini Jordan na...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tukiri kwamba katika mfumo wa muungano uliopo, inawezekana raisi kutoka Zanzibar akafanya kazi kwa maslahi ya Zanzibar zaidi ya bara au ya muungano

    Hili ni jambo ambalo wenye hekima wanalielewa siku nyingi, na labda wengine wengi sasa wameanza kulielewa, kwamba kutokuwepo kwa usimamizi wa kiserikali wa upande wa bara kunatokeza nafasi kwa raisi akitoka Zanzibar kuwa na uwezekano wa kufanya mambo kwa namna ambayo inatoa maslahi makubwa...
Back
Top Bottom